Umoja wa mataifa, watangaza kuwa M23 inakaribia Bukavu, makao makuu ya Kivu kusini

Ukiambiwa uchague uishi kati ya Rwanda au Burundi utachagua wapi?
 
Unawatuhuma kuwa na agenda za kuendeleza 'genocide'.
Kwahiyo hata wakiweka silaha chini wakarudi kama raia na wapewe elimu ya uraia na kuwaondoa hiyo Idiolojia ya Genocide.

Hivi idadi yao inaweza kufikia ngapi?!
 
sema watutsi wenzio nyie ndo mnaua waafrica wenzenu muibe madin muwauzie madin wazungu
Na nyie Wahutu mnafanini huko maporini, mnaua hao Watusi ili mpate nini. Wacheza mayenu wamesanda sasa ingieni warfront muwapambanie.
 
Pia Jeshi la Rwanda limeshaandika tamko kwamba wanataka usuluhisho wanaomba kukaa mezani na EAC na SADC
Mkuu jeshi la Rwanda linataka suluhisho na akina nani? kwani liko vitani? mbona vita iko congo au Rwanda inaisaidia congo kupigana na m23?
 
Raisi muelewa DRC angefanya mazungumzo rudisha AMANI YA KUDUMU DRC halafu jenga Nchi ya DRC jenga Jeshi jenga UCHUMI mpaka HESHIMA inarejea ikifikia hivyo jakuna mtu atakaeisogelea DRC na itakuwa Super Power ya Afrika.
Ni dharau kubwaa saana kufanya hivo bora waichukue kinguvu, ili vizaz vitakavgokuja vijue baba zao waliuawa kuitetea nchi yao. Then wao waamue nini kifanyike.
 
Noma sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…