Mo graphics 2019
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,002
- 1,483
Dunia kwa kukubali shinikizo la Marekani, Uingereza na baadhi ya madola ya magharibi wameamua kufumbia macho jinai zinazoendelea huko Gaza.View attachment 2806573
Kwa mujibu wa taarifa ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres, mashambulizi yanayoendelea #Gaza pia, yamesababisha athari kubwa kwa Watoto ambapo kila baada ya dakika 10 Mtoto mmoja anauawa.
Guterres amesema hadi sasa takriban Watoa Huduma 89 wa UN wamepoteza maisha wakati wakiwa katika zoezi la kutoa misaada kwa waathirika wa mapigano kati ya #Israel na #Hamas.
Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Euro-Med Monitor, limesema karibu Watoto 52,500 wako hatarini kukumbwa na Njaa, Magonjwa na Vifo na Wajawazito 55,000 hawana uhakika wa Usalama wakiwemo 5,500 wanaokaribia kujifungua mwezi Novemba.
========
The number of Palestinians killed in Gaza since Hamas attacked Israel on October 7 has surpassed 10,000, according to the Palestinian Ministry of Health in Ramallah drawing from sources in the Hamas-controlled enclave.
More than 70% of those killed were children, women and the elderly, while some 24,000 people have been injured, according to the ministry.
On Monday, the Hamas-controlled health ministry in Gaza said the death toll in the enclave had risen to more than 10,000.
Some background: Israel declared war on Hamas after the Islamist militant group launched a brutal attack on October 7, killing 1,400 in Israel and kidnapping more than 240. Israel retaliated by launching an air and ground offensive on Gaza, vowing to eliminate the militant group.
Thousands more Palestinians have been killed in Gaza in the past month than during conflicts with Israel spanning the past 15 years.
The United Nations Human Rights Office said the attacks last week on Gaza’s largest refugee camp “could amount to war crimes” given the scale of casualties and destruction.
CNN
Mbeleko ya Marekani inamlinda .Kwa nini Israel haichukuliwi hatua kali?
Vipi mkuu, Mbona Unamtetea mchokozi? Si ni HAMAS waliliamsha tar.7/10/2023 na wakashangilia sana? Mwamba akawa mtaarabu na kutoa masaa 24 ili waungwana waondoke kupisha Gaidi ashughulikiwe. Huyo HAMAS aliwazuia kwa nguvu watu eti wasiondoke kwa madai kwamba wao (HAMAS) wanalimudu game la Myahudi. Wajinga na Wadanganyika wa kiPalestina wakawasikiliza wakiwemo hao wenye watoto, wenye mimba na baadhi ya wazee.Wewe una akili za matope kati ya binadamu. Yaani Israel inafanya uhalifu wa kivita wewe unashabikia. Kwanza wanakalia ardhi ya watu kimabavu, halafu wanaua hadi watoto wa Kipalestina katika ardhi yao. halafu wewe unawashabikia!!! mama aliyekuzaa amekula hasara na nchi imekula hasara.
Nakazia hoja: Myahudi akikumbuka hayo 👆 👆 hasira zake zinawaka moto mno hadi anashindwa hata kusikiliza kelele na vilio vya hao jamaa.Ninyi si mliwaua kwa upanga mayahudi kipindi cha mtume wenu na bado kipindi cha Adolf Hilter mliwaua mayahudi milioni sita,tulieni nae alipize kisasi
Hamas wanatakiwa kuacha kurusha kombora na wajisalimishe na kuachia mateka. israel ana haki ya kujilinda, raia wake zaidi ya 200 wameshikiliwa mateka na hamas, ni haki kwa israel kupambana kuwarudisha mateka, pia, rocket zinarushwa hadi sasaivi kule israel zikitokea kwa hamas, israel hawezi kukaa kimya ana haki ya kujilinda. pia wapalestina gaza waliambiwa waondoke na walipewa muda, hawataki kuondoka na hamas anakaa katikati yao anarusha roket israel, unategemea israel angenyamaza tu ili aumie? lawama ziende kwa hamas na wapalestina wenyewe aliobaki kwa kujitolea kufa, wala huwezi kuilaumu israel.View attachment 2806573
Kwa mujibu wa taarifa ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres, mashambulizi yanayoendelea #Gaza pia, yamesababisha athari kubwa kwa Watoto ambapo kila baada ya dakika 10 Mtoto mmoja anauawa.
Guterres amesema hadi sasa takriban Watoa Huduma 89 wa UN wamepoteza maisha wakati wakiwa katika zoezi la kutoa misaada kwa waathirika wa mapigano kati ya #Israel na #Hamas.
Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Euro-Med Monitor, limesema karibu Watoto 52,500 wako hatarini kukumbwa na Njaa, Magonjwa na Vifo na Wajawazito 55,000 hawana uhakika wa Usalama wakiwemo 5,500 wanaokaribia kujifungua mwezi Novemba.
========
The number of Palestinians killed in Gaza since Hamas attacked Israel on October 7 has surpassed 10,000, according to the Palestinian Ministry of Health in Ramallah drawing from sources in the Hamas-controlled enclave.
More than 70% of those killed were children, women and the elderly, while some 24,000 people have been injured, according to the ministry.
On Monday, the Hamas-controlled health ministry in Gaza said the death toll in the enclave had risen to more than 10,000.
Some background: Israel declared war on Hamas after the Islamist militant group launched a brutal attack on October 7, killing 1,400 in Israel and kidnapping more than 240. Israel retaliated by launching an air and ground offensive on Gaza, vowing to eliminate the militant group.
Thousands more Palestinians have been killed in Gaza in the past month than during conflicts with Israel spanning the past 15 years.
The United Nations Human Rights Office said the attacks last week on Gaza’s largest refugee camp “could amount to war crimes” given the scale of casualties and destruction.
CNN
Jamani ni jambo la kushangaza sana na kusikitisha mno. Hebu tuwe wakweli: Dunia (Ardhi) ina Umri wa mamilioni ya miaka. HAMAS wameanza harakati zao juzi-juzi tu hapa. Wanadai eti wana ardhi yao.(sijui waliitengeneza lini).HAMAS hawajavamia Israel. Wanatetea ardhi yao iliyoporwa mwaka 19478 kimabavu. Uporaji uliendelea mwaka hadi mwaka. Ile nchi yoye kabla ya mwaka 1948 ni ardhi wa wapelstina na waarabu wachache na wayahudi wachache waliokuwepo pale miaka maelfu kwa maelfu. Israel haina ardhi tena pale, ni Wamamizi na waporaji.
Hiyo ni ardhi ya wayahudi,kasome historia vzr,wapalestina walikalia kwa muda mrefu haiwafanyi iwe yao.
Hamas ndio chanzo cha maumivu ya raia wa palestina,kinachofanyika ni kuondoa hamas kwa gharama yoyote.
U nailed it. Congratulations.Hamas wanatakiwa kuacha kurusha kombora na wajisalimishe na kuachia mateka. israel ana haki ya kujilinda, raia wake zaidi ya 200 wameshikiliwa mateka na hamas, ni haki kwa israel kupambana kuwarudisha mateka, pia, rocket zinarushwa hadi sasaivi kule israel zikitokea kwa hamas, israel hawezi kukaa kimya ana haki ya kujilinda. pia wapalestina gaza waliambiwa waondoke na walipewa muda, hawataki kuondoka na hamas anakaa katikati yao anarusha roket israel, unategemea israel angenyamaza tu ili aumie? lawama ziende kwa hamas na wapalestina wenyewe aliobaki kwa kujitolea kufa, wala huwezi kuilaumu israel.
Ibrahim alitoka nchi gani ?Hiyo ni ardhi ya wayahudi,kasome historia vzr,wapalestina walikalia kwa muda mrefu haiwafanyi iwe yao.
Hamas ndio chanzo cha maumivu ya raia wa palestina,kinachofanyika ni kuondoa hamas kwa gharama yoyote.
Havi Hawa si ndio walio kuwa wanateseka ulaya hadi kutafutiwa hifadhi hapo middle east Sasa iweje watesi wao ndio wamekua watetezi waoWakome wajitenge na ugaidi
kwasababu ni kiongozi wa dini na amenizidi umri, naomba nitofautiane naye kwa heshima, kila alichoongea ni story za vijiweni, wamedanganywa sana na wasikilizaji wake wanaendelea kuaminishwa uongo mkubwa sana. huyu shehe ni kama anatajiru kuwaaminisha watu kuwa wayahudi halisi ni Falasha wa Ethiopia. naomba nimweleweshe kwamba hao ni mojawapo tu ya wayahudi, ial hata hao waliopo israel ni wayahudi kweli.
hiyo ni ardhi yao, walikuwa wanarudi kwao.usimsikikilize uyo kiongozi, anawadanganya na hata hajui anahcoongea.Havi Hawa si ndio walio kuwa wanateseka ulaya hadi kutafutiwa hifadhi hapo middle east Sasa iweje watesi wao ndio wamekua watetezi wao
Kunakitu kimejificha hapa tuache udini ili tujue ukweli.
hiyo ni ardhi yao, walikuwa wanarudi kwao.usimsikikilize uyo kiongozi, anawadanganya na hata hajui anahcoongea.
Waache kusitiri magaidi ili wasalimike pia wawashinikize Hamas waache uchokozi wa moto wasiouweza
Kwa nini Israel haichukuliwi hatua kali?