900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
watoto wa kimasikini hawajakuelewaSuch is life.
The bad almost always outweighs the good!
Nimeipenda sana sehemu hii, anafikiri Tanzania ni nchi yake hajui amebakiza mwaka mmoja aombe tena.tabia za Magufuli anataka kuzigeuza kuwa sheria za nchi.
Tumia hiyo njia alafu uone tutakavyo kunyosha kunguni wewe..!!!!!!!!!!!!!😡😡😡
Ukiweza kuweka ushahidi hapa usio shaha kuwa Lowassa aliibiwa kura 2015 nipigwe bani la maisha hapa JF
Huna lolote.Hakuna Umuhimu wa kujua mimi nani, We tumia hizo njia unazopanga kutumia alafu ndipo utaona kwanini Mremavu huwa achezi ngoma.
Sheria ya sasa inasema ili usajiliwe unatakiwa uwe na wanachama! Kabla havijasajiliwa wanatoa wapi ao wanachama ili wakidhi sifa tena kwa Bara na Visiwani..! ukiangalia hiyo press yote sehemu kubwa wanaongea juu ya kufanya mikutanoMswaada mzima unaongeza hilo tu, au akili yako imeshika hilo tu? Siasa haifanyiki kwa utashi wa Magufuli bali siasa itakavyo. Je chama kinapata vipi wanachama wapya kama inafanyia sehemu tu ulipochaguliwa mbunge/diwani? Hao Makada wa ccm wanaozunguka nchi nzima wamechaguliwa na nchi nzima? Ule sio mswaada bali ni tabia za Magufuli anataka kuzigeuza kuwa sheria za nchi.
Hapa nilipo ulinipigania wewe? nani amekuambia matokeo yanahojiwa popote?Ww mtoto wa mama unaongea kama mwanaume kumbe kiburi chote unategemea wanaume wenzio wakupiganie kikinuka
Matokeo ya urais yanahojiwa popote yakishatangazwa?
Umesema hapa ndani ukimaanisha nje hakuna vyama vyenye muda mrefu vikiwa upinzani, nikakupa mfano huo.umetaja vyama vya siasa huko mrekani; ninazungimzia wanasiasa wetu hapa tanzania. hizi ni sutuation mbili tofauti kabisa.
Hapa nilipo ulinipigania wewe? nani amekuambia matokeo yanahojiwa popote?
Kaongelea mswada mzima siyo mikutano tu.Sheria ya sasa inasema ili usajiliwe unatakiwa uwe na wanachama! Kabla havijasajiliwa wanatoa wapi ao wanachama ili wakidhi sifa tena kwa Bara na Visiwani..! ukiangalia hiyo press yote sehemu kubwa wanaongea juu ya kufanya mikutano
Kafie mbele huko!Nasubiri mzoga wako sasa
Ndiyo tatizo la kutiwa vidole matakoni hayoNani anapigania machoko? Kama hayahojiwi popote ulitarajia ushahidi wa wizi wa kura za urais uuonee wapi?
Sawa ila sehemu kubwa kazungumzia hapo then naona wajomba zao DW tayari wametoa hiyo habari kube ili ruzuku iingie banahKaongelea mswada mzima siyo mikutano tu.
Ni ngumu kuwa na makao makuu ya pamoja mana hawafanyi siasa katika hali ya amani, wao wanafanya siasa za kiharakati kutokana na hali iliyopo.Nafikir sasa ni muda kwa vyama vya upinzani kuwa na makao makuu ya pamoja ili kuimarisha umoja huo, kuliko kukaa ofisi za uchochoroni mnatia aibu, mkiwa katika ofsi halali inayojulikana Tanzania nzima hata vikao vyenu vitakuwa na uhalali wa kiwango kisicho cha kubughudhiwa, sababu kitaaminiwa.
Ndiyo tatizo la kutiwa vidole matakoni hayo
Nchi inajengwa na watu wenye mitazamo chanya ;Umesema hapa ndani ukimaanisha nje hakuna vyama vyenye muda mrefu vikiwa upinzani, nikakupa mfano huo.
Usifikiri nchi inajengwa na chama tawala peke yake.
Hacha kuongea umbea kama mwanamke mpumbafu, luka....Hahahaa....... Viongozi 4 watatosha kwa kweli!
Nani anayepima mitazamo, wanaosaini mikataba mibovu na kuuza maliasili zetu ndio hao wenye mitazamo chanya?Nchi inajengwa na watu wenye mitazamo chanya ;
Sasa Hawa wetu ambao wanadhani kuwa mwanasiasa wa upinzani ni kupinga Kila kitu sidhani Kama ni msaada sana kwetu.
Huko kwa wenzetu Kuna baadhi ya Mambo huwa wanakubaliana. Hapa hali ni tofauti.
Hivi TBC wana upungufu wa mic na camera au?Kuna wabunge wengine wa Chama cha Mapinduzi ni wazuri, lakini kuna wabunge wengine wa CCM ni makasuku, sio kwamba utakua mbaya lakini utakua mbaya zaidi, kuna wabunge wengine no wapenda sifa - Zitto Kabwe Kiongozi wa ACT Wazalendo. View attachment 984627
Sent using Jamii Forums mobile app
So wazuri wanafanya nini
Watafasnya nini??