Uchaguzi 2020 Umoja wa Ulaya (EU) wasikitishwa na baadhi ya mambo katika Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Uchaguzi 2020 Umoja wa Ulaya (EU) wasikitishwa na baadhi ya mambo katika Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Wewe unaishi kwa kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM na chakubanga Polepole huna unachokijua zaidi ya kuamini CCM ni mungu na kila wanachofanya kinatoka kwa mungu na malaika, unaishi kivingine kabsa upo kishetani zaidi.
Sipo kisiasa mimi soma vizuri nilichoandika.
 
Inamaana hawaja sikia kuwa Trump analalamika kuwa amnaibiwa kura.
Hebu waambieni watoe tamko basi sio Tanzania kila siku kila wakati
 
Acha ufala wako wana JF wana ndugu zao wanawapa taarifa na pia watanzania wengi walihudhuria mikutano ya chadema kusikia sera na mapungufu ya CCM, huko vijiji kote ni waathirika wa uonevu manyanyaso ya utawala wako na wenu hawaitaki CCM, hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu ameipa CCM kura acha kuishi kwa kukariri Akili za polepole mnufaika wa udhalimu wa CCM kwa wapinzani
Mkuu unanishangaza na kunisikitisha.

Nimesema nilichoandika hakipo kisiasa wala mimi sio shabiki wa siasa au chama chochote.

Kumtukana mtu ambaye humjui kisa yupo chama kingine ni ujinga wa kiwango cha falcon heavy.

Jaribu kuwa na heshima.
 
2/3 ya watanzania hawakupiga kura, na hizo kura za wizi tumeziona kwa macho yetu, tena nyingine zikiwa zimebebwa na vyombo vya dola. Sasa sijui hayo maelezo yako marefu hakuyaona hayo?
Kwanini usiende mahakama kuu ukashtaki?
Sababu ulichoandika inaonyesha una ushahidi wa kutosha..

Au kubaki humu jf itakuwa sawasawa kumpigia mbuzi gitaa na hakuna kitakachobadilika.
 
Unaongelea Tanzania ipi? Maana umeongea kama Mbibi wa Kizungu, aliyeijua Tanzania ya miaka ya 80. Unazo takwimu za watumiaji wa mitandao Tanzania?? Umetembea nchi hii ukaona watu wangapi wana smart phone??
You sound like a genius

Kwani umeshajiuliza watanzania wangapi wanaotumia JF?
Hata kama watz million 20 watumie internet je wote wanatumia jf?

Now you sound like a fool right?
 
Uliposema tu kuwa hakuna kilichoibiwa, nikakudharau na kukuona mtu unayestahili kusaidiwa kujua thamani ya utu wako ambayo hujengwa kwenye ukweli na utii kwa dhamira yako, kitu ambacho kwa sasa, wewe huna.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry who are you?

Naona siasa zimekuharibu kichwa chako kwa kudhani kila anayeenda kinyume na perspective zako basi ni mjinga.
Kitu ambacho ni ujinga kuwa nacho.

Kwahiyo ningesema kura zimeibiwa basi ingekuwa right.

Mkuu mimi hunijui sikujui hizo dharau na blah blah zako nyengine ni juu yako and i don't care hivyo jaribu ku grow up na ujitambue.
Pia jaribu kuwa na heshima kwa kila mtu hata kama ameenda kinyume na opinions zako kitu ambacho waafrika hawawezi like you.
Considering mimi sipo kisiasa hapa wala kwa ajiri ya chama chochote.

I'm being honest.
 
Kwanini usiende mahakama kuu ukashtaki?
Sababu ulichoandika inaonyesha una ushahidi wa kutosha..

Au kubaki humu jf itakuwa sawasawa kumpigia mbuzi gitaa na hakuna kitakachobadilika.

Hamna mahakama Tanzania, bali kuna majengo ya mahakama yanaoendeshwa na Makada wa ccm.
 
Sorry who are you?

Naona siasa zimekuharibu kichwa chako kwa kudhani kila anayeenda kinyume na perspective zako basi ni mjinga.
Kitu ambacho ni ujinga kuwa nacho.

Kwahiyo ningesema kura zimeibiwa basi ingekuwa right.

Mkuu mimi hunijui sikujui hizo dharau na blah blah zako nyengine ni juu yako and i don't care hivyo jaribu ku grow up na ujitambue.
Pia jaribu kuwa na heshima kwa kila mtu hata kama ameenda kinyume na opinions zako kitu ambacho waafrika hawawezi like you.
Considering mimi sipo kisiasa hapa wala kwa ajiri ya chama chochote.

I'm being honest.

Umejiunga juzi mwezi june kuja kutapika haya Makande yaliyochacha hapa jukwaani!?
 
Umejiunga juzi mwezi june kuja kutapika haya Makande yaliyochacha hapa jukwaani!?
Mkuu jaribu kuwa na heshima na ujiheshimu pia ujitambue.
Ona uvyosound kama mtoto mwenye miaka 17 kumbe ni mtu mzima.

Nikikwambia unionyeshe hayo makande yaliyochacha utaweza?
 
Mkuu jaribu kuwa na heshima na ujiheshimu pia ujitambue.
Ona uvyosound kama mtoto mwenye miaka 17 kumbe ni mtu mzima.

Nikikwambia unionyeshe hayo makande yaliyochacha utaweza?

Unauliza au unapigia jibu mstari?
 
Unauliza au unapigia jibu mstari?
Aisee unanisikitisha sana.

Kumbe hadi watu wazima wa humu mnakuwa na akili kama za baadhi ya vijana wa jukwaa la MMU.
Matusi,kejeli,ujuaji,ujinga,ufaham uliodumaa plus ushabiki wa kisiasa uliojaa hisia na matusi badala ya kutumia akili na hoja kupinga.
nilikuwa najiuliza wale vijana wametoa wapi zile akili mbovu.

Well nilikuwa sahihi kusema asilimia 90% ya africans ufahamu wao umedumaa.

I'm done
 
Watu wa JF mnashangaza na kuchekesha.

Tanzania ina asilimia kubwa ya watu masikini ambao hawana hata hiyo elimu ya kukariri.
Na wengi kati ya hao masikini hawajui internet ni nini hivyo hata mitandao ya kijamii kama JF hawaitambui ambako CHADEMA ndipo walipokuwa.
Ila CCM ilisikika kwenye radio ambazo asilimia kubwa watu wasiojiweza ambao ni masikini wanazo sababu radio ni cheap kuliko simu yenye internet.

Hawajui yanayotokea kama kutoongezwa mishahara au kukosa ajira sababu hata shule hawakwenda na hata hawajaajiriwa na serikali.
Hivyo hayo hawayaoni.

Jamii Forums ina members 1000000 tu.
Na kwa kukisia asilimia 50-65 tu kati ya hao ndo walikuwa CHADEMA.
Na wengi ni wanachuo waliokosa ajira.
Wafanyakazi wa serikali ambao hawajaongezwa mishahara.
Wastaafu waliokosa mafao yao.
Wafanya biashara nk
Pia hao ni wachache ukilinganisha na masikini walioko Tanzania.

Sasa fikiria watu 550000 wa JF ulinganishe na mamilioni ya masikini wengi wasio na elimu yoyote ambao wao wanaishi ili wapate chakula na ngono.
Hata ukiwapa chakula,kofia,nguo basi watapiga kula chama chochote kile.
Wao kupiga kura ni kama ushabiki wa simba na yanga.
Ndio maana huku mtaani kwangu watu walikuwa wakicheza uchi barabarani sababu ya ushindi.
Hawajali kuhusu mazingira mabovu wanayoishi au mfumo mbovu wa elimu wala haki zao mradi wao waendelee kuishi tu wapate chakula na ngono.

Hivyo mnavyoandika kama JamiiForums ndio Tanzania nzima lazima nitilie shaka ufahamu wenu.

Hao wazungu wangekuja kuona uhalisia wa watu waliopiga kura.
Asilimia kubwa hawajitambui sababu ya umasikini physically and mentally.

NB: Nimeandika kama mtazania na sio kwa itikadi za kisiasa.
Nimeandika ili muone uhalisia na sio kulalamika bila ya kufikiri.

Hakuna kilichoibiwa isipokuwa mindset ya kushindwa inapojaribu kupambana na uhalisia.
Na hao wazungu kujali maslahi yao binafsi.

Tokeni humu JF nendeni nje ya nyumba zenu tembeeni mitaa ya uswahilini na huko vijijini mkaone wapiga kula.
Na hao wazungu kumbe nao hawana akili kufikiri watanzania wote wanatumia mitandao au wanazo akili ila wanajali maslahi yao zaidi.
Jamiiforums sio Tanzania nzima mkumbuke.
Katika kesi ya ATTORNEY GENERAL AND TWO OTHERS v WALID KABOUROU (1996) TLR 156 Mahakama ya Rufaa ya Tanzania chini ya Jaji Mkuu Nyalali, na majaji wengine wawili, Kisanga (JJA) na Mfalila (JJA) ilifuta matokeo ya uchaguzi mdogo wa Ubunge wa jimbo la Kigoma mjini kwa sababu mbalimbali, moja ikiwa ni upendeleo wa chombo cha Taifa, Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD) kumpendelea mgombea wa CCM kuliko wa vyama vingine katika kipindi cha uchaguzi.

Sehemu ya hukumu ilisema hivi, “RTD ni redio ya serikali, katika kufanya uchaguzi uwe wa haki, ilikuwa na wajibu wa kutoa muda sawa wa hewani kwa vyama vyote vya siasa na kuviacha viutumie vitakavyo. Mahakama imejiridhisha kuwa jambo hilo halikufanyika na hivyo CCM ilipata muda mwingi hewani kuliko vyama vingine, na hilo likachangia katika kukipa ushindi CCM.

Tuliangalie sasa tangazo la RTD lililotumika kama sehemu ya ushahidi kuonesha upendeleo wake kwa CCM na mgombeawake, lilikuwa hivi,

“Ukweli wa kwanza na wa dhahiri kabisa ni kwamba CCM bado ni chama chenye nguvu kubwa sana na chenye wapenzi wengi walio wanachama na wasio wanachama. Tunasema CCM ina wapenzi ambao hata siyo wanachama wake kwa sababu kuna baadhi ya watu wanafanya makosa kwa kufikiria tu kuhusu namba ya wanachama wa CCM wenye kadi na kupiga hesabu zao zote za kisiasa kwa kuzingatia nambari hiyo ambayo haijafikia hata milioni tano.”

Likaendelea,

“Kosa jingine kubwa wanalofanya ni kudhani kwamba WATANZANIA wote wasio wana-CCM lazima watavipigia kura vyama vingine. Hiyo siyo kweli hata kidogo...., CCM tokea awali imekuwa chama cha Umma badala ya wateule wachache. Tena imekuwa na sera nzuri ambazo zimeitikia matakwa ya wananchi wote kwa wakati wote ambao imekuwa katika uongozi.”
 
Kwanini usiende mahakama kuu ukashtaki?
Sababu ulichoandika inaonyesha una ushahidi wa kutosha..

Au kubaki humu jf itakuwa sawasawa kumpigia mbuzi gitaa na hakuna kitakachobadilika.
Kinachoshangaza mwaka huu mpaka Polisi wanawashauri vyama pinzani kukimbilia mahakamani kushtaki ikiwa wanaona wameonewa, polisi haohao ambao wakikukamata barabarani kwa kosa ambalo hutaki kulikubali kuwa umekosea, ukiwaambia wakupeleke mahakamani wanakataa (sababu wanajua utashinda), leo ghafla wanakuwa wa kwanza kushauri watu waende mahakamani, kuna nini huko mahakamani, kama sio tayari kuna maelekezo maalum?
 
Umoja wa Ulaya (EU) umesikitishwa na kitendo cha kuiminya mitandao ya kijamii kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28 ambao umelalamikiwa kuwa na viashiria vya udanganyifu.

Pia wamesikitishwa na malalamiko ya upinzani kutopewa nafasi sawa pamoja na kuwa na nafasi finyu kwa waangalizi wa Uchaguzi jambo ambalo linapelekea kufinya uwazi na uthabiti wa uchaguzi.

Wamesikitishwa na Vyombo vya usalama kutumia nguvu hadi kupelekea vifo Zanzibar. Umoja wa Ulaya unatumaini kuwa na misingi ya kimakubaliano kati ya wadau ili kuwa na amani.

EU imeomba kuwepo na majadiliano ya wazi kati ya serikali, vyama vya upinzani na asasi za kiraia hatua ambayo itakuwa ni muhimu kuweka uhuru wa mawazo ambayo ni msingi wa Demokrasia.

===

Representative on behalf of the EU on the elections in Tanzania​

The Tanzanian National Electoral Commission and Zanzibar Electoral Commission have declared the results of the elections.

Election day was well organised and peaceful in many parts of the country. Nonetheless, the European Union (EU) notes with regret the disruption of social media before, on and after election day, claims of opposition candidates that they did not benefit from a level playing field during the electoral process, as well as the limited possibilities for electoral observation. Reports of irregularities in some districts are also raising concern. These serious allegations have an impact on the transparency and overall credibility of the process. They should be processed through legal means of redress.

In Zanzibar, tensions were reported, with deadly violence, including allegations of excessive use of force by State organs. The EU hopes that it will be possible to lay the foundation for a sustainable reconciliation between all stakeholders, in order to contribute to long-lasting peace and stability in the archipelago.

The EU encourages an open, constructive and inclusive dialogue between the Government of Tanzania, opposition political parties and civil society, and recognises peaceful expressions of opinions as essential to multi-party democracy and civic freedoms.

Tanzania has a strong record of stability, peaceful cohabitation and tolerance among its people. The EU and Tanzania have a long history of good relations, and the EU reaffirms its preparedness to contribute to joint next steps for political dialogue and economic cooperation.
Tunasubiri tamko rasmi la EU juu ya election fraud inayoendelea huko Marekani, Donald Trump anakataa matokeo kwa sababu ya wizi wa kura🙂
 
Aisee unanisikitisha sana.

Kumbe hadi watu wazima wa humu mnakuwa na akili kama za baadhi ya vijana wa jukwaa la MMU.
Matusi,kejeli,ujuaji,ujinga,ufaham uliodumaa plus ushabiki wa kisiasa uliojaa hisia na matusi badala ya kutumia akili na hoja kupinga.
nilikuwa najiuliza wale vijana wametoa wapi zile akili mbovu.

Well nilikuwa sahihi kusema asilimia 90% ya africans ufahamu wao umedumaa.

I'm done

Hizo hoja zako za kipuuzi ulizokuja nazo ndio umeona uko na hoja za maana kumbe upuuzi mtupu. Acha kujifanya desclipine master wakati huna lolote zaidi ya kujipendekeza kwa watawala.
 
Yes matatizo yapo. Ila waache kutupandikizia mamluki wao. Wakati haki na amani vinaendana, wasijaribu kutumia ujinga kutuhadaa ili watupige zaidi.
 
Watu wa JF mnashangaza na kuchekesha.

Tanzania ina asilimia kubwa ya watu masikini ambao hawana hata hiyo elimu ya kukariri.
Na wengi kati ya hao masikini hawajui internet ni nini hivyo hata mitandao ya kijamii kama JF hawaitambui ambako CHADEMA ndipo walipokuwa.
Ila CCM ilisikika kwenye radio ambazo asilimia kubwa watu wasiojiweza ambao ni masikini wanazo sababu radio ni cheap kuliko simu yenye internet.

Hawajui yanayotokea kama kutoongezwa mishahara au kukosa ajira sababu hata shule hawakwenda na hata hawajaajiriwa na serikali.
Hivyo hayo hawayaoni.

Jamii Forums ina members 1000000 tu.
Na kwa kukisia asilimia 50-65 tu kati ya hao ndo walikuwa CHADEMA.
Na wengi ni wanachuo waliokosa ajira.
Wafanyakazi wa serikali ambao hawajaongezwa mishahara.
Wastaafu waliokosa mafao yao.
Wafanya biashara nk
Pia hao ni wachache ukilinganisha na masikini walioko Tanzania.

Sasa fikiria watu 550000 wa JF ulinganishe na mamilioni ya masikini wengi wasio na elimu yoyote ambao wao wanaishi ili wapate chakula na ngono.
Hata ukiwapa chakula,kofia,nguo basi watapiga kula chama chochote kile.
Wao kupiga kura ni kama ushabiki wa simba na yanga.
Ndio maana huku mtaani kwangu watu walikuwa wakicheza uchi barabarani sababu ya ushindi.
Hawajali kuhusu mazingira mabovu wanayoishi au mfumo mbovu wa elimu wala haki zao mradi wao waendelee kuishi tu wapate chakula na ngono.

Hivyo mnavyoandika kama JamiiForums ndio Tanzania nzima lazima nitilie shaka ufahamu wenu.

Hao wazungu wangekuja kuona uhalisia wa watu waliopiga kura.
Asilimia kubwa hawajitambui sababu ya umasikini physically and mentally.

NB: Nimeandika kama mtazania na sio kwa itikadi za kisiasa.
Nimeandika ili muone uhalisia na sio kulalamika bila ya kufikiri.

Hakuna kilichoibiwa isipokuwa mindset ya kushindwa inapojaribu kupambana na uhalisia.
Na hao wazungu kujali maslahi yao binafsi.
yao zaidi.
Jamiiforums sio Tanzania nzima mkumbuke.
Poor thinker, hiki ulichoandika ni upuuzi mtupu, sasa kama JF ina members milioni1 unafkiri ndivyo ilivyoanza? Kila kitu umepotosha itikadi ya kisiasa ndiyo iliyokusukuma kuandika ulichoandika
 
Back
Top Bottom