Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huvi yule wa mikumi ni chama gani?hizi siasa za hapa nyumbani pasua kichwa tu, yaani mtu unakua mpinzani for more than 20 years wewe unapinga tu kila administration; hatujawahi kukuona ukisupport chochote!
badilikeni jamani.
Wacha kutisha watu mbweha we!Tumia hiyo njia alafu uone tutakavyo kunyosha kunguni wewe..!!!!!!!!!!!!!😡😡😡
Ukiweza kuweka ushahidi hapa usio shaha kuwa Lowassa aliibiwa kura 2015 nipigwe bani la maisha hapa JF
Katibu mkuu wa CCM anajimbo gani mbona anazunguka kwenye majimbo ya wengine.Hiki kitu ndicho kinanishangaza! Ukianga ule Muswada unakataza tu kufanya mikutano sehemu isiyo yako! Yaani kama Zitto ni mbunge wa Kigoma mjini basi akafanye mkutano huko Kigoma mjini aongee na wananchi wake, asikilize kero zao awape mrejesho lakini hawataki wao wanataka wote waje kufanyia mkutano hapa Dar wakati si sehemu zao! watu wa Dar wanakuja kutumbia nini hasa?
Kafanya mkutano huyo Dr Bashiru?Katibu mkuu wa CCM anajimbo gani mbona anazunguka kwenye majimbo ya wengine.
Nasubiri mzoga wako sasaWacha kutisha watu mbweha we!
Vp dear,happy new yearBadala ya kufanya ziara kwenye majimbo yao na kutatua kero za wananchi wamekalia kula ruzuku ya vyama vyao kwenye mahoteli ya kitalii kwa vijihoja vya kijinga kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa siwaelewi,inamaana matukio yakitokea wakae kimya?Au huwa mnamaana gani?Ni Tanzania pekeee ambapo vyama vya upinzani havijui visimamie nini hasa,, na ndipo vinajiendesha kwa kutegemea matukio.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umnyoshe wewe na nani.Tumia hiyo njia alafu uone tutakavyo kunyosha kunguni wewe..!!!!!!!!!!!!!😡😡😡
Sio kukaaaa kmya, nachokisemea ni kusubilia matukio ndio iwe ajenda yao kwa mda wote mpaka pale litakapotokea tukio jingine,, ambapo nao hubadili gear na kugeuza kuwa ajenda kwao.Huwa siwaelewi,inamaana matukio yakitokea wakae kimya?Au huwa mnamaana gani?
Nadhani hata sera mbadala za vyama hivi hamzijui,mnakalia kupayuka tu kuwa vinategemea matukio!
Crap!
Hiki kitu ndicho kinanishangaza! Ukianga ule Muswada unakataza tu kufanya mikutano sehemu isiyo yako! Yaani kama Zitto ni mbunge wa Kigoma mjini basi akafanye mkutano huko Kigoma mjini aongee na wananchi wake, asikilize kero zao awape mrejesho lakini hawataki wao wanataka wote waje kufanyia mkutano hapa Dar wakati si sehemu zao! watu wa Dar wanakuja kutumbia nini hasa?
umetaja vyama vya siasa huko mrekani; ninazungimzia wanasiasa wetu hapa tanzania. hizi ni sutuation mbili tofauti kabisa.Marekani kuna vyama vina miaka 200 bado ni wapinzani tu.
Hakuna Umuhimu wa kujua mimi nani, We tumia hizo njia unazopanga kutumia alafu ndipo utaona kwanini Mremavu huwa achezi ngoma.Umnyoshe wewe na nani.
Sio kukaaaa kmya, nachokisemea ni kusubilia matukio ndio iwe ajenda yao kwa mda wote mpaka pale litakapotokea tukio jingine,, ambapo nao hubadili gear na kugeuza kuwa ajenda kwao.
Sent using Jamii Forums mobile app