900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
yule mdada engineer alimtesa sana makonda kisaikolojia hadi kasema vile,mara kaanza mkulinganisha na mke wakeUzuri wa mke wake una uhusiano gani na huo mkutano. Mwanaume kamili huwezi kuwa na ujinga wa kusema mke wangu mzuri hata kama ni kwenye vijiwe vya kahawa tu.
tena atakuwa katumwa na chadema siyo bureMary Chatanda atakuwa ametumwa atoe tamko kama hilo 👁
Sisi tuliosomea Cuba na USSR tumeshafahamu whats cooking 👁😂
Individually Mary Chatanda asingekuwa na courage hiyo !
After all mtu kusema mimi nina mke tena mzuri sioni kama ni udhalilishaji 👁🙄😷
ubongo wa mbeleUlimi ndiyo huamua mtu azungumze nini?
huo uheshimiwa muitane mkiwa kwenye vikao vyenu vya ccmkati ya mkuu wa mkoa na yule dada nani alikuwa anamdalilisha mwenzake .tuanzie hapo.maana tumezoea kuitwa waheshimiwa.mfano unapoongea na mkuu wako lazima utangulize neno mheshimiwa.......lakini yule dada alikuwa mara nyingin hasemi ..mheshimiwa mkuu wa mkoa.nafikiri ndiyo maana mh Makonda akakasiririka .alikuwa naongea kama kweli anaongea na mchumba wake.
anywhere ,tusiangalia mabaya kidogo yaliyofanywa na Mheshimiwa makonda ,bali tunayakuze mema zaidi kwa ajiri ya chama chetu.Hivi kati ya yule dada na Mh Mankonda nani ni wa kuamini sana kuwa ni mwana CCM wa kukifia chama? CCM mjue kuwa kuna kikunda kinapambana kuona Makonda anaondolewa CCM kwa maslahi yao na si maslahi ya CCM
Makonda huwa anashindwa kucontrol ulimi wake, uzuri wake ana backup kubwa sana.yule mdada engineer alimtesa sana makonda kisaikolojia hadi kasema vile,mara kaanza mkulinganisha na mke wake
KWA HIYO YULE DADA KUMBE SIYO CCM? LAKIN PIA AFUNDISHWE NAMNA YA KUONGEA NA WAKUBWA ZAKEhuo uheshimiwa muitane mkiwa kwenye vikao vyenu vya ccm
Sio Chadema ni lile kundi lisilompenda !tena atakuwa katumwa na chadema siyo bure