Umoja wa Mataifa: Afrika itakumbwa na uhaba wa ngano kutokana na vita vya Urusi na Ukraine

Umoja wa Mataifa: Afrika itakumbwa na uhaba wa ngano kutokana na vita vya Urusi na Ukraine

Kumbe hilo jamaa ni taahira kiasi hicho? Kwamba Afrika tutapata njaa sababu ya hiyo vita?! Hata hao Somalia na Bukinafaso kama pesa wanayo waje tuwauzie mahindi, chakula sio ngano pekee, ebo!
 
Waambie sisi asubuhi tunaamka na viazi vutam,Mihogo au kipolo cha wali au ugali.
Ngano hatuna matumizi nayo Saana wehu nyie
 
Kumbe tz hailimi ngano ya kutosha suko la ndani? Haya tununue chapati 500
 
Afrika viongozi wetu badilikeni inakuaje hata ngano tutegemee ya ulaya akati tunakilakitu
 
Bakhresa ananunua ngano urusi

Tanzania hatuna kilimo cha maana kwa upande wa vyakula!
Ndio hizo pesa za kununulia ngano akanunue mahindi sasa maana yanaozea mashambani, sio lazima tule ngano, suala la njaa litakua la kujitakia sasa
 
Afrika viongozi wetu badilikeni inakuaje hata ngano tutegemee ya ulaya akati tunakilakitu
Huwezi lima kila kitu kila mahali kwa kiwango sawa, unalima kinacholimika kwa mazingira yako, ni kama Zabibu, kwanini inalimwa zaidi Dodoma? Na mchele unalimwa zaidi Mbeya?
 
Back
Top Bottom