Ashasembeko
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 225
- 910
Ninaishauri serikali ifanye mahesabu yake vizuri katika ujio wa Lissu leo. Hili tukio linafuatiliwa kwa umakini sana na mabalozi na Shirika la Umoja wa Mataifa Nchini.
Jana usiku email ilitumwa na Umoja wa Mataifa kwenda kwa taasisi zake nchini na baadhi ya balozi na mashirika ya kifedha ya kimataifa, kutoa tahadhari ya usalama juu ya ujio wa Tundu Lissu.
Wafanyakazi wametahadharishwa kutokuwa karibu na airport na kama kuna watu walikua na mipango ya kusafiri wamemabiwa wahairishe kwa siku nyegine, sababu wanahisi polisi watawashugulikia watu watakaoenda kumpokea.
Hapa ndipo tulipofikia Tanzania. Watanzania kumpokea Mtanzania mwezao airport limekua swala la kuleta mtafaruku.