Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Umoja wa Mataifa kupitia baraza lake la usalama utume mchunguzi huru na ukweli ufahamike. Maana haya hayakuwa mauaji dhidi ya waandamanaji bali ni mauaji dhidi ya raia wasio na hatia.
Jana kuna familia wamefanya ibada ya mazishi kwa kutumia picha ya mpendwa wao ambae hajaonekana tangu oktoba 29.Binti wa miaka 29 fundi cherehani amepotezwa bila sababu.
Najua huu ujumbe utawafikia sababu wapo humu ndani Jf