kati ya mkuu wa mkoa na yule dada nani alikuwa anamdalilisha mwenzake .tuanzie hapo.maana tumezoea kuitwa waheshimiwa.mfano unapoongea na mkuu wako lazima utangulize neno mheshimiwa.......lakini yule dada alikuwa mara nyingin hasemi ..mheshimiwa mkuu wa mkoa.nafikiri ndiyo maana mh Makonda akakasiririka .alikuwa naongea kama kweli anaongea na mchumba wake.
anywhere ,tusiangalia mabaya kidogo yaliyofanywa na Mheshimiwa makonda ,bali tunayakuze mema zaidi kwa ajiri ya chama chetu.Hivi kati ya yule dada na Mh Mankonda nani ni wa kuamini sana kuwa ni mwana CCM wa kukifia chama? CCM mjue kuwa kuna kikunda kinapambana kuona Makonda anaondolewa CCM kwa maslahi yao na si maslahi ya CCM