Umoja wa vyama 10 vya upinzani nchini Tanzania vimefungua kesi Mahakamani Kuu kupinga muswada wa sheria ya vyama vya siasa

Umoja wa vyama 10 vya upinzani nchini Tanzania vimefungua kesi Mahakamani Kuu kupinga muswada wa sheria ya vyama vya siasa

Tumia hiyo njia alafu uone tutakavyo kunyosha kunguni wewe..!!!!!!!!!!!!!😡😡😡

Ukiweza kuweka ushahidi hapa usio shaha kuwa Lowassa aliibiwa kura 2015 nipigwe bani la maisha hapa JF

Ww mtoto wa mama unaongea kama mwanaume kumbe kiburi chote unategemea wanaume wenzio wakupiganie kikinuka

Matokeo ya urais yanahojiwa popote yakishatangazwa?
 
Mswaada mzima unaongeza hilo tu, au akili yako imeshika hilo tu? Siasa haifanyiki kwa utashi wa Magufuli bali siasa itakavyo. Je chama kinapata vipi wanachama wapya kama inafanyia sehemu tu ulipochaguliwa mbunge/diwani? Hao Makada wa ccm wanaozunguka nchi nzima wamechaguliwa na nchi nzima? Ule sio mswaada bali ni tabia za Magufuli anataka kuzigeuza kuwa sheria za nchi.
Sheria ya sasa inasema ili usajiliwe unatakiwa uwe na wanachama! Kabla havijasajiliwa wanatoa wapi ao wanachama ili wakidhi sifa tena kwa Bara na Visiwani..! ukiangalia hiyo press yote sehemu kubwa wanaongea juu ya kufanya mikutano
 
Ww mtoto wa mama unaongea kama mwanaume kumbe kiburi chote unategemea wanaume wenzio wakupiganie kikinuka

Matokeo ya urais yanahojiwa popote yakishatangazwa?
Hapa nilipo ulinipigania wewe? nani amekuambia matokeo yanahojiwa popote?
 
umetaja vyama vya siasa huko mrekani; ninazungimzia wanasiasa wetu hapa tanzania. hizi ni sutuation mbili tofauti kabisa.
Umesema hapa ndani ukimaanisha nje hakuna vyama vyenye muda mrefu vikiwa upinzani, nikakupa mfano huo.

Usifikiri nchi inajengwa na chama tawala peke yake.
 
Hapa nilipo ulinipigania wewe? nani amekuambia matokeo yanahojiwa popote?

Nani anapigania machoko? Kama hayahojiwi popote ulitarajia ushahidi wa wizi wa kura za urais uuonee wapi?
 
Sheria ya sasa inasema ili usajiliwe unatakiwa uwe na wanachama! Kabla havijasajiliwa wanatoa wapi ao wanachama ili wakidhi sifa tena kwa Bara na Visiwani..! ukiangalia hiyo press yote sehemu kubwa wanaongea juu ya kufanya mikutano
Kaongelea mswada mzima siyo mikutano tu.
 
Nafikir sasa ni muda kwa vyama vya upinzani kuwa na makao makuu ya pamoja ili kuimarisha umoja huo, kuliko kukaa ofisi za uchochoroni mnatia aibu, mkiwa katika ofsi halali inayojulikana Tanzania nzima hata vikao vyenu vitakuwa na uhalali wa kiwango kisicho cha kubughudhiwa, sababu kitaaminiwa.
Ni ngumu kuwa na makao makuu ya pamoja mana hawafanyi siasa katika hali ya amani, wao wanafanya siasa za kiharakati kutokana na hali iliyopo.

Kwahiyo, hata wakikusanyika chini ya mti ni sawa tu. Wawe na makao maalumu ili iweje. Ni kubadilisha location tu kukwepa hujuma za adui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema hapa ndani ukimaanisha nje hakuna vyama vyenye muda mrefu vikiwa upinzani, nikakupa mfano huo.

Usifikiri nchi inajengwa na chama tawala peke yake.
Nchi inajengwa na watu wenye mitazamo chanya ;

Sasa Hawa wetu ambao wanadhani kuwa mwanasiasa wa upinzani ni kupinga Kila kitu sidhani Kama ni msaada sana kwetu.

Huko kwa wenzetu Kuna baadhi ya Mambo huwa wanakubaliana. Hapa hali ni tofauti.
 
Itashangaza sana kama kwenye muungano huu kuna mamluki. Walikuwepo kina Mtatiro leo hii wapo CCM
 
Nchi inajengwa na watu wenye mitazamo chanya ;

Sasa Hawa wetu ambao wanadhani kuwa mwanasiasa wa upinzani ni kupinga Kila kitu sidhani Kama ni msaada sana kwetu.

Huko kwa wenzetu Kuna baadhi ya Mambo huwa wanakubaliana. Hapa hali ni tofauti.
Nani anayepima mitazamo, wanaosaini mikataba mibovu na kuuza maliasili zetu ndio hao wenye mitazamo chanya?
 
Back
Top Bottom