Umoja wa Ulaya: Afrika iungane na dunia yote kuipinga Urusi

Umoja wa Ulaya: Afrika iungane na dunia yote kuipinga Urusi

Mi Bado siamini kama hatujawaunga mkono,Sijasikia mwanasiasa yeyote au kiongozi akiongelea hili ingawa wananchi wanaonesha msimamo....Halafu kwa nn Hili Tangazo wamekuja kulitolea huku kwetu inatia mashaka sana. Ngoja tusikie...
Hii ndiyo akili sasa
 
Hatupazi sauti, kama zenu haziwatoshi ongezeni na speaker. Pumbav zenu Congo mpaka leo wanauwana sababu ni nyie ili mpate kuiba madini yao mbona hatukuwasikia kulaani. Nchi zote ulimwenguni zinazopigana vita vya wenyewe kwa wenyewe sababu ni nyie ili muibe madini, mafuta, gas asilia na vinginevyo. Ingawa vita sio nzuri hata kidogo watesekao ni watoto,wazee na watu wasio kuwa na hatia.
Mkome kuyuingiza kwenye vita zenu.
[emoji847]
 
Tukikataa watatumia Nguvu(Vikwazo),Tukikubali Tujiandae kupeleka majeshi kwa kigezo cha kulinda Amani( Kwa watu weupe) Putin Afanye yake!! Baadae sana Tutaanza kuchekana wakati huo wanasiasa washachukua chao.
 
In context, Putin gave Ukraine an entire year to resolve the issue diplomatically. Instead of doing that, Ukraine followed the US's lead and kept poking the bear. When Putin poked back the US stepped aside and let Ukraine take the full force of it.
Aiseee
 
Ukiipina usiipinge nani anakujua wewe?

Wewe ni kama nyani unaejaribu kuusukuma mbuyu, unaishia kutingisha makalio yako tu.

Wanakuhusu nini wazungu hao? Wacha watandikane wenyewe kwa wenyewe. Wakichoka wataacha.

Mkitandikana WaAfrika hao ndio kwanza wanashindana wanawauzia silaha, muuwane viuri.
 
Sis halituhusu hilo, mbona mulimuua Gaddafi hamukulaani ?
Wakati Ubelgiji na Marekani wanamuuwa Patrice Lumumba kupitia vibaraka wao kule Congo hawakuja kulaaani.
Nchi ya Congo imepoteza maelfu ya wa kwa vifo na ukimbizi sababu ya machafuko yaliyo chochewa na hawa hawa wanaokuja kutuomba tulaani matukio ya Ukraine!!!
 
Wakati Ubelgiji na Marekani wanamuuwa Patrice Lumumba kupitia vibaraka wao kule Congo hawakuja kulaaani.
Nchi ya Congo imepoteza maelfu ya wa kwa vifo na ukimbizi sababu ya machafuko yaliyo chochewa na hawa hawa wanaokuja kutuomba tulaani matukio ya Ukraine!!!
Karma imewarudia
 
Hawa wanataka Afrika ndio uwe uwanja wa vita vyao hao. Wapuuzi saana
 
Umoja wa Ulaya (EU) umetoa tamko la kuendelea kulaani kitendo cha Urusi kuivamia Ukraine na kushawishi mataifa mbalimbali zikiwemo nchi za Afrika kuipinga Urusi kwa kitendo chake cha kuivamia Ukraine kijeshi...
Waendelee kulaani tu.....Puttin wala hajali.
 
Back
Top Bottom