MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 350
- 576
Porojo tu hizo. SADC ipo Congo kama kasongo yeye mobali ba ngai. Mbona Goma imeanguka mbele ya macho yaoSADC wametuma JESHI huko tulia mda si mrefu Kuna watu watajuta kuzaliwa
Lile JESHI lilikuwa la walinda aman siyo la mapambanoPorojo tu hizo. SADC ipo Congo kama kasongo yeye mobali ba ngai. Mbona Goma imeanguka mbele ya macho yao
Unakumbuka Kikwete alipomwambia Kagame aongee na waasi? Aliongea nao?Tishekedi aongee na Waasi kabla mambo hayajakuwa makubwa kama enzi za Laurent Kabila. Waasi wengine wameelekea Kisangani kwenye Mto Kongo.
Sasa SADC itatuma jeshi sehemu gani wakati Waasi wa Congo River Alliance wameelekea Kisangani na M23 wameelekea Bukavu?SADC wametuma JESHI huko tulia mda si mrefu Kuna watu watajuta kuzaliwa
Hatuko tiar kuongea na waasi sisiSasa SADC itatuma jeshi sehemu gani wakati Waasi wa Congo River Alliance wameelekea Kisangani na M23 wameelekea Bukavu?
Sasa hivi itakuwa kazi kuwa contain labda jeshi la SADC liwe 100,000 strong na liwe na air power iwe na ndege za bombers na jet fighters.
Ni kwanini Tishekedi asiongee na M23 ili wao wajionde kwenye Rebellion.
SADC yenye wanajeshi wanaokata mauno ya Ikibindankoi na Vuvuzela!SADC wametuma JESHI huko tulia mda si mrefu Kuna watu watajuta kuzaliwa
Pia Jeshi la Rwanda limeshaandika tamko kwamba wanataka usuluhisho wanaomba kukaa mezani na EAC na SADCSADC wametuma JESHI huko tulia mda si mrefu Kuna watu watajuta kuzaliwa
Waasi wataanza kupokea Dolar za Tesla na I phone Samsung wazidi kujilimbikizia Silaha za kisasa kufumba na kufumbua mtajikuta mnafukuzwa na kufia musituni.Hatuko tiar kuongea na waasi sisi
Ukisoma between lines unaona hapa kuna uongo, propoganda au ushabikiKiongozi wa Umoja wa Mataifa Jean Pierre Lacroix, kitengo cha mambo ya usalama, ametangazia kamati ya Umoja huo kwamba kundi la M23 linaukaribia mji wa Bukavu, ambao ni makao makuu ya jimbo la Kivu kusini.
Mji huu hauna ulinzi na upinzani mkali kama ilivyokuwa kwa Goma. M23 ilikuwa umbali wa km60 kutoka mjini Bukavu.
Pia ikumbukwe, baada ya anguko la Goma, M23 iliweza kupata vifaa na magari, hivyo uwezekano wa Bukavu kuanguka ukawa wa haraka sana ukilinganisha na Goma
Ndo maana platform. Watu wote hawana taarifa sawa kuhusu jambo fulani. Pia,habari hupatikana sehemu tofauti. Napendekeza na wewe kutuletea unazozijua.Ukisoma between lines unaona hapa kuna uongo, propoganda au ushabiki
Huna unachojuaLile JESHI lilikuwa la walinda aman siyo la mapambano
Hili lililotumwa ni la mapambano siyo la kulinda Aman