Umoja wa mataifa, watangaza kuwa M23 inakaribia Bukavu, makao makuu ya Kivu kusini

kasaidie m23 wenzio
Mimi kwasasa sina tena umri wa kujiunga na jeshi lakini kama ningekuwa bado ni Barubaru ningeenda kwanini Mamluki kutoka Ulaya wale pesa za Mwafrika za bure halafu mimi niwe nasaga kandambili kuzunguka kutafuta ajira wakati hata hazipatikani.

Mimi umri wangu kwasasa ni kutoa ushauri kwa Waafrika wenzangu.
 
We kama Rais wa nchi unaweza ongea nao nini wakati unajua wanachotaka ni uhaini yaani kugawa nchi kwa jirani na baadae uje upewe heshima, ni bora kupinduliwa ijulikane kuwa umeshindwa na siyo kuongeza mikataba yenye utata kwa kizazi kijacho kama ule kihuni wa remela maana labda kizazi cha baadae kitaweza kujiokoa.
 
Raisi muelewa DRC angefanya mazungumzo rudisha AMANI YA KUDUMU DRC halafu jenga Nchi ya DRC jenga Jeshi jenga UCHUMI mpaka HESHIMA inarejea ikifikia hivyo jakuna mtu atakaeisogelea DRC na itakuwa Super Power ya Afrika.
 
sema watutsi wenzio nyie ndo mnaua waafrica wenzenu muibe madin muwauzie madin wazungu
 
M23 wangekuwa waasi makatili wangeuwa raia, wao wanasema wananyanyaswa pia congo ni dhaifu sana, na wanatafuta kuipindua hiyo serikali ya congo, raisi na serikali yake, wanawauwa wananchi pia askari wao ni wabakaji, kuna jambo halijakaa sawa katika serikali ya kongo na watawashinda wasipokuwa makini, japo pia M23 Ni wakongo na rwanda ndani yake!
 
We ni m23 full stop
 
Ina maana huu umoja wa mataifa jeshi lake halina vifaa vya kisasa kuzidi M23? Mbona kama Kuna kamchezo
 
Ina maana huu umoja wa mataifa jeshi lake halina vifaa vya kisasa kuzidi M23? Mbona kama Kuna kamchezo
Umeona eh? Kumbuka huo umoja wa mataifa, una wababe ndani yao Na wengine, wanaitegemea Congo hiyo hiyo. Watafanyaje!
 
sema watutsi wenzio nyie ndo mnaua waafrica wenzenu muibe madin muwauzie madin wazungu
Mbona hata Mkapa aliwafukia wachimbaji wadogo wadogo wa Kiafrika huko Bulyankulu halafu akawapa Madini Wazungu nayeye ni Mtutsi?

Au akifanya mtu mwingine sawa akifanya Mtutsi inakuwa ni nongwa?
 
Tishekedi aongee na Waasi kabla mambo hayajakuwa makubwa kama enzi za Laurent Kabila. Waasi wengine wameelekea Kisangani kwenye Mto Kongo.
Alafu wamoe masharti ya kuwakatia eneo au aachie kiti.
 
Daah
 

Attachments

  • IMG-20250202-WA0155.jpg
    102.2 KB · Views: 2
Mbona hata Mkapa aliwafukia wachimbaji wadogo wadogo wa Kiafrika huko Bulyankulu halafu akawapa Madini Wazungu nayeye ni Mtutsi?

Au akifanya mtu mwingine sawa akifanya Mtutsi inakuwa ni nongwa?
Umeona akili yako ilivo haina akili Kwaiyo unaringanisha uovu kwa uovu???
Nyie mnalaana nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…