Hakuna aliyesema kuiua simba bali tunahitaji tuwe na simba yenye kikosi malidadi kuitendea haki ligi ya ndan na nje ya nchi na sio kikosi cha kutegemea matukio ili iweze pata cha kuongea,,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna aliyesema kuiua simba bali tunahitaji tuwe na simba yenye kikosi malidadi kuitendea haki ligi ya ndan na nje ya nchi na sio kikosi cha kutegemea matukio ili iweze pata cha kuongea,,,
United Republic of Gangster ndio iko vizuri eeeh au vipi?
Soon nao watakuwa press conference yao inayo favor ccm na kupingana na hii ya leo.Muungano wakina lipumba na cheyo hauna maana
Na wakishindwa kwenye chaguzi wanaanza tafuta mchawi,,Badala ya kufanya ziara kwenye majimbo yao na kutatua kero za wananchi wamekalia kula ruzuku ya vyama vyao kwenye mahoteli ya kitalii kwa vijihoja vya kijinga kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
A. K. a. John WalkerAlcohol ndiyo Nambari Moja!
Hujaiona ziara alioifanya katibu mkuu wetu Bashiru Ally kwenye jimbo lake bandarini mkuu, ccm oyeeee.Badala ya kufanya ziara kwenye majimbo yao na kutatua kero za wananchi wamekalia kula ruzuku ya vyama vyao kwenye mahoteli ya kitalii kwa vijihoja vya kijinga kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maana ya uhuru ni pana sana haiishii hapo unapodhani.Wanaongea Kwa uhuru wakitoka hapo wanasema Hakuna uhuru wa kujieleza
Hiki kitu ndicho kinanishangaza! Ukianga ule Muswada unakataza tu kufanya mikutano sehemu isiyo yako! Yaani kama Zitto ni mbunge wa Kigoma mjini basi akafanye mkutano huko Kigoma mjini aongee na wananchi wake, asikilize kero zao awape mrejesho lakini hawataki wao wanataka wote waje kufanyia mkutano hapa Dar wakati si sehemu zao! watu wa Dar wanakuja kutumbia nini hasa?Badala ya kufanya ziara kwenye majimbo yao na kutatua kero za wananchi wamekalia kula ruzuku ya vyama vyao kwenye mahoteli ya kitalii kwa vijihoja vya kijinga kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Marekani kuna vyama vina miaka 200 bado ni wapinzani tu.hizi siasa za hapa nyumbani pasua kichwa tu, yaani mtu unakua mpinzani for more than 20 years wewe unapinga tu kila administration; hatujawahi kukuona ukisupport chochote!
badilikeni jamani.
Viongozi waandamizi wa vyama mbalimbali vya upinzani leo watazungumza na waandishi wa habari. Watazungumzia maazimio ya #Azimio la Zanzibar.
Muda: Saa tano kamili asubuhi
Eneo: Makao Makuu ya CHAUMMA, Makumbusho, Dar es salaam.
======
UPDATES;
Viongozi Waandamizi wa Vyama mbalimbali vya Upinzani ACT, CUF na CHAUMMA wamefungua kesi Mahakama Kuu ya TZ Kanda ya DSM kupinga muswada wa sheria ya vyama vya siasa kujadiliwa na Bunge kwa minajili ya kupitishwa kuwa sheria, kesi hiyo itatajwa kesho kwa mara ya kwanza.
Wanataka muswada wa vyama vya siasa ujadiliwe kabla ya kupitishwa kuwa sheria itakayozuia vyama hivyo visifanye mikutano ya hadhara.
Vyama mbadala tumefanya juhudi kupinga mswada huu, tumetoka matamko, tumeshirikisha nchi wahisahi, mashirika ya kimataifa, AZAKI hapa nchini na viongozi wa dini, hizi ndizo hatua tumechukua kupinga.
Serikali imepeleka bungeni muswada wa sheria ya vyama vya siasa unaohararisha agizo la Rais Magufuli mkoani Singinga mwaka 2016 kuzuia mikutano ya vyama vya siasa na kufanya shughuli za kisiasa kuwa suala la jinai. - Zitto Kabwe.
Ni mswada unao kwenda kufifisha nguvu ya vyama vya siasa baada ya vyama vya siasa kuimalika na kuwa na uwezo wa kushindana kwa hoja.
Muswada huo unalenga kumfanya Msajili wa Vyama vya Siasa kuwa na Mamlaka ya Usimamizi (Regulatory Authority), na kuwa na mamlaka ya kuingilia shughuli za kiutawala na maamuzi ya ndani ya vyama vya siasa ikiwemo kusimamisha / kumfukuza mtu uanachama.
Umoja wa vyama 10 vya upinzani nchini Tanzania vimefungua kesi Mahakamani Kuu ya Tanzania kupinga muswada wa sheria ya vyama vya siasa kujadiliwa na Bunge kwa ajili ya kuupitishwa kuwa sheria.
Kesi hiyo imefunguliwa Desemba 20,2018 ikitarajiwa kuanza kusikilizwa kesho Ijumaa Januari 4,2019 huku mlalamikiwa akiwa ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Akisoma tamko la umoja huo leo Alhamisi Januari 03, 2019, Kiongozi wa ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe amesema muswada huo unakinzana na Katiba ya Tanzania ya mwaka 1977 hivyo ni muhimu kwao kuupinga.
Amesema muswada huo unalenga kuvikandamiza vyama vya siasa na kufanya shughuli zote za kisiasa kuwa jinai.
“Tunawaomba wanachama wetu wote kesho tufike kwa wingi mahakamani kusikiliza kesi hii, wanademokrasia waone kwamba hatujakaa tunachukua hatua,” amesema Zitto.
Nimemsikia ndugu yangu Zitto Zuberi Kabwe leo akiipongeza mahakama kwa kuacha likizo na kuja kusiliza shauri walilolifungua kama vile ambavyo wengine wamekuwa wakiipongeza pale inapotoa hukumu vile wanavyokuwa wakihitaji mfano. Abdul Nondo, Tundu Lissu, Halima Mdee na Wengineo wengi.
Je mahakama ikifanya maamuzi kinyume na matarajio yake ataipongeza au atasema mahakama imemezwa na serikali?
Doublestandards in the game.
Tumia hiyo njia alafu uone tutakavyo kunyosha kunguni wewe..!!!!!!!!!!!!!😡😡😡i zitumike mbinu nyingine ambazo si njema sana. .
Ukiweza kuweka ushahidi hapa usio shaha kuwa Lowassa aliibiwa kura 2015 nipigwe bani la maisha hapa JFata huu wizi wa kura
Kwani ni mara ya kwanza wao kwenda mahakamani.leo wamegundua kuwa kuna mahakama, au kwa vile mabeberu hayajisumbui na upuuzi wao?