PostGE2025 Umoja wa Mataifa ulete mchunguzi huru, Mauaji yaliyofanyika ni makubwa kuliko inavyodhaniwa

PostGE2025 Umoja wa Mataifa ulete mchunguzi huru, Mauaji yaliyofanyika ni makubwa kuliko inavyodhaniwa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Umoja wa Mataifa kupitia baraza lake la usalama utume mchunguzi huru na ukweli ufahamike. Maana haya hayakuwa mauaji dhidi ya waandamanaji bali ni mauaji dhidi ya raia wasio na hatia.

Jana kuna familia wamefanya ibada ya mazishi kwa kutumia picha ya mpendwa wao ambae hajaonekana tangu oktoba 29.Binti wa miaka 29 fundi cherehani amepotezwa bila sababu.

Najua huu ujumbe utawafikia sababu wapo humu ndani Jf
VIKOSI VYA MAUAJI KUTOKA ZANZIBAR KMKM VILIPOKEA AMRI KUTOKA KWA MWINYI ...HIVYO RAIS MWINYI ANAUSIKA KIKAMILIFU KWENYE HAYA MAUAJI HIVYO VIKOSI VIPO CHINI YA RAIS WA ZANZIBAR KWA ASILIMIA 100%
 
ila ARV zao unazibugia kama karanga mbwa wewe
Hehehe.... Umenikumbusha Chanjo ya Covid-19 watu wanaiponda sana.

Lakini wanaosema Ilikuwa sumu hawakuacha kubugia ARV, Condom na kumeza P2 kama karanga

Hahaha
 
Back
Top Bottom