Umoja wa Mataifa: Afrika itakumbwa na uhaba wa ngano kutokana na vita vya Urusi na Ukraine

Umoja wa Mataifa: Afrika itakumbwa na uhaba wa ngano kutokana na vita vya Urusi na Ukraine

Sisi Africa ni bure kabisa tunazalisha kidogo Sana
Nguo karibia zote tuvaazo zinatoka ughaibuni, vyombo vya nyumbani 95% ni imported, simu pamoja na internet yake ni za mabepari, dawa, mbegu, nishati, mitambo, technology, magari, satellite, silaha, mitaala ya elimu n.k ni imported. Nadhani upo sahihi.

Sent from my TECNO LB7 using JamiiForums mobile app
 
Nguo , simu na internet vimeanza lini kuleta njaa, au unachangia uzi mwingine? Samahani lakini
 
Kwani mafuta ya kula yanatokea wapi maana si kwa bei hii😬
 
Waambie sisi asubuhi tunaamka na viazi vutam,Mihogo au kipolo cha wali au ugali.
Ngano hatuna matumizi nayo Saana wehu nyie
Umejenga mfumo wa kuwasambazia watanzania(supply chain) mihogo na viazi vitamu kila siku mahali popote nchini ? Hujui haya ni mazao ya msimu na kuhifadhi shida ukilinganisha na nafaka? Mwehu mkuu mmoja.
 
Mahindi na mchele yanamfumo mzuri wa kuhifadhiwa na kusambazwa, tutaendelea tu kula ugali na wali
 
Umejenga mfumo wa kuwasambazia watanzania(supply chain) mihogo na viazi vitamu kila siku mahali popote nchini ? Hujui haya ni mazao ya msimu na kuhifadhi shida ukilinganisha na nafaka? Mwehu mkuu mmoja.
Mbona umezungumzia viwili tu wakati mimi nimezungumzia zaidi ya vitu viwili?

Akili ndogo Uzia Mkuu
 
Ngano labda itakuwa tatizo kwa Afrika kaskazini huko lakini pengine siyo issue sana maana ngano siyo chakula kikuu vipo vingine

Kwa hiyo Bwana Katibu Mkuu hiyo ngano pambaneni nayo huko
 
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ameonya kwamba vita vya Urusi dhidi ya Ukraine vinaweza kusababisha kile alichokiita "kimbunga cha njaa" na uhaba wa chakula kote duniani.

Alisema nchi nyingi za Afrika na maskini zinategemea zaidi uzalishaji wa ngano wa Urusi na Ukraine, ambayo sasa iko hatarini kutokana na mzozo huo.

Hii ni pamoja na Burkina Faso, Somalia na Yemen ambazo tayari zinahangaika kulisha watu wao.

Bw. Guterres ametoa wito wa kusitishwa kwa vita hivyo mara moja ili kuepuka kuharibika kwa mifumo ya chakula duniani.

Pia alitangaza kifurushi cha $40m (£31m) kusaidia mamilioni ya Waukraine wanaokabiliwa na njaa na kupungua kwa usambazaji wa maji na dawa.

BBC Swahili
Mh Katibu mkuu, Afrika ni Dunia nyingine kabisa, kama huamini tafuta mshikaji anaitwa Corona muulize habari za Afrika.
 
Huyu si ndie yule aliyesema tutaokota maiti Africa due to Covid-19!?
 
Duh!! Umenibumbulua mshikaji wangu, shamba nina minazi karibu 100 waduwanzi wanajibebea bebea tu, sasa nahamia rasmi shambani.
Duh mkuu unaikosa pesa simamia zikomae vizuri mwenzi wa nne Ramadhani panapo majaliwa unauza kwa bei nzurii
 
Back
Top Bottom