Umoja wa Ulaya yaimwagia sifa Tanzania. Yaahidi kuendelea kumwaga mapesa

Umoja wa Ulaya yaimwagia sifa Tanzania. Yaahidi kuendelea kumwaga mapesa

akilinene

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
516
Reaction score
436
Umoja wa Ulaya imeisifia Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna inavyofanya mageuzi ya kiuchumi na kisiasa ikiwemo kuimarisha masuala ya haki za binadamu.

EU imeahidi kuendelea kumwaga mapesa kwa miradi mbalimbali ya maendeleo kwa Tanzania. Hii tafsiri yake ni kuwa EU nayo kama ilivyo kwa nchi wanachama wake, nchi zingine za Ulaya zisizo wanachama wa EU na zile za bara la Amerika ikiwemo Marekani nao wameendelea kumpuuza Bwana yule kibaraka na maneno yake uzandiki juu ya Tanzania.

Hivi karibuni tumeshuhudia Ujerumani, Sweden, Ubelgiji, Norway, Marekani, UK, na nchi nyingine nyingi zikimimina misaada nchini Tanzania.

Wameamua kusonga mbele na sisi wanachi watanzania na siyo vibaraka. Viva Tanzania, Viva Rais Samia. Viva diplomasia ya Tanzania.

IMG_20211029_115609.jpg

IMG_20211029_140724_mfnr.jpg

IMG-20211029-WA0034.jpg

IMG-20211029-WA0024.jpg
 
Nawe usiwe kama bwana vilipuzi, EU ni nchi , na ulaya ni iinchi, Sasa tuambie masharti ya huo mkopo.
 
Kwa hiyo Bwana yule alitupeleka chaka.
Anaetengeneza pesa hajui uchungu wa kuitafuta sababu yeye anaprint sisi tunaifanyia kazi. Unalima upate mazao uuze mwenzako ana print hela kununua mazao yako
 
Kwa hiyo Bwana yule alitupeleka chaka.
Anaetengeneza pesa hajui uchungu wa kuitafuta sababu yeye anaprint sisi tunaifanyia kazi. Unalima upate mazao uuze mwenzako ana print hela kununua mazao yako.
Afu tukipewa misaada tunashangilia kweli[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nikisema unajivunia kuwa omba omba nitakuwa sijakosea kabisa mkuu..
Anaetengeneza pesa hajui uchungu wa kuitafuta sababu yeye anaprint sisi tunaifanyia kazi. Unalima upate mazao uuze mwenzako ana print hela kununua mazao yako.
Afu tukipewa misaada tunashangilia kweli[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anaetengeneza pesa hajui uchungu wa kuitafuta sababu yeye anaprint sisi tunaifanyia kazi. Unalima upate mazao uuze mwenzako ana print hela kununua mazao yako.
Afu tukipewa misaada tunashangilia kweli[emoji23][emoji23][emoji23]
Pesa ni dhahabu, mazao, mafuta n.k..
Wakubwa wanakuambia pesa ni dollar😃

Wazungu wa$3nge sana, basi tu
 
Umoja wa Ulaya imeisifia Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna inavyofanya mageuzi ya kiuchumi na kisiasa ikiwemo kuimarisha masuala ya haki za binadamu.

EU imeahidi kuendelea kumwaga mapesa kwa miradi mbalimbali ya maendeleo kwa Tanzania. Hii tafsiri yake ni kuwa EU nayo kama nchi zingine za Ulaya na Amerika ikiwemo Marekani nao wameendelea kumpuuza Bwana yule kibaraka na maneno yake uzandiki juu ya Tanzania. Hivi karibuni tumeshuhudia Ujerumani, Sweden, Ubelgiji, Norway, Marekani, UK, na nchi zingine ntingi zikimimina misaada nchini Tanzania.

Wameamua kusonga mbele na sisi wanachi watanzania na siyo vibaraka. Viva Tanzania, Viva Rais Samia. Viva diplomasia ya Tanzania.
You know what you don't Know
 
Pesa ni dhahabu, mazao, mafuta n.k..
Wakubwa wanakuambia pesa ni dollar[emoji2]

Wazungu wa$3nge sana, basi tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na bado watu hawawezi kuliona hilo, mzungu kafanya watu wa focus kwenye mambo mengine na kusahau kua pesa ndo mchezo hatari kabisa.
 
Back
Top Bottom