Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
HAMAS hawajavamia Israel. Wanatetea ardhi yao iliyoporwa mwaka 19478 kimabavu. Uporaji uliendelea mwaka hadi mwaka. Ile nchi yoye kabla ya mwaka 1948 ni ardhi wa wapelstina na waarabu wachache na wayahudi wachache waliokuwepo pale miaka maelfu kwa maelfu. Israel haina ardhi tena pale, ni Wamamizi na waporaji.
Dunia kwa kukubali shinikizo la Marekani, Uingereza na baadhi ya madola ya magharibi wameamua kufumbia macho jinai zinazoendelea huko Gaza.
Israel ichukuliwe hatua kwa makosa gani? Magaidi huanza kuichokoza Israel wenyewe kama kurusha maroketi,kuteka watuKwa nini Israel haichukuliwi hatua kali?
HAMAS hawajavamia Israel. Wanatetea ardhi yao iliyoporwa mwaka 19478 kimabavu. Uporaji uliendelea mwaka hadi mwaka. Ile nchi yoye kabla ya mwaka 1948 ni ardhi wa wapelstina na waarabu wachache na wayahudi wachache waliokuwepo pale miaka maelfu kwa maelfu. Israel haina ardhi tena pale, ni Wamamizi na waporaji.
Dunia kwa kukubali shinikizo la Marekani, Uingereza na baadhi ya madola ya magharibi wameamua kufumbia macho jinai zinazoendelea huko Gaza.
Mbeleko ya Marekani inamlinda .
Ibrahim alitoka nchi gani ?