Umoja wa Ulaya: Afrika iungane na dunia yote kuipinga Urusi

Umoja wa Ulaya: Afrika iungane na dunia yote kuipinga Urusi

Mbona wametushupalia sana kama mshipa wa shingo? Tukipinga ndio vita inaisha au wanatutafutia sababu tu 😒
 
Afrika tutakuwa NAM maana hata silaha hatuna
 
Ukisikia kabla hujafa hujaumbika, ndo hii sasa. Hawa watu walidhani vita ni Africa tu au Asia... embu nambieni jamani ety hawa watu wnye nguvu, ni msaada gqn twaweza kuwapa... nikumbuka picha za watt na wanawake wanazoweka mitandaoni wakisema Afrika watu wanakufa kwa njaa, Afrika hakuna amani moyo kiukwel umekuwa baridi...

Sasa ukimwambia mzungu, vita ni mbaya. Msiue wadogo zetu huko Syria, mababu na mabibi zetu huko congo, dada kaka mjomba huko somalia kisa tu maliasili zetu.

Uurraaaaa

Ahsante Pres. PUTIN
Umejua kutuheshimisha
ONE WORLD, ONE AFRIKA
 
Niitaman nam ntoe yangu ya moyoni but inaonekana... waafrika tumefunguka kiakili... its our time... weee leta pepsi bariiidiii.... uraaaa
kuunga mkono uvamiz ni.kugunguka kiakili ? kesho China anavamia wadeni wake wanaopeleka mikia Ulaya , huko ndo kufunguka kiakili ? sisi ndio wahanga wa kuvamiwa ila tunashabikia uvamizi kwa taifa dhaifu sn , hii.ndo ilikuwa sehemu mojawapo ya kukemea mataifa makubwa kutoyaheshimu mataifa machanga kisa hayana jeshi imara kuwakabiri , kesho uvamiz huu utazid kutanuka na sio kuelekea magharibi ya ulaya bali.kushuka kuja kwetu huku Asia na Afrika na hata America ya kusini pia
 
Wasitupangie Ujinga wao..... Wanafanya Nini kwenye Mipaka ya Urusi??? Sijui wanadhani sisi Hamnazo?? walipomuua Gadafi walidhani Sisi Malofa,??? HATUJASAHAU ULE UNYAMA...
hawajawai ingia kwenye mipaka ya Urusi bali USA ndo alikuwa ndan ya Ukraine na sio NATO kuwepo ndani ya Ukraine
 
Watuache na Africa yetu tamu. Wapambane na hali Yao,watukome kabisa!!

Ombi lao limekataliwa!!
 
wkt kaburu anaua ndgu zetu hao hao wazungu wali muunga mkono aue zaidi hasa Magreth Thatcher!! kile kibibi kilisema wazi kabisaaa vikwazo vitawaumiza waafrica.....

Desmond tutu akamjibu waafrica tayari wako wanaumia waumie mara ngapi???
 
Back
Top Bottom