minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Wewe mwenyewe isingekuwa mnufaika wa blackmail mtengeneza kesi za uonevu pengine isingekuwa ukijitoa fahamu kuutetea ushetani wa CCMNani kasema hamna baraka za wapiga kura?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mwenyewe isingekuwa mnufaika wa blackmail mtengeneza kesi za uonevu pengine isingekuwa ukijitoa fahamu kuutetea ushetani wa CCMNani kasema hamna baraka za wapiga kura?
Mimi nanufaika na nini? Mimi ni mzalendo ninae sema ukweli tu.Wewe mwenyewe isingekuwa mnufaika wa blackmail mtengeneza kesi za uonevu pengine isingekuwa ukijitoa fahamu kuutetea ushetani wa CCM
Uonevu wote unaotekelezwa na CCM wewe ni mnufaika namba moja.Mimi nanufaika na nini? Mimi ni mzalendo ninae sema ukweli tu.
Sasa na wewe mbona umo humu?Watu wa JF mnashangaza na kuchekesha.
Tanzania ina asilimia kubwa ya watu masikini ambao hawana hata hiyo elimu ya kukariri.
Na wengi kati ya hao masikini hawajui internet ni nini hivyo hata mitandao ya kijamii kama JF hawaitambui ambako CHADEMA ndipo walipokuwa.
Ila CCM ilisikika kwenye radio ambazo asilimia kubwa watu wasiojiweza ambao ni masikini wanazo sababu radio ni cheap kuliko simu yenye internet.
Hawajui yanayotokea kama kutoongezwa mishahara au kukosa ajira sababu hata shule hawakwenda na hata hawajaajiriwa na serikali.
Hivyo hayo hawayaoni.
Jamii Forums ina members 1000000 tu.
Na kwa kukisia asilimia 50-65 tu kati ya hao ndo walikuwa CHADEMA.
Na wengi ni wanachuo waliokosa ajira.
Wafanyakazi wa serikali ambao hawajaongezwa mishahara.
Wastaafu waliokosa mafao yao.
Wafanya biashara nk
Pia hao ni wachache ukilinganisha na masikini walioko Tanzania.
Sasa fikiria watu 550000 wa JF ulinganishe na mamilioni ya masikini wengi wasio na elimu yoyote ambao wao wanaishi ili wapate chakula na ngono.
Hata ukiwapa chakula,kofia,nguo basi watapiga kula chama chochote kile.
Wao kupiga kura ni kama ushabiki wa simba na yanga.
Ndio maana huku mtaani kwangu watu walikuwa wakicheza uchi barabarani sababu ya ushindi.
Hawajali kuhusu mazingira mabovu wanayoishi au mfumo mbovu wa elimu wala haki zao mradi wao waendelee kuishi tu wapate chakula na ngono.
Hivyo mnavyoandika kama JamiiForums ndio Tanzania nzima lazima nitilie shaka ufahamu wenu.
Hao wazungu wangekuja kuona uhalisia wa watu waliopiga kura.
Asilimia kubwa hawajitambui sababu ya umasikini physically and mentally.
NB: Nimeandika kama mtazania na sio kwa itikadi za kisiasa.
Nimeandika ili muone uhalisia na sio kulalamika bila ya kufikiri.
Hakuna kilichoibiwa isipokuwa mindset ya kushindwa inapojaribu kupambana na uhalisia.
Na hao wazungu kujali maslahi yao binafsi.
Tokeni humu JF nendeni nje ya nyumba zenu tembeeni mitaa ya uswahilini na huko vijijini mkaone wapiga kula.
Na hao wazungu kumbe nao hawana akili kufikiri watanzania wote wanatumia mitandao au wanazo akili ila wanajali maslahi yao zaidi.
Jamiiforums sio Tanzania nzima mkumbuke.
Ingawa siipendi ccmWatu wa JF mnashangaza na kuchekesha.

Ivi mahakama ya ICC imewahi kumfunga dikteta yoyote?CCM Akili lazima zitarudi maana hawana misaada tena na bado watafikishwa ICC kwa wingi mno
minyoo naomba tuheshimiane. Kama kuna uonevu wewe ungekuwa unavuta bangi na kunywa konyagi huku unashinda Jf kuandika upuuzi na ushenzi kutetea maslahi ya matapeli wa kisiasa.Uonevu wote unaotekelezwa na CCM wewe ni mnufaika namba moja.
Too many plain calls are dysfunctional..Representative on behalf of the EU on the elections in Tanzania
The Tanzanian National Electoral Commission and Zanzibar Electoral Commission have declared the results of the elections.
Election day was well organised and peaceful in many parts of the country. Nonetheless, the European Union (EU) notes with regret the disruption of social media before, on and after election day, claims of opposition candidates that they did not benefit from a level playing field during the electoral process, as well as the limited possibilities for electoral observation. Reports of irregularities in some districts are also raising concern. These serious allegations have an impact on the transparency and overall credibility of the process. They should be processed through legal means of redress.
In Zanzibar, tensions were reported, with deadly violence, including allegations of excessive use of force by State organs. The EU hopes that it will be possible to lay the foundation for a sustainable reconciliation between all stakeholders, in order to contribute to long-lasting peace and stability in the archipelago.
The EU encourages an open, constructive and inclusive dialogue between the Government of Tanzania, opposition political parties and civil society, and recognises peaceful expressions of opinions as essential to multi-party democracy and civic freedoms.
Tanzania has a strong record of stability, peaceful cohabitation and tolerance among its people. The EU and Tanzania have a long history of good relations, and the EU reaffirms its preparedness to contribute to joint next steps for political dialogue and economic cooperation.
Ww hujui tu. Kule Lindi watu wa kawaida tu wasio na simu janja wameishikisha adabu ccm.Watu wa JF mnashangaza na kuchekesha.
Tanzania ina asilimia kubwa ya watu masikini ambao hawana hata hiyo elimu ya kukariri.
Na wengi kati ya hao masikini hawajui internet ni nini hivyo hata mitandao ya kijamii kama JF hawaitambui ambako CHADEMA ndipo walipokuwa.
Ila CCM ilisikika kwenye radio ambazo asilimia kubwa watu wasiojiweza ambao ni masikini wanazo sababu radio ni cheap kuliko simu yenye internet.
Hawajui yanayotokea kama kutoongezwa mishahara au kukosa ajira sababu hata shule hawakwenda na hata hawajaajiriwa na serikali.
Hivyo hayo hawayaoni.
Jamii Forums ina members 1000000 tu.
Na kwa kukisia asilimia 50-65 tu kati ya hao ndo walikuwa CHADEMA.
Na wengi ni wanachuo waliokosa ajira.
Wafanyakazi wa serikali ambao hawajaongezwa mishahara.
Wastaafu waliokosa mafao yao.
Wafanya biashara nk
Pia hao ni wachache ukilinganisha na masikini walioko Tanzania.
Sasa fikiria watu 550000 wa JF ulinganishe na mamilioni ya masikini wengi wasio na elimu yoyote ambao wao wanaishi ili wapate chakula na ngono.
Hata ukiwapa chakula,kofia,nguo basi watapiga kula chama chochote kile.
Wao kupiga kura ni kama ushabiki wa simba na yanga.
Ndio maana huku mtaani kwangu watu walikuwa wakicheza uchi barabarani sababu ya ushindi.
Hawajali kuhusu mazingira mabovu wanayoishi au mfumo mbovu wa elimu wala haki zao mradi wao waendelee kuishi tu wapate chakula na ngono.
Hivyo mnavyoandika kama JamiiForums ndio Tanzania nzima lazima nitilie shaka ufahamu wenu.
Hao wazungu wangekuja kuona uhalisia wa watu waliopiga kura.
Asilimia kubwa hawajitambui sababu ya umasikini physically and mentally.
NB: Nimeandika kama mtazania na sio kwa itikadi za kisiasa.
Nimeandika ili muone uhalisia na sio kulalamika bila ya kufikiri.
Hakuna kilichoibiwa isipokuwa mindset ya kushindwa inapojaribu kupambana na uhalisia.
Na hao wazungu kujali maslahi yao binafsi.
Tokeni humu JF nendeni nje ya nyumba zenu tembeeni mitaa ya uswahilini na huko vijijini mkaone wapiga kula.
Na hao wazungu kumbe nao hawana akili kufikiri watanzania wote wanatumia mitandao au wanazo akili ila wanajali maslahi yao zaidi.
Jamiiforums sio Tanzania nzima mkumbuke.
Mkuu Safii Sana
Mimi natamani niyatukane, wakijazana humu Jamii forums wanajiona wao ndio wana Haki ya kushinda Uchaguzi, Wapiga kura halisi wako uraia
Yote uliyosema hujakosea kabisa...kama una unakumbuka ITV na televisions nyingine nyingi zilikuwa zinatoa midaalo kuhusu maendeleo na kujitambua kama mtanzania, hivyo vyote vimepigwaa marufuku au mada itakayo ongelewa itabidi ikachunguzwe kwanza alafu watu wajadilii,kwaiyo tatizo sio ujinga wetu sisi watanzania wenye hali ya kipato cha chini tatizo ni viongozi wetu waliopewa mamlaka ya kuwalinda watanzania na taasisi zilizo undwa kwa maslai yao.Watu wa JF mnashangaza na kuchekesha.
Tanzania ina asilimia kubwa ya watu masikini ambao hawana hata hiyo elimu ya kukariri.
Na wengi kati ya hao masikini hawajui internet ni nini hivyo hata mitandao ya kijamii kama JF hawaitambui ambako CHADEMA ndipo walipokuwa.
Ila CCM ilisikika kwenye radio ambazo asilimia kubwa watu wasiojiweza ambao ni masikini wanazo sababu radio ni cheap kuliko simu yenye internet.
Hawajui yanayotokea kama kutoongezwa mishahara au kukosa ajira sababu hata shule hawakwenda na hata hawajaajiriwa na serikali.
Hivyo hayo hawayaoni.
Jamii Forums ina members 1000000 tu.
Na kwa kukisia asilimia 50-65 tu kati ya hao ndo walikuwa CHADEMA.
Na wengi ni wanachuo waliokosa ajira.
Wafanyakazi wa serikali ambao hawajaongezwa mishahara.
Wastaafu waliokosa mafao yao.
Wafanya biashara nk
Pia hao ni wachache ukilinganisha na masikini walioko Tanzania.
Sasa fikiria watu 550000 wa JF ulinganishe na mamilioni ya masikini wengi wasio na elimu yoyote ambao wao wanaishi ili wapate chakula na ngono.
Hata ukiwapa chakula,kofia,nguo basi watapiga kula chama chochote kile.
Wao kupiga kura ni kama ushabiki wa simba na yanga.
Ndio maana huku mtaani kwangu watu walikuwa wakicheza uchi barabarani sababu ya ushindi.
Hawajali kuhusu mazingira mabovu wanayoishi au mfumo mbovu wa elimu wala haki zao mradi wao waendelee kuishi tu wapate chakula na ngono.
Hivyo mnavyoandika kama JamiiForums ndio Tanzania nzima lazima nitilie shaka ufahamu wenu.
Hao wazungu wangekuja kuona uhalisia wa watu waliopiga kura.
Asilimia kubwa hawajitambui sababu ya umasikini physically and mentally.
NB: Nimeandika kama mtazania na sio kwa itikadi za kisiasa.
Nimeandika ili muone uhalisia na sio kulalamika bila ya kufikiri.
Hakuna kilichoibiwa isipokuwa mindset ya kushindwa inapojaribu kupambana na uhalisia.
Na hao wazungu kujali maslahi yao binafsi.
Tokeni humu JF nendeni nje ya nyumba zenu tembeeni mitaa ya uswahilini na huko vijijini mkaone wapiga kula.
Na hao wazungu kumbe nao hawana akili kufikiri watanzania wote wanatumia mitandao au wanazo akili ila wanajali maslahi yao zaidi.
Jamiiforums sio Tanzania nzima mkumbuke.
Kama umeshindwa kutambua nilichoandika ni hoja je una uhakika gani kwamba utaweza kutambua nitakachokujibu ni hoja?Kwani kichwa chako ni kigumu kuelewa!Wao wanazungumzia dosari katika uchaguzi ambazo zilijitokeza,wewe unakuja na porojo zako!Jibu hoja kama kweli dosari hizo zilikuwepo au hazikuwepo!