MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 350
- 576
Kiongozi wa Umoja wa Mataifa Jean Pierre Lacroix, kitengo cha mambo ya usalama, ametangazia kamati ya Umoja huo kwamba kundi la M23 linaukaribia mji wa Bukavu, ambao ni makao makuu ya jimbo la Kivu kusini.
Mji huu hauna ulinzi na upinzani mkali kama ilivyokuwa kwa Goma. M23 ilikuwa umbali wa km60 kutoka mjini Bukavu.
Pia ikumbukwe, baada ya anguko la Goma, M23 iliweza kupata vifaa na magari, hivyo uwezekano wa Bukavu kuanguka ukawa wa haraka sana ukilinganisha na Goma