Umoja wa Mataifa Nchini watoa tahadhari kuja kwa Tundu Lissu

Ashasembeko

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2017
Posts
225
Reaction score
910
Ninaishauri serikali ifanye mahesabu yake vizuri katika ujio wa Lissu leo. Hili tukio linafuatiliwa kwa umakini sana na mabalozi na Shirika la Umoja wa Mataifa Nchini.

Jana usiku email ilitumwa na Umoja wa Mataifa kwenda kwa taasisi zake nchini na baadhi ya balozi na mashirika ya kifedha ya kimataifa, kutoa tahadhari ya usalama juu ya ujio wa Tundu Lissu.

Wafanyakazi wametahadharishwa kutokuwa karibu na airport na kama kuna watu walikua na mipango ya kusafiri wamemabiwa wahairishe kwa siku nyegine, sababu wanahisi polisi watawashugulikia watu watakaoenda kumpokea.

1595841990414.png

Hapa ndipo tulipofikia Tanzania. Watanzania kumpokea Mtanzania mwezao airport limekua swala la kuleta mtafaruku.
 
Watu wanashindwa kusoma alama za nyakati.
Si Tundu wa dereva atakae kamatwa leo, Lisu atakatwa siku ya kesi yake, ambapo wadhamini watajitoa, na sababu ameruka dhamana, ndio itakuwa point ya kumuweka ndani kiulaini hadi uchaguzi upite. Serikali wala haina haraka na kiwete huyo. So acheni kujisumbua.
 
Serikali na vyombo vyale leo hawatamkamata Lissu. Kama ni kudakwa atashikwa siku nyingine kabisa na watatumia kisingizio cha moja ya kesi zake. Leo media zote hata za nje zinategemea asumbuliwe na watakua "disappointed".
 
Watu wanashindwa kusoma alama za nyakati.
Si Tundu wa dereva atakae kamatwa leo, Lisu atakatwa siku ya kesi yake, ambapo wadhamini watajitoa, na sababu ameruka dhamana, ndio itakuwa point ya kumuweka ndani kiulaini hadi uchaguzi upite. Serikali wala haina haraka na kiwete huyo. So acheni kujisumbua.

Nywanoko!
 
Bullet survivor atiswi kukamatwa,wakimkata ndo vizuri watakuwa wameumeza mtego.
Mandela alipigiwa kura akiwa jela,from prison to state house.
 
Watu wanashindwa kusoma alama za nyakati.
Si Tundu wa dereva atakae kamatwa leo, Lisu atakatwa siku ya kesi yake, ambapo wadhamini watajitoa, na sababu ameruka dhamana, ndio itakuwa point ya kumuweka ndani kiulaini hadi uchaguzi upite. Serikali wala haina haraka na kiwete huyo. So acheni kujisumbua.
Kiwete in mamako na mwenyekit wako anaenzika lofa
 
Watu wanashindwa kusoma alama za nyakati.
Si Tundu wa dereva atakae kamatwa leo, Lisu atakatwa siku ya kesi yake, ambapo wadhamini watajitoa, na sababu ameruka dhamana, ndio itakuwa point ya kumuweka ndani kiulaini hadi uchaguzi upite. Serikali wala haina haraka na kiwete huyo. So acheni kujisumbua.
Una semaje wewe mbuzi pori unamdharau kamanda unasema kiwete uwongozi umekaa kimya na sisi tukijibu kwa dharau kama hizo na mwenyekiti wako tukamletea dharau basi uwongozi nao ukae kimya wasitafungie
 
Back
Top Bottom