Umoja wa Ulaya: Afrika iungane na dunia yote kuipinga Urusi

Aisee ingekua ni brazili au belaruz ndio kafanya mambo aliyofanya Russia siku nying watasha wangeosha jina, ila kwa Russia ni kulalamika tuu kila kukicha zipigeni tujue mwanaume nani kudadek ,
 
Wakati unaongea ivyo unategemea bajeti kwa msaada wa USA na Ulaya. Madawa kutoka kwa wazungu hasa HIV, Gonorheae na mengineo
 
hakuna msaada wewe shtuka utajikojolea pili, acha ngono zembe
 
Unavyokaà kijiweni na Kula mibange unafikiri wote ni mateja
sijui ngono, pombe, misigara, bangi huko kote sipo hata vijiweni sikai. Usikariri tuliza akili ww
 
EU wameshaanza kushindwa Vita na Russia ndio maana wanataka Afrika iwasaidie
 
Hao wana
Wakati unaongea ivyo unategemea bajeti kwa msaada wa USA na Ulaya. Madawa kutoka kwa wazungu hasa HIV, Gonorheae na mengineo
Hao wanaoleta dawa ndio walioleta ukimwi. Jiongeze kijana
 
Sisi waafrica hatupo pamoja na mashoga kwa Hali yoyote ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…