Mkuu ikija chanjo kachanje tu, kizazi chako kitakuwa salama tu.Ila mkianza kuchanjwa kuondolewa vizazi na Bill Hates msianze kuruka tu, hela zao mnafurahia, lkn lazima mchanjwe na Bill Hates , ...
Acha ujinga, nani kakwambia mtu akisema ni tajiri anamaanisha pesa. Ni mali au assetsBasi acheni ushamba wa kudharaua wanaowasaidi huku mkijidai mna hela.
Jidanganye, jitekenye kisha cheka mwenyewe mkuu. Wawakilishi gani waliopo hapo.Hela mmepewa na ufaransa au jumuiya ya Ulaya?? Hizo hela wametoa ufaransa kwa mgongo wa umoja wa Ulaya wala sio umoja wa Ulaya ndo mana hapo wapo wafaransa tu...
Mungu wabariki wazungu...Hata wakitokea hiyo misaada, msimamo wetu uko pale pale.Haramu ni haramu tu.
Hakuna fedha ya msaada au mmkopo inayoweza kulingana na utu wa mwanadamu, hivyo misaada au mikopo haiwezi kutunyamazisha wala ku-justfy uovu dhidi ya wanadamu....
EU na WB zimetoa msaada kwa Tanzania kufadhili miradi mbalimbali ikiwemo njia ya umeme wa KV 400 kwenda mpaka wa Tanzania na Zambia. Hili ni pigo kwa viongozi wa upinzani hasa Chadema wakiongozwa na TUNDU kwa upuuzi waliokuwa wakiufanya kuzurura kuisingizia nchi mambo mabaya ili tu kuona nchi inakwama kupiga hatua za kimaendeleo. Sasa wataaibika na ndio mwanzo wa mwisho wa siasa zao za matukio na kupiga madili.
Kuna muda Mungu anaamuaga kumrudishia akili zake huyu jamaa..Zitto tayari kamruka Tundu mkuu
View attachment 1650783
Ataziomba kamanda Lissu ughaibuniOmbeni na za matundu ya choo!!
Hivi mnaamini kabisa kuwa chadema ndio jicho la nchi za ulaya hapa tz? Kwamba hawana mabalozi na wawakilishi waliopo field hapa tz?Hyo SIO sababu ya kuhalalisha UJAMBAZI wenu
Hapa tunaongelea Bilioni 84 za umeme sio barabara ya Chalinze. BTW, unafurahi tukikosa pesa?Swali langu ni moja tu.mkataba wa mkopo kwa ajiri ya ujenzi wa barabara ya njia sita kati ya ubungo na chalinze,uliwahi kusainiwa kati ya serikali yetu na WB? Je barabara imejengwa?kama tunahitiji mikopo na misaada kwa nini tunafanya mambo ya kijinga,mambo yanayoweza kuifanya nchi yetu ikose hiyo misaada na mikopo? Tunafanya ujinga huo kwa faida ya nani?
Zinajenga uchumi, wanarudisha pesa walizopora enzi za mababu zetuKumbe pesa za mabeberu tamu!
Kimsingi wazungu wanaangalia maslahi yao zaidi kuliko ya mtu ,kwa kuwa kwao ni muhimu Sana kuwa na Tzn kwenye himaya yao kuliko kuiachia China ushawishiHata wakitokea hiyo misaada, msimamo wetu uko pale pale.Haramu ni haramu tu.
Hakuna fedha ya msaada au mmkopo inayoweza kulingana na utu wa mwanadamu, hivyo misaada au mikopo haiwezi kutunyamazisha wala ku-justfy uovu dhidi ya wanadamu.
Vile vile, wakiamua kutoa misaada na kwa vyama vya siasa, tusisikie mnawaita mabeberu huku fedha zao mnapokea.
Wazungu hawa wakisimama upande wa haki, tutwaunga mkono,na wakisimama upande wa dhuluma, tutawapinga.
Nitasimama upande wa haki hata kama shetani ndio atakuwa anatoa haki hiyo, na nitapinga dhuluma hata kama inatoka kwa au ina mkono wa malaika.
Mwisho,wazungu hawa angekuwa na roho za chuki na visasi kama wakoloni weusi, hiyo misaada na mikopo wasingeitoa kwa jinsi wanavyodhalilishwa kwa kuitwa mabeberu huku Kabudi akiwatolea maneno yasiyofaa.
Msisahau na za matundu ya choo kwa watoto wetu huko St.Kayumba.
Hivi mnaamini kabisa kuwa chadema ndio jicho la nchi za ulaya hapa tz? Kwamba hawana mabalozi na wawakilishi waliopo field hapa tz?
Chadema bhana, ishakufa
Leo mabeberu mnawaita wafadhili eti ee. Kweli mafiesm hamnazoHao jamaa wa Ufipa hawakawii kukwambia kuwa mikataba iliishaniwa enzi za Mzee Mwinyi ndio maana wameleta mkopo. Ahahahahahahahah!
Masikini.. We jamaa utaugua moyo aisee, mbona una chuki kiasi hiki?Rudisheni hela za mabeberu kama mna ubavu. Ki-nchi masikini ila majigambo utadhani kina uwezo!Pathetic!
Hizi ni habari njema kwa nchi yetu.
Muhimu uwe ni msaada na si mkopo!
Hongera Rais Magufuli na watendaji wote mliofanikisha hili.
EU na WB zimetoa msaada kwa Tanzania kufadhili miradi mbalimbali ikiwemo njia ya umeme wa KV 400 kwenda mpaka wa Tanzania na Zambia. Hili ni pigo kwa viongozi wa upinzani hasa Chadema wakiongozwa na TUNDU kwa upuuzi waliokuwa wakiufanya kuzurura kuisingizia nchi mambo mabaya ili tu kuona nchi inakwama kupiga hatua za kimaendeleo. Sasa wataaibika na ndio mwanzo wa mwisho wa siasa zao za matukio na kupiga madili.
Nakazia kwa video hii hapa chini
Kuna wale waliotengeneza kiki ya kutimukia ugaibuni, wakikwepa aibu ya kugaragazwa kwenye uchaguzi, wakisikia hizi habariii watajiuaa kwa pressure
Rudisheni ruzuku ya nov mliyoipokea kutokana uchaguzi mlioubatiza "haramu"Hata wakitokea hiyo misaada, msimamo wetu uko pale pale.Haramu ni haramu tu.