Hakuna cha umoja wa mataifa wala umoja wa mikoa.Unajua maana ya umoja wa mataifa?
Wewe ni mseHakuna cha umoja wa mataifa wala umoja wa mikoa.
Angalia hii afu unitofautishie kati ya Idd Amin na naniliuHakuna cha umoja wa mataifa wala umoja wa mikoa.
Nawe acha kuwa kama zezeta Mkuu, be humanHakuna cha umoja wa mataifa wala umoja wa mikoa.
QumalamamaakoHatuwezi kuruhusu watu wa nje waingilie mambo yetu ya ndani , kama unataka wachunguze toka nje ya nchi wakuchunguze wewe
Nyumbu weweQumalamamaako
Nyamaza we Kundugeni.Nyumbu wewe
Unawazuia watu wa nje wasiingilie mambo yetu ya ndani wakati wewe unaruhusu wanaume wenzako wakuingilie nyuma,kinyume na maumbile,hivi una akili wewe shoga mahiriHatuwezi kuruhusu watu wa nje waingilie mambo yetu ya ndani , kama unataka wachunguze toka nje ya nchi wakuchunguze wewe
Mkuu hata kuandamana siyo kosa la kustahili kupigwa risasi. Ukisema yalikuwa mauaji ya raia wasiokuwa na hatia kwa sababu hawakuwa waandamanaji unakuwa kama unasema kuandamana ni kosa la kuuawa.Umoja wa Mataifa kupitia baraza lake la usalama utume mchunguzi huru na ukweli ufahamike. Maana haya hayakuwa mauaji dhidi ya waandamanaji bali ni mauaji dhidi ya raia wasio na hatia.
Jana kuna familia wamefanya ibada ya mazishi kwa kutumia picha ya mpendwa wao ambae hajaonekana tangu oktoba 29.Binti wa miaka 29 fundi cherehani amepotezwa bila sababu.
Najua huu ujumbe utawafikia sababu wapo humu ndani Jf
Sijui alipatwa na nini hadi kuamuru Mauaji mkubwa hivi ya Wapigakura wake??..INASHANGAZA!Watanzania wenzangu hakuna damu ya mtanzania itaenda bure ni suala la muda mfupi Tu huyu Maza ataenda kujibu Huko ICC.
Huwezi kuuwa hivi alafu dunia ikae kimya