Umoja wa vyama 10 vya upinzani nchini Tanzania vimefungua kesi Mahakamani Kuu kupinga muswada wa sheria ya vyama vya siasa

hizi siasa za hapa nyumbani pasua kichwa tu, yaani mtu unakua mpinzani for more than 20 years wewe unapinga tu kila administration; hatujawahi kukuona ukisupport chochote!

badilikeni jamani.
Huvi yule wa mikumi ni chama gani?
 
Tumia hiyo njia alafu uone tutakavyo kunyosha kunguni wewe..!!!!!!!!!!!!!😑😑😑

Ukiweza kuweka ushahidi hapa usio shaha kuwa Lowassa aliibiwa kura 2015 nipigwe bani la maisha hapa JF
Wacha kutisha watu mbweha we!
 
Katibu mkuu wa CCM anajimbo gani mbona anazunguka kwenye majimbo ya wengine.
 
Tanzania hakuna upinzani kunavikundi vya wapiga dili tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Ww ni kama vile vispeaker vidogo vilivyorekodiwa jina na bei ya dawa, siku nzima vinarudia jina hilo hilo la bidhaa na bei. Hilo neno la wapiga dili umekaririshwa hapa unachofanya ni kurudiarudia tu.
 
Ni Tanzania pekeee ambapo vyama vya upinzani havijui visimamie nini hasa,, na ndipo vinajiendesha kwa kutegemea matukio.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa siwaelewi,inamaana matukio yakitokea wakae kimya?Au huwa mnamaana gani?
Nadhani hata sera mbadala za vyama hivi hamzijui,mnakalia kupayuka tu kuwa vinategemea matukio!
Crap!
 
kwa hiyo CCM na Mwenyekiti wao wanataka kuifanya Tanzania kuwa mali ya mama zao?
ushenzi kabisa kujijengea mazingira ya kubaki madarakani milele.....SHAME JIWE!
 
Nawatazama Halafu Nasema Hii 😁
 
Huwa siwaelewi,inamaana matukio yakitokea wakae kimya?Au huwa mnamaana gani?
Nadhani hata sera mbadala za vyama hivi hamzijui,mnakalia kupayuka tu kuwa vinategemea matukio!
Crap!
Sio kukaaaa kmya, nachokisemea ni kusubilia matukio ndio iwe ajenda yao kwa mda wote mpaka pale litakapotokea tukio jingine,, ambapo nao hubadili gear na kugeuza kuwa ajenda kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mswaada mzima unaongeza hilo tu, au akili yako imeshika hilo tu? Siasa haifanyiki kwa utashi wa Magufuli bali siasa itakavyo. Je chama kinapata vipi wanachama wapya kama inafanyia sehemu tu ulipochaguliwa mbunge/diwani? Hao Makada wa ccm wanaozunguka nchi nzima wamechaguliwa na nchi nzima? Ule sio mswaada bali ni tabia za Magufuli anataka kuzigeuza kuwa sheria za nchi.
 
Marekani kuna vyama vina miaka 200 bado ni wapinzani tu.
umetaja vyama vya siasa huko mrekani; ninazungimzia wanasiasa wetu hapa tanzania. hizi ni sutuation mbili tofauti kabisa.
 
Sio kukaaaa kmya, nachokisemea ni kusubilia matukio ndio iwe ajenda yao kwa mda wote mpaka pale litakapotokea tukio jingine,, ambapo nao hubadili gear na kugeuza kuwa ajenda kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ulitaka wafanye nini, matukio ndio maisha halisi ya wananchi ni lazima yapate wa kuyaongelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…