Umoja wa Mataifa (UN) wapiga kura kupitisha ramani mpya ya dunia ili kuonyesha ukubwa halisi wa Afrika

Umoja wa Mataifa (UN) wapiga kura kupitisha ramani mpya ya dunia ili kuonyesha ukubwa halisi wa Afrika

•What’s Mercator’s Cancer,Capricon and Equator?”
So the helmsman would ask.
And the crewsmen would answer,
“They are just conventional signs”.
 
Waafrika wamafanikiwa katika kampeni Yao kutaka ramani ya Dunia ichorwe upya ikioneha Ukubwa Halisi wa bara la Afrika.

Ramani ya Dunia ilivyokua ikitumika siku zote ilionesha bara la Afrika kuwa ni dogo kuliko Greenland, Sasa sijui hii ikitokea Kwa bahati mbaya au kwa makusudi

WAJUMBE wa umoja wa mataifa wanaohusika na mambo hayo walipiga kura kuridhia kutumika kwa ramani mpya ya Dunia ikionesha ukubwa Halisi wa bara la Afrika, nchi zote zilizoshiriki kikao hicho zilipiga kura ya kukubali ramani mpya kasoro nchi moja TU ndio ilikataa. Nchi hiyo ni Marekani.

Imeonekana kwamba ukubwa wa bara la Afrika unaweza kuzimeza nchi za Marekani, China, India na Ulaya na nafasi ikabaki.

Naomba wadau mnaojua mambo haya ni Kwa Nini walikua wanadogosha ukubwa wa bara la Afrika,Kuna faida gani walikua wanapata,au ni bahati mbaya TU?

Na baada ya UN kukubali kutumika kwa ramani mpya je ni faida gani Afrika itapata?

View attachment 3664385
Wazungu tunaowaona wastaarabu sometimes ni wababaishaji tu. Ishu ipo wazi, NASA wanayo lkn ktk hilo limeamriwa Kwa kutumia kura.
 
Mlima Kilimanjaro kagundua mzungu, fuvu la kale kule umasaini kagundua mzungu, ziwa Victoria kagundua mzungu, bara la Africa kagundua mzungu 🤣😅🤣 RAMANI YA TZ, AFRICA NA DUNIA KACHORA MZUNGU na bado mnaendelea kuamini hata dini ya Ukristo imeletwa na mzungu wakati ilikuwepo Africa hata kabla ya Yesu.
Wazungu wameigawanya dunia katika madaraja 04 (Wazungu, Waasia, Waarabu na Waafrika).
Anyways pamoja na yote sisi Waafrika ni wapumbavu tu mbele ya wazungu ndio maana zaidi ya miaka 200+ hadi leo tumeshindwa kujikomboa kutoka kuwa makoloni ya wazungu, hadi leo mzungu anatutawala na kamwe hatutaweza kujikomboa.
 
Nimeiona Tz yangu,pamoja na kuzungukwa na maji pande zote bado inategemea mvua za msimu kwenye Kilimo,Hilo eneo lilitakiwa wakae ngozi nyeupe ili wailishe Dunia.

Africa ni kubwa jinga.

Bara limejaza vilaza mtupu.

cha ajabu leo hii nchi za kiafrika ikiwemo tanzagiza pia zinaruhusiwa chini ya agoa ku-export goods to the USA bila ya kodi, i.e tuna tarif free export of goods to the USA market hizi kodi za USA zinazoliza dunia nzima tarifs za Trump nchi za kiafrika (sub- sahara) zimesamehewa, haulipii chochote ku-export products zako USA na USA ndiyo soko kubwa la bidhaa duniani ambalo kila nchi inaligombania lkn wanapigwa kodi sisi ni free na Trump amesha renew lkn hausikii chochote upande wa afrika kimya badala ya kukaa kujipanga jinsi ya kunufaika wako kwenye mambo yasiyo na maana.
sasa ramani sijui inayoonyesha afrika kubwa inakusaidia nini labda kwenye kuzalisha ajira? sana sana inazidi kukuchoresha tu inaonekana big continent but the poorest na halina mchango wowote wa maana kwenye world economy.

exports create emplyment na kujenga middle class na siyo ujinga, dhuluma, utapeli na wizi wa mafremu ya gsm ...

Haya sasa waafrika mmeongezewa muonekano wa bara lenu limekua kubwa na madini yameongezeka na fulsa zimekua kedekede na kuanzia leo mjitegemee

Kweli nchi yetu Mjerumani alicheza mchezo mkali ukiangalia tu ramani ya Africa unajua iko wapi, imezungukwa na maziwa makubwa matatu; Victoria, Tanganyika na Nyasa.
africa mpya ni hakika
 
Back
Top Bottom