Pre GE2025 Umoja wa Vyama vya Siasa: Hatukubaliani na Maandamano ya CHADEMA, walijitenga nasi, sasa hivi wanatushirikisha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)


Hawa hawataki hata katiba mpya
 
Nimecheka sana, hii Nchi ina mambo mengi mno!
Imenikumbusha kipindi kuna vijana walivalishwa sare za Chadema wakaandamana.
Ona sasa! Umesababisha tuendelee kucheka zaidi🤣🤣🤣
 
Tanzania kuna vyama vingapi vya Siasa? Sina uhakika kama vinazidi vitatu.
 
Tanzania kuna vyama vingapi vya Siasa? Sina uhakika kama vinazidi vitatu.

Halafu ktk mkutano wao wanakimbia maswali ya waandishi wa habari huku wakidai vyama hivi vidogo ni makini.

Umakini wa chama chochote cha siasa ni uwezo wa kushawishi umma ili kiingie madarakani / kuchukua Dola lakini muungano wa vyama hivi ni kukitetea chama kongwe dola CCM kuzidi kuisigina katiba, rais kuvunja katiba, rais kuonekana kuwa ni nusu Mungu anayeweza kutoa hisani wakati kakiuka misingi ya katiba ya nchi .... anapambwa, kusifiwa, kuimbiwa mapambio, kusujudiwa hata pale anapokandamiza uhuru ukiotamkwa ndani ya katiba ya nchi kifupi rais wa CCM kuitwa Mungu kama Julius Caesar wa dola ya Warumi

 
Pascal Mayala alitoa maoni yake! Nafikiri ndio dawa Yao hao wote.
 
Chama cha upinzani ni CDM TU. Wanatosha kuandaa maandamano.
Wengine wachumia tumbo!
 
Vingine vinavyoitwa vyama vya aisas ni "mzigo" kwa Taifa! Bora "vikufe" instantly!
 
Vyama vya Siasa visipewe ruzuku iwe kujitolea.
Ingekuwa vizuri zaidi! Kila Chama kijiendesha kwa michango ya wanachama wake. Hata hivyo, endapo hilo litapitishwa, bado kutakuwepo na vichache vitakavyokuwa vikipewa "ruzuku" kwa mlango wa nyuma, hasa vile vinavyowanufaisha wakubwa fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…