Kiparuanda
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,587
- 2,389
Nguo karibia zote tuvaazo zinatoka ughaibuni, vyombo vya nyumbani 95% ni imported, simu pamoja na internet yake ni za mabepari, dawa, mbegu, nishati, mitambo, technology, magari, satellite, silaha, mitaala ya elimu n.k ni imported. Nadhani upo sahihi.Sisi Africa ni bure kabisa tunazalisha kidogo Sana
Je, haitakuwa sahihi zaidi kusema tumesimama?Haitokuwa sahihi zaidi kusema kuwa "tumekalishwa" au "tumehifadhiwa" (kept) kwajili ya matumizi?
Sent from my TECNO LB7 using JamiiForums mobile app
Nguo , simu na internet vimeanza lini kuleta njaa, au unachangia uzi mwingine? Samahani lakiniNguo karibia zote tuvaazo zinatoka ughaibuni, vyombo vya nyumbani 95% ni imported, simu pamoja na internet yake ni za mabepari, dawa, mbegu, nishati, mitambo, technology, magari, satellite, silaha, mitaala ya elimu n.k ni imported. Nadhani upo sahihi.
Sent from my TECNO LB7 using JamiiForums mobile app
Mradi wa ngano hanang unaendelea vipi?Afrika viongozi wetu badilikeni inakuaje hata ngano tutegemee ya ulaya akati tunakilakitu
Tuanze kupiga misosi ya chukuchuku tu, hamna namna.Kwani mafuta ya kula yanatokea wapi maana si kwa bei hii[emoji51]
Umejenga mfumo wa kuwasambazia watanzania(supply chain) mihogo na viazi vitamu kila siku mahali popote nchini ? Hujui haya ni mazao ya msimu na kuhifadhi shida ukilinganisha na nafaka? Mwehu mkuu mmoja.Waambie sisi asubuhi tunaamka na viazi vutam,Mihogo au kipolo cha wali au ugali.
Ngano hatuna matumizi nayo Saana wehu nyie
Mahindi na mchele yanamfumo mzuri wa kuhifadhiwa na kusambazwa, tutaendelea tu kula ugali na waliUmejenga mfumo wa kuwasambazia watanzania(supply chain) mihogo na viazi vitamu kila siku mahali popote nchini ? Hujui haya ni mazao ya msimu na kuhifadhi shida ukilinganisha na nafaka? Mwehu mkuu mmoja.
Hatuna kilimo cha umwagiliaji na large scale farmingAfrika viongozi wetu badilikeni inakuaje hata ngano tutegemee ya ulaya akati tunakilakitu
Mbona umezungumzia viwili tu wakati mimi nimezungumzia zaidi ya vitu viwili?Umejenga mfumo wa kuwasambazia watanzania(supply chain) mihogo na viazi vitamu kila siku mahali popote nchini ? Hujui haya ni mazao ya msimu na kuhifadhi shida ukilinganisha na nafaka? Mwehu mkuu mmoja.
Mkuu nazi ni habari ya mjini kwa sasaTuanze kupiga misosi ya chukuchuku tu, hamna namna.
Usiniambie? imefika bei ngapi?Mkuu nazi ni habari ya mjini kwa sasa
1500 ya kuunga mchuzi ,1700 ya wali mchuziUsiniambie? imefika bei ngapi?
Mh Katibu mkuu, Afrika ni Dunia nyingine kabisa, kama huamini tafuta mshikaji anaitwa Corona muulize habari za Afrika.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ameonya kwamba vita vya Urusi dhidi ya Ukraine vinaweza kusababisha kile alichokiita "kimbunga cha njaa" na uhaba wa chakula kote duniani.
Alisema nchi nyingi za Afrika na maskini zinategemea zaidi uzalishaji wa ngano wa Urusi na Ukraine, ambayo sasa iko hatarini kutokana na mzozo huo.
Hii ni pamoja na Burkina Faso, Somalia na Yemen ambazo tayari zinahangaika kulisha watu wao.
Bw. Guterres ametoa wito wa kusitishwa kwa vita hivyo mara moja ili kuepuka kuharibika kwa mifumo ya chakula duniani.
Pia alitangaza kifurushi cha $40m (£31m) kusaidia mamilioni ya Waukraine wanaokabiliwa na njaa na kupungua kwa usambazaji wa maji na dawa.
BBC Swahili
Duh!! Umenibumbulua mshikaji wangu, shamba nina minazi karibu 100 waduwanzi wanajibebea bebea tu, sasa nahamia rasmi shambani.1500 ya kuunga mchuzi 1700 ya wali mchuzi
Duh mkuu unaikosa pesa simamia zikomae vizuri mwenzi wa nne Ramadhani panapo majaliwa unauza kwa bei nzuriiDuh!! Umenibumbulua mshikaji wangu, shamba nina minazi karibu 100 waduwanzi wanajibebea bebea tu, sasa nahamia rasmi shambani.
Aache upumbavu njaa watapata hao wazungu wenzake, rubbish