Umoja wa Ulaya (EU) watoa msaada wa bilioni 84 kwa Tanzania kuisaidia kusambaza umeme Vijijini na kwenda Zambia

Nachopenda ni kuona tunaomba wakati huohuo tunajipiga vifua kuwa tunatumia za ndani[emoji23]

Nachopenda ni kuona tunakopa wakati huohuo tunajigamba tunaweza kukopesha[emoji23]....
Nakuongezea mkuu
 
Haijalishi sisi tumepokea mpunga. Wakitupatia bila ya masharti ya kipuuzi ni washirika wa maendeleo, ya kijinga ni mabeberu


Beberu ni mbuzi dume, kama wao wakiwa mabeberu na nyie kwa wakati huo mnakuwa nani?
 
Tanzania Serema, na Magufuli serema!!!

Pesa zao tunazitaka, Ila masharti ya kijinga hatuwezi kuyavumilia
 
Mungu makubwa,idumu milele serikali ya CCM, najiuliza hivi huyu bwana mashavu makubwa Lissu,wazungu hawasikii kilio chake na maoni yake ili kuzuia uingizwaji wa mabilion yote hayo nchini mwetu.

Aibu kubwa sana kwa mh.lissu
 
Msimseme TL,nchi Haina pesa,

Nyie wazungu mnawaita mabeberu,sasa kwanini pesa zao mnachukua,zile mbwembwe za jiwe kwamba TZ, ni donor country,na kwamba tunajenga miradi kwa pesa za ndani,zimeisha,sasa hv ni kutembeza bakuri tu,
 

Ahhhh. Hama nchi tu. Kenya [emoji1139] wanahitaji raia.
 
Nyinyi ni fungu la kukosa
 
"Ni yeye"habari izi zikimfikia ataumia sana.
roho zinawauma sana ila ndo watafanyaje sasa na Tanzania inazidi kupaa kwa maendeleo.
 
Beberu ni mbuzi dume, kama wao wakiwa mabeberu na nyie kwa wakati huo mnakuwa nani?
Akili fupi,

Kwa hiyo ukiambiwa hili jambo ni barabara. Utasema barabara ya magari?
 
Msimseme TL,nchi Haina pesa,

Nyie wazungu mnawaita mabeberu,sasa kwanini pesa zao mnachukua,zile mbwembwe za jiwe kwamba TZ, ni donor country,na kwamba tunajenga miradi kwa pesa za ndani,zimeisha,sasa hv ni kutembeza bakuri tu,
Ulishawahi kupitia bajeti ya nchi au unaongea tu kama upo kijiwe cha gahawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…