Pre GE2025 Umoja wa Vyama vya Siasa: Hatukubaliani na Maandamano ya CHADEMA, walijitenga nasi, sasa hivi wanatushirikisha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Vyama 14 lakini wanachama wake hawafiki hata elf 3 nchi nzima kwa ujumla
Mbona mbali huko.Wakishtukizwa wajitambulishe usishangae kati ya vyama hivyo 14 wakapatikana watu 12.Hutokea mara nyingi wakati wa kujitambulisha ndiyo wanaanza kunong'onezana..."usisahau wewe utajitambulisha kama ...(-)..!Kwa ufupi hivyo vyama kiuhalisi,havipo.
Na hata hayo wanayoyaeleza ni uongo waliotungiwa wauseme na watu wa CCM.Wanajua CCM inajua u-fake wao wakikataa maagizo wataumbuliwa na kukosa riziki za familia.These people are purely thieves and heathens as well. Believe it or don't!
 
Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa unaoundwa na Vyama 13 vyenye usajili Nchini unazungumza na Wanahabari, leo Jumatano Januari 17, 2024.

View attachment 2874297
Mwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa, Abdul Mluya

Mwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa, Abdul Mluya anasema "Mnamo Tarehe 13/01/2024 Mwanasiasa mwenzetu ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA (Freeman Mbowe) alizungumza na Waandishi wa Habari na kutangaza maandanamano kuishinikiza Serikali kuiondoa Bungeni Miswada Mitatu inayoleta mageuzi ya Kisiasa hapa Nchini, Miswada hiyo ni Muswada wa Sheria ya Uchaguzi, Muswada wa Sheria ya Vyama vya Siasa na Muswada wa Sheria ya Tume ya Uchaguzi.

"Mimi ni miongoni mwa Watu ambao tuliwasilisha Miswada yetu pale Bungeni kama Chama na Vyama vingine na Siku Mwenyekiti anafunga nilikuwa miongoni mwa Watu waliokuwepo mule ndani na alihitimisha kwa kusema Vyama 18 vimetoa maoni Bungeni, vingine kwa maandishi vingine kama tulivyokwenda lakini Taasisi mbalimbali alizitaja na Viongozi wa Dini.

"Mara baada ya tukio lile kumalizika Mwanasiasa mwenzetu ambaye ni Katibu Mkuu mwenzetu (John Mnyika wa CHADEMA), kazi yetu ilikuwa ni kutoa maoni sio kukosoa Muswada kwa maana ya kuutupa."

Abdul Mluya: Chama kitengeneze sera za kuungwa mkono
Mwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa ni Katibu Mkuu wa Chama Cha DP, Abdul Mluya anasema "Tufanye siasa za hoja tusigusane maungoni, hata Sheria ya Vyama vya Siasa inasema Chama kitakuwa na wajibu wa kuunda sera kwa lengo la kuungwa mkono, hilo limekaa sahihi sana kuliko njia wanayotaka kuitumia."

Abdul Mluya: CHADEMA waache ubinafsi
Tunawasii sana viongozi wenzetu na chama chao (CHADEMA) kuendelea kutumia njia sahihi zilizopo za Kisheria kushirikina na wengine (sisi) pamoja na kuacha ubinafsi na kuacha tabia ya kupinga kila jambo.

Abdul Mluya: Mbowe aombe radhi
"Viongozi wa Kidini tunaowaheshimu sana walitoa maoni yao, sasa nikitokea Mluya Mimi nikasema utupwe maana yake ni kwamba wale wote waliotoa maoni hawana akili, kwahiyo tunamtaka huyu Kiongozi mwenzetu (Freeman Mbowe) aombe radhi kwa Viongozi wa Dini ili kuleta mustakabali bora kwa Taifa letu.

Abdul Mluya: Maandamano yanakinzana na Utamaduni wetu
"Malengo yetu ni kuanzisha malengo mahsusi dhidi ya amani na Umoja wa Kitaifa wa Nchi yetu, njia hii ya maandamano yanakinzana na Utamaduni wetu kwa sababu Ina viashiria vya kuvunja amani, ni haki lakini si kila haki uitumie, haki nyingine unaziacha sio maandanamano tu, ni haki kwa Chama kupeleka maendeleo kwa Wananchi wake lakini hatufanyi."

Abdul Mluya: Waliopinga Kikosi Kazi, leo wanasema maoni ya Kikosi Kazi yamepuuzwa
"Inashangaza kuona waliopinga mchakato wa Kikosi Kazi leo wanasema maoni ya Kikosi Kazi yamepuuzwa, huu ni unafiki, kiburi na kwenye Demokrasia kama hatutaepuka unafiki, kiburi, kutoshirikiana na wenzako hatutofika, tutaendelea kupingana mpaka pale tutakuwa sote ni wamoja, malengo yetu ya Kikatiba.

"Tunapaswa kutanguliza maslahi ya Wananchi mbele na sio maslahi yetu sisi na matumbo yetu au Vyama vyetu, leo inashangaza sana kuona leo unasikia eti maoni ya Kikosi Kazi yametupwa, maoni mengi ya Kikosi Kazi yamechukuliwa na Vyama vinaendelea kutoa maoni kuboresha Miswada husika, maoni yale tuliyoenda kutoa ni zao la Kikosi Kazi."

View attachment 2874343
Katibu Mkuu wa ADC, Doyo Hassan Doyo

Doyo: Watu 7 walikufa kabla ya maandamano Zanzibar
Katibu Mkuu wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Doyo Hassan Doyo anasema “Tunaiomba Serikali isitishike kwa ajili ya maandamano ya Chama kimoja kwa faida ya wengi.

“Maandamano ni ajali, nikiwa CUF Mwaka 2001 kabla ya maandamano walikufa watu saba.”

Pia soma:
= Maandamano ni Haki ya Vyama vya Siasa, Serikali itoe kila ushirikiano kwa CHADEMA hata kama uelekeo ni Ikulu
= Kama Jeshi litafanya usafi tarehe 23-24, basi CHADEMA ifanye maandamano tarehe 25 wapite njia zikiwa safi
= Hizi ndizo sababu Watanzania hawatoshiriki maandamano ya CHADEMA

Hivi ni vyama gani kwanza vile vya kwenye frash au sio tukutane 24,

Unakuta chama hata wanachama mia walio hai hakuna shame on them
 
Mbona mbali huko.Wakishtukizwa wajitambulishe usishangae kati ya vyama hivyo 14 wakapatikana watu 12.Hutokea mara nyingi wakati wa kujitambulisha ndiyo wanaanza kunong'onezana..."usisahau wewe utajitambulisha kama ...(-)..!Kwa ufupi hivyo vyama kiuhalisi,havipo.
Na hata hayo wanayoyaeleza ni uongo waliotungiwa wauseme na watu wa CCM.Wanajua CCM inajua u-fake wao wakikataa maagizo wataumbuliwa na kukosa riziki za familia.These people are purely thieves and heathens as well. Believe it or don't!
wapumbavu hao
 
fcfa4af03522ea823ab953a65a167473.jpg
 
Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa unaoundwa na Vyama 13 vyenye usajili Nchini unazungumza na Wanahabari, leo Jumatano Januari 17, 2024.

View attachment 2874297
Mwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa, Abdul Mluya

Mwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa, Abdul Mluya anasema "Mnamo Tarehe 13/01/2024 Mwanasiasa mwenzetu ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA (Freeman Mbowe) alizungumza na Waandishi wa Habari na kutangaza maandanamano kuishinikiza Serikali kuiondoa Bungeni Miswada Mitatu inayoleta mageuzi ya Kisiasa hapa Nchini, Miswada hiyo ni Muswada wa Sheria ya Uchaguzi, Muswada wa Sheria ya Vyama vya Siasa na Muswada wa Sheria ya Tume ya Uchaguzi.

"Mimi ni miongoni mwa Watu ambao tuliwasilisha Miswada yetu pale Bungeni kama Chama na Vyama vingine na Siku Mwenyekiti anafunga nilikuwa miongoni mwa Watu waliokuwepo mule ndani na alihitimisha kwa kusema Vyama 18 vimetoa maoni Bungeni, vingine kwa maandishi vingine kama tulivyokwenda lakini Taasisi mbalimbali alizitaja na Viongozi wa Dini.

"Mara baada ya tukio lile kumalizika Mwanasiasa mwenzetu ambaye ni Katibu Mkuu mwenzetu (John Mnyika wa CHADEMA), kazi yetu ilikuwa ni kutoa maoni sio kukosoa Muswada kwa maana ya kuutupa."

Abdul Mluya: Chama kitengeneze sera za kuungwa mkono
Mwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa ni Katibu Mkuu wa Chama Cha DP, Abdul Mluya anasema "Tufanye siasa za hoja tusigusane maungoni, hata Sheria ya Vyama vya Siasa inasema Chama kitakuwa na wajibu wa kuunda sera kwa lengo la kuungwa mkono, hilo limekaa sahihi sana kuliko njia wanayotaka kuitumia."

Abdul Mluya: CHADEMA waache ubinafsi
Tunawasii sana viongozi wenzetu na chama chao (CHADEMA) kuendelea kutumia njia sahihi zilizopo za Kisheria kushirikina na wengine (sisi) pamoja na kuacha ubinafsi na kuacha tabia ya kupinga kila jambo.

Abdul Mluya: Mbowe aombe radhi
"Viongozi wa Kidini tunaowaheshimu sana walitoa maoni yao, sasa nikitokea Mluya Mimi nikasema utupwe maana yake ni kwamba wale wote waliotoa maoni hawana akili, kwahiyo tunamtaka huyu Kiongozi mwenzetu (Freeman Mbowe) aombe radhi kwa Viongozi wa Dini ili kuleta mustakabali bora kwa Taifa letu.

Abdul Mluya: Maandamano yanakinzana na Utamaduni wetu
"Malengo yetu ni kuanzisha malengo mahsusi dhidi ya amani na Umoja wa Kitaifa wa Nchi yetu, njia hii ya maandamano yanakinzana na Utamaduni wetu kwa sababu Ina viashiria vya kuvunja amani, ni haki lakini si kila haki uitumie, haki nyingine unaziacha sio maandanamano tu, ni haki kwa Chama kupeleka maendeleo kwa Wananchi wake lakini hatufanyi."

Abdul Mluya: Waliopinga Kikosi Kazi, leo wanasema maoni ya Kikosi Kazi yamepuuzwa
"Inashangaza kuona waliopinga mchakato wa Kikosi Kazi leo wanasema maoni ya Kikosi Kazi yamepuuzwa, huu ni unafiki, kiburi na kwenye Demokrasia kama hatutaepuka unafiki, kiburi, kutoshirikiana na wenzako hatutofika, tutaendelea kupingana mpaka pale tutakuwa sote ni wamoja, malengo yetu ya Kikatiba.

"Tunapaswa kutanguliza maslahi ya Wananchi mbele na sio maslahi yetu sisi na matumbo yetu au Vyama vyetu, leo inashangaza sana kuona leo unasikia eti maoni ya Kikosi Kazi yametupwa, maoni mengi ya Kikosi Kazi yamechukuliwa na Vyama vinaendelea kutoa maoni kuboresha Miswada husika, maoni yale tuliyoenda kutoa ni zao la Kikosi Kazi."

View attachment 2874343
Katibu Mkuu wa ADC, Doyo Hassan Doyo

Doyo: Watu 7 walikufa kabla ya maandamano Zanzibar
Katibu Mkuu wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Doyo Hassan Doyo anasema “Tunaiomba Serikali isitishike kwa ajili ya maandamano ya Chama kimoja kwa faida ya wengi.

“Maandamano ni ajali, nikiwa CUF Mwaka 2001 kabla ya maandamano walikufa watu saba.”

Pia soma:
= Maandamano ni Haki ya Vyama vya Siasa, Serikali itoe kila ushirikiano kwa CHADEMA hata kama uelekeo ni Ikulu
= Kama Jeshi litafanya usafi tarehe 23-24, basi CHADEMA ifanye maandamano tarehe 25 wapite njia zikiwa safi
= Hizi ndizo sababu Watanzania hawatoshiriki maandamano ya CHADEMA

"Wale" wameitisha maandaamano kwa lengo la kupaza sauti kwa niaba ya wananchi, "wao" wanapinga maandamano kwa niaba ya nani?
 
Ruzuku ya CDM ni 130M ya CCM ni 3B hakuna anayetaja ya CCM watu wanatolea macho 130 ya CDM sababu ya mafanikio yake
Siitetei CHADEMA, na sidhani kama itakuja kutokea niitetee Chama fulani. Lakini naamini, hata bila hiyo 130m, bado CHADEMA ingesurvive!
 
Halafu huyo Mwenyekiti wao anadai baada ya leo watakutana kupanga maandamano ..... sasa anapinga maandamano ya CDM halafu wanataka kupanga maanamano mengine .... ya kupinga maandamano ya CDM sijui!!?
Nao wanataka kupanga siku yao ya kuandamana?

Kwa hiyo wanayapinga ya wenzao kwa kuwa yatafanyika siku ya "usafi" au wanawaonea wivu?
 
chadema wanacho hitaji ni machafuko ndani ya nchi hilo halita fumbiwa macho wallah
 
..au wale vijana waliovaa sare za Cdm na kuita press conf wakidai hawataki Katiba Mpya.
Wakati mwingine Siasa za nchi hii zinatia kichefuchefu! Sijui ni kwa sababu watu wengi wangali "wajinga" au ni njaa tu😀
 
Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa unaoundwa na Vyama 13 vyenye usajili Nchini unazungumza na Wanahabari, leo Jumatano Januari 17, 2024.

View attachment 2874297
Mwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa, Abdul Mluya

Mwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa, Abdul Mluya anasema "Mnamo Tarehe 13/01/2024 Mwanasiasa mwenzetu ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA (Freeman Mbowe) alizungumza na Waandishi wa Habari na kutangaza maandanamano kuishinikiza Serikali kuiondoa Bungeni Miswada Mitatu inayoleta mageuzi ya Kisiasa hapa Nchini, Miswada hiyo ni Muswada wa Sheria ya Uchaguzi, Muswada wa Sheria ya Vyama vya Siasa na Muswada wa Sheria ya Tume ya Uchaguzi.

"Mimi ni miongoni mwa Watu ambao tuliwasilisha Miswada yetu pale Bungeni kama Chama na Vyama vingine na Siku Mwenyekiti anafunga nilikuwa miongoni mwa Watu waliokuwepo mule ndani na alihitimisha kwa kusema Vyama 18 vimetoa maoni Bungeni, vingine kwa maandishi vingine kama tulivyokwenda lakini Taasisi mbalimbali alizitaja na Viongozi wa Dini.

"Mara baada ya tukio lile kumalizika Mwanasiasa mwenzetu ambaye ni Katibu Mkuu mwenzetu (John Mnyika wa CHADEMA), kazi yetu ilikuwa ni kutoa maoni sio kukosoa Muswada kwa maana ya kuutupa."

Abdul Mluya: Chama kitengeneze sera za kuungwa mkono
Mwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa ni Katibu Mkuu wa Chama Cha DP, Abdul Mluya anasema "Tufanye siasa za hoja tusigusane maungoni, hata Sheria ya Vyama vya Siasa inasema Chama kitakuwa na wajibu wa kuunda sera kwa lengo la kuungwa mkono, hilo limekaa sahihi sana kuliko njia wanayotaka kuitumia."

Abdul Mluya: CHADEMA waache ubinafsi
Tunawasii sana viongozi wenzetu na chama chao (CHADEMA) kuendelea kutumia njia sahihi zilizopo za Kisheria kushirikina na wengine (sisi) pamoja na kuacha ubinafsi na kuacha tabia ya kupinga kila jambo.

Abdul Mluya: Mbowe aombe radhi
"Viongozi wa Kidini tunaowaheshimu sana walitoa maoni yao, sasa nikitokea Mluya Mimi nikasema utupwe maana yake ni kwamba wale wote waliotoa maoni hawana akili, kwahiyo tunamtaka huyu Kiongozi mwenzetu (Freeman Mbowe) aombe radhi kwa Viongozi wa Dini ili kuleta mustakabali bora kwa Taifa letu.

Abdul Mluya: Maandamano yanakinzana na Utamaduni wetu
"Malengo yetu ni kuanzisha malengo mahsusi dhidi ya amani na Umoja wa Kitaifa wa Nchi yetu, njia hii ya maandamano yanakinzana na Utamaduni wetu kwa sababu Ina viashiria vya kuvunja amani, ni haki lakini si kila haki uitumie, haki nyingine unaziacha sio maandanamano tu, ni haki kwa Chama kupeleka maendeleo kwa Wananchi wake lakini hatufanyi."

Abdul Mluya: Waliopinga Kikosi Kazi, leo wanasema maoni ya Kikosi Kazi yamepuuzwa
"Inashangaza kuona waliopinga mchakato wa Kikosi Kazi leo wanasema maoni ya Kikosi Kazi yamepuuzwa, huu ni unafiki, kiburi na kwenye Demokrasia kama hatutaepuka unafiki, kiburi, kutoshirikiana na wenzako hatutofika, tutaendelea kupingana mpaka pale tutakuwa sote ni wamoja, malengo yetu ya Kikatiba.

"Tunapaswa kutanguliza maslahi ya Wananchi mbele na sio maslahi yetu sisi na matumbo yetu au Vyama vyetu, leo inashangaza sana kuona leo unasikia eti maoni ya Kikosi Kazi yametupwa, maoni mengi ya Kikosi Kazi yamechukuliwa na Vyama vinaendelea kutoa maoni kuboresha Miswada husika, maoni yale tuliyoenda kutoa ni zao la Kikosi Kazi."

View attachment 2874343
Katibu Mkuu wa ADC, Doyo Hassan Doyo

Doyo: Watu 7 walikufa kabla ya maandamano Zanzibar
Katibu Mkuu wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Doyo Hassan Doyo anasema “Tunaiomba Serikali isitishike kwa ajili ya maandamano ya Chama kimoja kwa faida ya wengi.

“Maandamano ni ajali, nikiwa CUF Mwaka 2001 kabla ya maandamano walikufa watu saba.”

Pia soma:
= Maandamano ni Haki ya Vyama vya Siasa, Serikali itoe kila ushirikiano kwa CHADEMA hata kama uelekeo ni Ikulu
= Kama Jeshi litafanya usafi tarehe 23-24, basi CHADEMA ifanye maandamano tarehe 25 wapite njia zikiwa safi
= Hizi ndizo sababu Watanzania hawatoshiriki maandamano ya CHADEMA

Maandamano ni haki ya Raia tatizo ni nini? Kama wewe hutaki kuandamana kaa nyumbani acha watu waandamane ni uhuru wao.
 
Huo umoja wenyewe unatumbulika kwa wananchi?

Hawaoni kuwa kwa kufanya hivyo ndiyo wanazidi kupaisha CHADEMA kisiasa?

Utakuwa ni mchuano wa CHADEMA vs Serikali na washirika wake: CCM na vyama 13 vya siasa.

Kwa mantiki hiyo, watakuwa wanatoa ujumbe kuwa CHADEMA ni very powerful hivyo namna pekee ya kuikabili ni Serikali na vyama vya Siasa kuungana kuipinga.
 
Huu ni umoja wa machawa ya yule mchafu
 
Hivyo ni vyama vya upinzani au ni vyama vinavyosubiri uchaguzi uanze ili wapate ruzuku.

Chama cha kisiasa ata hakijulikani,viongozi wao hawafahamiki,miongozo yao haieleweki na hawajawahi ata siku moja kufanya mkutano wowote wa ndani au ata wa nje,halafu kinakuwa na sifa za kuwa Chama cha kisiasa kivipi??

Hii nchi inapaswa tuwe kama nchi za wenzetu,vyama vya kisiasa visizidi vinne na vyote viwe vina nguvu na malengo yao makuu yawe ni kushika dola,sio kama hapa kwetu eti Chama cha kisiasa kinaanzisha Chama kingine ili tu kukitumia kupunguza nguvu za Chama kingine Chenye nguvu kuliko wao..............Hawa ni matapeli wakubwa
Chama cha upinzani ambacho ni pinzani wa Chama kikuu cha upinzani!! Kna wkt nliskia ilikuwa ili kiandkishwe, Chama ni lazma kikubalike Zenji pia. Sjui kama hiv navo vilipata usajili huko. Vngefikaje? Havikua na nauli!!
 
Back
Top Bottom