Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Numby.....nyie ndo mnamtaja...tuacheni hii tabia jamaniAshakufa lakini bado mnamtaja taja duh
π€£π€£π€£π€£..ile mizigo aliyokua anaipenda sijui wamama weupe kaiacha dah .......Na harudi tenaaaaaaaaaa
Jamaa hawaeleweki kabisa, kipindi mabeberu wakimkosoa watetezi wake walisema ukiona wazungu wanakusifia jua una kasoro, ila leo wanadai mabeberu 'wanamuomboleza' as if ni kiumbe cha maana kimeondoka!!Kwa hiyo leo mnawafwata mabeberu?
NB: Sio kwamba wanamuenzi ni kwamba wanafurahia "uchwara" hayupo. Siku nyingine jifunze abc's za diplomasia.
Wanyonge gani? Labda sukuma gang ...Amekufa mioyoni mwa mabeberu ila mioyoni mwa wanyonge falsafa zake bado zinaishi.
hivi Angela Kairuki bado yuko kwenye cabinet?π€£π€£π€£π€£..ile mizigo aliyokua anaipenda sijui wamama weupe kaiacha dah .......
Mhhh sidhanihivi Angela Kairuki bado yuko kwenye cabinet?
Hii ni kumbukumbu ya kawaida ya UN pindi kiongozi wa nchi mwanachama anapofariki. Hapakuwa na sifa za maana kwa magufuli isipokuwa tu lugha ya kawaida ya staha kwa wafiwa.Salama Wana Mapinduzi wa JF?
Ndugu zangu huko Duniani kwa sasa ni Viongozi wa Dunia wanavyomuenzi Mpendwa Wetu Hayati John Pombe Joseph Magufuli kwa kuelezea Uimara na Misimamo Yake thabiti katika Kuunganisha Taifa Letu na Mapinduzi Makubwa ya kiuchumi.
Link hii hapa chini karibu tufatilie uchambuzi yakinifu unaofanywa kumhusu Mpendwa Wetu JPM.
[emoji116]
https://www.facebook.com/
Mara nyingi huu huwa unaitwa unafiki wa kisasa. Hao hao walikuwa wanamzingua,sa hiv wanalipi jipya zaidi ya kujicontradict wenyewe.hawa watu siko zote siyo credible.ukiona hivyo kuna kitu wanataka kukipenyezaSalama Wana Mapinduzi wa JF?
Ndugu zangu huko Duniani kwa sasa ni Viongozi wa Dunia wanavyomuenzi Mpendwa Wetu Hayati John Pombe Joseph Magufuli kwa kuelezea Uimara na Misimamo Yake thabiti katika Kuunganisha Taifa Letu na Mapinduzi Makubwa ya kiuchumi.
Link hii hapa chini karibu tufatilie uchambuzi yakinifu unaofanywa kumhusu Mpendwa Wetu JPM.
[emoji116]
https://www.facebook.com/
Ni kanuni zao wala hamna la ajabu hapoWamekosa kazi unless ni utaratibu wa kawaida.
fi AliceAmekufa mioyoni mwa mabeberu ila mioyoni mwa wanyonge falsafa zake bado zinaishi.
Naunga mkono hojaHebu tumfufue halafu tumuue kwa maumivu zaidi
Tunasubiria ripoti ya CAG ya January mpaka MarchTumjadili marehemu? Ashakufa
Usiseme sisi, kwa mimi ni shujaa, wewe endelea kumfaham fika.Waache wajadili, ila sisi tuliokuwa naye ndo tunamfaham fika.
Hiyo siku tutafte popcorn tu aise na minyagi ya kututoa stressTunasubiria ripoti ya CAG ya January mpaka March