Umoja wa Ulaya (EU) watoa msaada wa bilioni 84 kwa Tanzania kuisaidia kusambaza umeme Vijijini na kwenda Zambia

Hao ni wafadhili au mabeberu??!!
Haijalishi sisi tumepokea mpunga. Wakitupatia bila ya masharti ya kipuuzi ni washirika wa maendeleo, ya kijinga ni mabeberu
 
Leo mabeberu mnawaita wafadhili eti ee. Kweli mafiesm hamnazo
Unaelewa tofauti ya mabeberu na washirika wa maendeleo.

Mfano wa beberu ni Robert Amsterdam alivyomtumia TUNDU kutaka kupora mali za nchi. Alikuwa akielekezwa kila jambo na pia kuaminishwa ataenda ICC naye bongo lala linafuata tuu
 
Kuna watu washasahau kuwa hii nchi ni yao na si ya Magufuli au serikali ya ccm,Magufuli na ccm ni kama doa tu kwenye shuka hivyo hatuwezi kususia shuka lote kwa sababu ya uwepo wa hilo doa .
 
Hakuna wa kupinga, naomba upande wa pili pia wabadilishe majina, tuwape hawa jamaa jina wanalostahili, iwe marafiki wa maendeleo, wahisani, wafadhili nk. Lile la ‘Mabeberu’ haliwafai kwa kweli, siyo kwa mamilioni hayo!
 
Wapinzani wa maendeleo ni maadui kama ujinga,maradhi na umasikini, tutapambana nao tu.
 
Hamueleweki.Wakati tumegharamikia uchaguzi wetu wenyewe mmelalamika kwa nini hutukusaidiwa wakati pesa zile zipo (B.MEMBE),sasa hapa msaada umetolewa mnakerwa.Nyinyi vipi ?
 
Umeongea kwa uchungu sana
 
Hizi ni fikra zako na naziheshimu.

Shukran mkuu
 
Hizi ni fikra zako na naziheshimu.

Shukran
Magu kila siku anakuambia duniani hatuna wajomba wa kutusaidia, ---- hiyo ni mikopo watakayolipa wana Chadema, wana ACT na Wana CCM.
Fikirishi hii.
 
Rudisheni hela za mabeberu kama mna ubavu. Ki-nchi masikini ila majigambo utadhani kina uwezo!Pathetic!
Mabeberu kila siku anajipendekeza kutoa misaada.Nikusikia anazitaka zile za covid,kiko wapi?? Kabudi ni jembeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…