Umoja wa mataifa, watangaza kuwa M23 inakaribia Bukavu, makao makuu ya Kivu kusini

Umoja wa mataifa, watangaza kuwa M23 inakaribia Bukavu, makao makuu ya Kivu kusini

Umeona akili yako ilivo haina akili Kwaiyo unaringanisha uovu kwa uovu???
Nyie mnalaana nyie
Nimeilimganisha kutokana na swali lako na kama umeishiwa hoja ni bora ujinyamanzie.
 
Congo ipo uchi, nadhani waasi wanapewa support na nchi fulani fulani na pia baadhi ya decion makers wa SADC, naona kama huo umoja hauko serious na hilo jambo.
 
Kweni Kagame kakataa kuwa Wanyarwanda wenye asili ya Kihutu waliokimbilia Kongo baada Genocide sio raia wa Rwanda?

Warudi nyumbani bila silaha hawana cause.
Mbona Sasa hataki kuongea na FDLR?
 
unavofanya ulinganifu fanya kati ya kizuri na kibaya!!
Acha ushetani we m23 terrorist
Mimi nina hii ID moja wewe unaniijia na maelfu ya ID lakini unajisahau kwenye mwandiko pole.
 
Wangekubalika na utawala wa Kigali wangesharudi miaka mingi sana ila utawala huo unawaona maadui.
Wanataka kurudi na Silaha kwenda kuuondoa utawala wa Rwanda.
 
Kwani hamjaanza kusikia Malalamiko ya Kagame...!?

Ukitaka kujua kinachoendelea Congo juu ya M23, wewe uwe unamsikiliza tu Kagame.

Sasa hivi keshaanza kusema Congo na Washirika wake wanapaka kwenda kumpindua...!

Na Jana namsikia anasema anataka Meza ya Majadiliano kuhusu Congo......!

Ukitaka kujua tabia za Watutsi mtizame Kagame, Ndo utajua Kwa Nini Wahutu walidhamilia kuwafuta Rwànda na Burundi.
 
Back
Top Bottom