FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Anataka UN ipewe pesa za misaada ya kuleta chakula Afrika, halafu mwisho wa siku wanazipiga zote, wanaleta 1% tu ya walichochangiwa, ni uhuni tuQmmk yaani kila nyoko utasikia Africa hivi hawa nguruwe wanatuchujuliaje sisi waafrika?
Kwani lazima tule ngano? Tutakula mahindi na mafuta ya nyamaTanzania imejitosheleza uzalishaji wa ngano na mafuta ya kula?
Kwamba saivi ukoloni umeisha?Hawa jamaa wanatuona kama watoto wenye utindio wa ubongo.
Africa itasimama tu kama ilivyosimama wakati wa ukoloni.
Hata kama bado upo, hoja yake inabadilika vipi?
Ngano asilimia 90% tunayotumia inatokea huko huko Urusi na Ukraine. Sisi hatuzalishiKwani afrika hamna ngaNo jmn
Nimekuelewa bwashee!Right message to the wrong audience.
Ndio hizo pesa za kununulia ngano akanunue mahindi sasa maana yanaozea mashambani, sio lazima tule ngano, suala la njaa litakua la kujitakia sasaBakhresa ananunua ngano urusi
Tanzania hatuna kilimo cha maana kwa upande wa vyakula!
Huwezi lima kila kitu kila mahali kwa kiwango sawa, unalima kinacholimika kwa mazingira yako, ni kama Zabibu, kwanini inalimwa zaidi Dodoma? Na mchele unalimwa zaidi Mbeya?Afrika viongozi wetu badilikeni inakuaje hata ngano tutegemee ya ulaya akati tunakilakitu
Habit of answering a question with a question ; Hivi kumbe afrika tunavyotawaliwa kikoloni bado twaweza kusema "TUMESIMAMA"?Hata kama bado upo, hoja yake inabadilika vipi?
Hata baadhi ya michele na mafuta ya kupikia chakulaNgano asilimia 90% tunayotumia inatokea huko huko Urusi na Ukraine. Sisi hatuzalishi
Sisi Africa ni bure kabisa tunazalisha kidogo SanaHata baadhi ya michele na mafuta ya kupikia chakula
Sent from my TECNO LB7 using JamiiForums mobile app
Kwani tunaweza kusema ‘Tumekaa’?Habit of answering a question with a question ; Hivi kumbe afrika tunavyotawaliwa kikoloni bado twaweza kusema "TUMESIMAMA"?
Sent from my TECNO LB7 using JamiiForums mobile app
Endelea kukariri bwashee!Ndio hizo pesa za kununulia ngano akanunue mahindi sasa maana yanaozea mashambani, sio lazima tule ngano, suala la njaa litakua la kujitakia sasa
Haitokuwa sahihi zaidi kusema kuwa "tumekalishwa" au "tumehifadhiwa" (kept) kwajili ya matumizi?Kwani tunaweza kusema ‘Tumekaa’?