Uchaguzi 2020 Umoja wa Ulaya (EU) wasikitishwa na baadhi ya mambo katika Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

poor thinker, ichi ulichoandika ni upuuzi mtupu, sasa kama JF ina members milioni1 unafkiri ndivyo ilivyoanza? kila kitu umepotosha itikadi ya kisiasa ndiyo iliyokusukuma kuandika ulichoandika
nipe sababu ya kukujibu.
Pia niambie wapi hujaelewa.

Alafu hakuna sehemu Nimeandika itikadi za kisiasa ndio zimenituma kuandika kama ipo hiyo sehemu weka niione au utakuwa ulichoandika wewe ndio upuuzi namba moja sababu umepotosha.
 
Hizo hoja zako za kipuuzi ulizokuja nazo ndio umeona uko na hoja za maana kumbe upuuzi mtupu. Acha kujifanya desclipine master wakati huna lolote zaidi ya kujipendekeza kwa watawala.
Umejuaje mimi nimeona hoja zangu ni za maana bila wewe kuona ni za maana.
Kumbe hoja zangu ni za maana ila unajifanya kukataa mbeke ya keyboard.

Mnanishangaza nyie waafrika.
 
Watu wa JF mnashangaza na kuchekesha.

Tanzania ina asilimia kubwa ya watu masikini ambao hawana hata hiyo elimu ya kukariri.
Na wengi kati ya hao masikini hawajui internet ni nini hivyo hata mitandao ya kijamii kama JF hawaitambui ambako CHADEMA ndipo walipokuwa.
Ila CCM ilisikika kwenye radio ambazo asilimia kubwa watu wasiojiweza ambao ni masikini wanazo sababu radio ni cheap kuliko simu yenye internet.

Hawajui yanayotokea kama kutoongezwa mishahara au kukosa ajira sababu hata shule hawakwenda na hata hawajaajiriwa na serikali.
Hivyo hayo hawayaoni.

Jamii Forums ina members 1000000 tu.
Na kwa kukisia asilimia 50-65 tu kati ya hao ndo walikuwa CHADEMA.
Na wengi ni wanachuo waliokosa ajira.
Wafanyakazi wa serikali ambao hawajaongezwa mishahara.
Wastaafu waliokosa mafao yao.
Wafanya biashara nk
Kiasi Chake Kuna Ukweli Hapo! Mi Nipo Kijijini Mpakani Na Malawi Ileje Huku Wengi Wanazungumzia Magufuri Na Ccm Kwani Ndio Walosikika Kuliko..
 
Umejuaje mimi nimeona hoja zangu ni za maana bila wewe kuona ni za maana.
Kumbe hoja zangu ni za maana ila unajifanya kukataa mbeke ya keyboard.

Mnanishangaza nyie waafrika.

Kaa kwa kutulia maana huna jipya.
 
Umoja wa Ulaya (EU) umesikitishwa na kitendo cha kuiminya mitandao ya kijamii kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28 ambao umelalamikiwa kuwa na viashiria vya udanganyifu.

Pia wamesikitishwa na malalamiko ya upinzani kutopewa nafasi sawa pamoja na kuwa na nafasi finyu kwa waangalizi wa Uchaguzi jambo ambalo linapelekea kufinya uwazi na uthabiti wa uchaguzi.

Wamesikitishwa na Vyombo vya usalama kutumia nguvu hadi kupelekea vifo Zanzibar. Umoja wa Ulaya unatumaini kuwa na misingi ya kimakubaliano kati ya wadau ili kuwa na amani.

EU imeomba kuwepo na majadiliano ya wazi kati ya serikali, vyama vya upinzani na asasi za kiraia hatua ambayo itakuwa ni muhimu kuweka uhuru wa mawazo ambayo ni msingi wa Demokrasia.

===

Representative on behalf of the EU on the elections in Tanzania​

The Tanzanian National Electoral Commission and Zanzibar Electoral Commission have declared the results of the elections.

Election day was well organised and peaceful in many parts of the country. Nonetheless, the European Union (EU) notes with regret the disruption of social media before, on and after election day, claims of opposition candidates that they did not benefit from a level playing field during the electoral process, as well as the limited possibilities for electoral observation. Reports of irregularities in some districts are also raising concern. These serious allegations have an impact on the transparency and overall credibility of the process. They should be processed through legal means of redress.

In Zanzibar, tensions were reported, with deadly violence, including allegations of excessive use of force by State organs. The EU hopes that it will be possible to lay the foundation for a sustainable reconciliation between all stakeholders, in order to contribute to long-lasting peace and stability in the archipelago.

The EU encourages an open, constructive and inclusive dialogue between the Government of Tanzania, opposition political parties and civil society, and recognises peaceful expressions of opinions as essential to multi-party democracy and civic freedoms.

Tanzania has a strong record of stability, peaceful cohabitation and tolerance among its people. The EU and Tanzania have a long history of good relations, and the EU reaffirms its preparedness to contribute to joint next steps for political dialogue and economic cooperation.
I think they have concerns

I think they are making same comments regarding US Election lkn huwezi kuwasikia. Lakini always chaguzi za Afrika tu na whole idea kuzifanya haziwezi kuji manage.
 
Tunasubiri tamko rasmi la EU juu ya election fraud inayoendelea huko Marekani, Donald Trump anakataa matokeo kwa sababu ya wizi wa kura🙂
Hivi walikaribisha waangalizi wakimataifa?

It's a genuine question.
 
Umoja wa Ulaya (EU) umesikitishwa na kitendo cha kuiminya mitandao ya kijamii kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28 ambao umelalamikiwa kuwa na viashiria vya udanganyifu.

Pia wamesikitishwa na malalamiko ya upinzani kutopewa nafasi sawa pamoja na kuwa na nafasi finyu kwa waangalizi wa Uchaguzi jambo ambalo linapelekea kufinya uwazi na uthabiti wa uchaguzi.

Wamesikitishwa na Vyombo vya usalama kutumia nguvu hadi kupelekea vifo Zanzibar. Umoja wa Ulaya unatumaini kuwa na misingi ya kimakubaliano kati ya wadau ili kuwa na amani.

EU imeomba kuwepo na majadiliano ya wazi kati ya serikali, vyama vya upinzani na asasi za kiraia hatua ambayo itakuwa ni muhimu kuweka uhuru wa mawazo ambayo ni msingi wa Demokrasia.

===

Representative on behalf of the EU on the elections in Tanzania​

The Tanzanian National Electoral Commission and Zanzibar Electoral Commission have declared the results of the elections.

Election day was well organised and peaceful in many parts of the country. Nonetheless, the European Union (EU) notes with regret the disruption of social media before, on and after election day, claims of opposition candidates that they did not benefit from a level playing field during the electoral process, as well as the limited possibilities for electoral observation. Reports of irregularities in some districts are also raising concern. These serious allegations have an impact on the transparency and overall credibility of the process. They should be processed through legal means of redress.

In Zanzibar, tensions were reported, with deadly violence, including allegations of excessive use of force by State organs. The EU hopes that it will be possible to lay the foundation for a sustainable reconciliation between all stakeholders, in order to contribute to long-lasting peace and stability in the archipelago.

The EU encourages an open, constructive and inclusive dialogue between the Government of Tanzania, opposition political parties and civil society, and recognises peaceful expressions of opinions as essential to multi-party democracy and civic freedoms.

Tanzania has a strong record of stability, peaceful cohabitation and tolerance among its people. The EU and Tanzania have a long history of good relations, and the EU reaffirms its preparedness to contribute to joint next steps for political dialogue and economic cooperation.
waambie wakimaliza kusikitika tanzania wakasikitike na marekani.
 
Watu wa JF mnashangaza na kuchekesha.

Tanzania ina asilimia kubwa ya watu masikini ambao hawana hata hiyo elimu ya kukariri.
Na wengi kati ya hao masikini hawajui internet ni nini hivyo hata mitandao ya kijamii kama JF hawaitambui ambako CHADEMA ndipo walipokuwa.
Ila CCM ilisikika kwenye radio ambazo asilimia kubwa watu wasiojiweza ambao ni masikini wanazo sababu radio ni cheap kuliko simu yenye internet.

Hawajui yanayotokea kama kutoongezwa mishahara au kukosa ajira sababu hata shule hawakwenda na hata hawajaajiriwa na serikali.
Hivyo hayo hawayaoni.

Jamii Forums ina members 1000000 tu.
Na kwa kukisia asilimia 50-65 tu kati ya hao ndo walikuwa CHADEMA.
Na wengi ni wanachuo waliokosa ajira.
Wafanyakazi wa serikali ambao hawajaongezwa mishahara.
Wastaafu waliokosa mafao yao.
Wafanya biashara nk
Pia hao ni wachache ukilinganisha na masikini walioko Tanzania.

Sasa fikiria watu 550000 wa JF ulinganishe na mamilioni ya masikini wengi wasio na elimu yoyote ambao wao wanaishi ili wapate chakula na ngono.
Hata ukiwapa chakula,kofia,nguo basi watapiga kula chama chochote kile.
Wao kupiga kura ni kama ushabiki wa simba na yanga.
Ndio maana huku mtaani kwangu watu walikuwa wakicheza uchi barabarani sababu ya ushindi.
Hawajali kuhusu mazingira mabovu wanayoishi au mfumo mbovu wa elimu wala haki zao mradi wao waendelee kuishi tu wapate chakula na ngono.

Hivyo mnavyoandika kama JamiiForums ndio Tanzania nzima lazima nitilie shaka ufahamu wenu.

Hao wazungu wangekuja kuona uhalisia wa watu waliopiga kura.
Asilimia kubwa hawajitambui sababu ya umasikini physically and mentally.

NB: Nimeandika kama mtazania na sio kwa itikadi za kisiasa.
Nimeandika ili muone uhalisia na sio kulalamika bila ya kufikiri.

Hakuna kilichoibiwa isipokuwa mindset ya kushindwa inapojaribu kupambana na uhalisia.
Na hao wazungu kujali maslahi yao binafsi.

Tokeni humu JF nendeni nje ya nyumba zenu tembeeni mitaa ya uswahilini na huko vijijini mkaone wapiga kula.
Na hao wazungu kumbe nao hawana akili kufikiri watanzania wote wanatumia mitandao au wanazo akili ila wanajali maslahi yao zaidi.
Jamiiforums sio Tanzania nzima mkumbuke.
Tatizo wapinzani hawana mtu ambaye anaweza kusimama na kuongoza nchi, kwanza hawajiamini ndio maana wanasema ccm hawana viongozi au ni viongozi wabaya ila hao hao viongozi wa ccm wakitoka cccm wanapewa uongozi wa juu kweye upinzani, mfano lowasa , sumae nyarandu , membe na wengine, wanatakiwa wawe na msimamo na kujiamin ciyo kiongozi akiwa ccm wamuone mbaya lakini akija kwao anakuwa msafi, upinzani unajiua wenyewe kwa kuyumbisha wafuasi wao.
 
Back
Top Bottom