S Soaiod JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 469 Reaction score 888 May 29, 2024 #221 Mke wako ni mzuri kwako ,sio kwa wote na hata yule dada injinia ni mzuri kwa Mme wake na hii ndio mindset ambayo kila mwana ndoa anapaswa awe nayo kuepuka uasherati
Mke wako ni mzuri kwako ,sio kwa wote na hata yule dada injinia ni mzuri kwa Mme wake na hii ndio mindset ambayo kila mwana ndoa anapaswa awe nayo kuepuka uasherati