Umoja wa Mataifa: Zaidi ya Watu 10,000 wameuawa katika eneo la Gaza

Umoja wa Mataifa: Zaidi ya Watu 10,000 wameuawa katika eneo la Gaza

HAMAS hawajavamia Israel. Wanatetea ardhi yao iliyoporwa mwaka 19478 kimabavu. Uporaji uliendelea mwaka hadi mwaka. Ile nchi yoye kabla ya mwaka 1948 ni ardhi wa wapelstina na waarabu wachache na wayahudi wachache waliokuwepo pale miaka maelfu kwa maelfu. Israel haina ardhi tena pale, ni Wamamizi na waporaji.

Ndio mnavyofundishana huu upuuzi huko madrasa [emoji848]
 
Dunia kwa kukubali shinikizo la Marekani, Uingereza na baadhi ya madola ya magharibi wameamua kufumbia macho jinai zinazoendelea huko Gaza.

Jinai ipi hiyo zaidi ya ile ya Hamas kukata vichwa raia, kuchoma watoto wadogo, kuteka na kubaka wanawake?!
 
Waongo tu hao, Hivi hawa Hamas walidai walijiandaa kwa muda mrefu kwa shambulio lile, na waliendelea kusema wamejiandaa kwa vita ya muda mrefu. Hawa UN wanataka nini ikiwa wahusika wanajipambanua kuwa walijiandaa kwa hili linalotokea? Walisema wako tayari kufa, sasa wanakufa kuna watu wanawaonea huruma kwanini? Waachwe wapigane mpaka tupate mshindi wa kweli, haya mambo ya kuwaamua kesho tena wanaanza kutunisha misuli. Hili liachwe lilivyo wapigane mpaka tuone the last mana standing.
Sasa kuna vita ambayo watu hawafi? UN wawaache hawa jamaa wakitifue tu.
 
Waarabu bhana.......

Siku ile Hamas wanamwaga damu za watu wasio na hatia ilikuwa nderemo na vifijo kila mahali kana kwamba wanaomalizwa na panya......kila kona ni takbir tu.......sijui walitegemea wenzao wake kimya tu........
17762573_1774999120231009061355jpegf03f993c2ce01d50a9f0a3eef12aa374_jpeg_jpegafe7a90587630339...jpeg
 
Mauaji yanayoendelea ndani ya Palestine kwa sasa hayakubaliki na hayawezi kuhararishwa kwa sababu yoyote hile. Netanyahu ni mmarekani wana asili ya kutoa visingizio vya kuanzisha mauaji ya kimbali kama walivyomsingizia marehemu Saddam Hussein kuwa na silaha za maangamizi wakaua taifa zima na kisha kukaa pembeni na sasa wameaachia haohao mataliban yanaendeleza majiundo ya ugaidi mpya utakaotikisa dunia.

Netanyahu kama analipiza kisasi mbona idadi ya aliowaua ishapitiliza mara elfu ya hao wanaodaiwa kuuawa na wapalestina?!
IMG_20231010_173244.jpg
 
HAMAS hawajavamia Israel. Wanatetea ardhi yao iliyoporwa mwaka 19478 kimabavu. Uporaji uliendelea mwaka hadi mwaka. Ile nchi yoye kabla ya mwaka 1948 ni ardhi wa wapelstina na waarabu wachache na wayahudi wachache waliokuwepo pale miaka maelfu kwa maelfu. Israel haina ardhi tena pale, ni Wamamizi na waporaji.

Haya ngoja tuone nani mwenye ardhi.
 
Dunia kwa kukubali shinikizo la Marekani, Uingereza na baadhi ya madola ya magharibi wameamua kufumbia macho jinai zinazoendelea huko Gaza.

Hawajafumbia macho jamaa walitoa msimamo wao wa kuunga mkono israel kujilinda.
 
Tatizo kubwa ni kuwa waparestina na waarabu walio wengi wanaamini wayahudi hawastahili kuishi na hawana haki ya kuishi sio tu hapo mashariki ya kati bali hata kwenye uso wa dunia....na kila mparestina au mwarabu ukiacha Hamas kwa namna moja au nyingine anatafuta nafasi ya kumuangamiza myahudi......

Hata kama anaishi naye ni kuwa anaishi naye tu lakini nafsini mwake amepanga jambo lake

Tukio la HAMAS kufanya mauaji ya kinyama nchini Israel limefichua yaliyomo vifuani mwao kwa zile nderemo na vifijo hata baadhi ya viongozi mbali mbali wa kiarabu kutoka hadharani na kupongeza.......

Myahudi hana option nyingine ya kudeal na mparestina zaidi ya kumuangamiza na yeye kama ambavyo yeye mparestina anatafuta nafasi hiyo...........

Huwezi kuelewa anachopitia Israel mpaka upate bahati mbaya ya kuwa na adui mwenye dhamira ovu dhidi yako na wewe ukawa unajua.......

Matamanio ya waarabu wengi sio tu wayahudi kuachia ardhi ya Palestine bali kuwafuta kabisa wayahudi kwenye uso wa dunia.........
 
Back
Top Bottom