Mkuu, nakupata.

Lakini wakulima wa sasa serikali yapaswa kuwasaidia kulima kisasa kwa vifaa na pembejeo za maana na si kulima kwa jembe na si kuwashawishi vibaya waachane na kilimo hicho walime mazao mengine kama mpunga yaani tuwe twala wali tuu?

Wazo hilo la kuachana na kilimo cha miwa ulime mazao mengine ni wazo la kifisadi.

Wakulima wakubwa siku zote ndo husaidiwa kulima kwa wingi ili kupata kiasi kingi cha mavuno.

Hivyo hata hao vijana walokwenda huko Kilombero mashambani wasaidiwe kwa kupewa misahama ya kodi kwenye mitambo, vifaa na kila kihusianacho na kilimo cha miwa ili tusiwe na tatizo la Sukari.

Hawa wakulima wa sehemu zingine duniani hutumia mbinu zipi ili hata wale wazungu kule Ulaya wasiwe na shida ya sukari?

Yaani miaka zaidi ya 60 ya uhuru bado twazozana kuhusu Sukari kweli?
 
Mkuu huko Brazil miwa hiyo hiyo inatoa mazao zaidi ya 30 ikiwemo na sukari,yaani sukari,molasses, ethanol, biofuel,organic fertilizer, chemicals, karatasi n.k

Pia wanapanda mbegu bora inayozalisha miwa mingi kwenye eneo dogo.
Hivyo wakulima wadogo wadogo wakiwezeshwa wakapewa mtaji wakalima mashamba madogo madogo kwa kutumia mbegu bora wanaweza wakaongeza myororo wa thamani ikiwa wataweza kuchakata hiyo miwa kwa viwanda vidogo vidogo vyao wenyewe kama SIDO .India wana viwanda vidogo vidogo kwa maelfu hata cha kuzalisha gunia mmoja la sukari,badala ya kuwauzia hao mabwanyenye wenye viwanda vikubwa tu.
 
Rostam azizi ni raia wa marekani na Israel na raia feki wa tz ni jsmbazi la kimatsifs
Umesahau na Iran na Uingereza na Zanzibar na UAE.

Mtu na pesa zake, ukiwa na pesa hukosi uraia nchi zote hizo ulizozitaja, tena mbio mbio wanakupokea na kukupa uraia huku wanakushangilia.

Siyo kama wewe, hata visa kupewa shida.
 
Umesahau na Iran na Uingereza na Zanzibar na UAE.

Mtu na pesa zake, ukiwa na pesa hukosi uraia nchi zote hizo ulizozitaja, tena mbio mbio wanakupokea na kukupa uraia huku wanakushangilia.

Siyo kama wewe, hata visa kupewa shida.
Tupiako kapicha basi passport yako ya Canada.
 
Kila mwaka lazima wafanye hivi kama kule kwenye mafuta
 
Umesahau na Iran na Uingereza na Zanzibar na UAE.

Mtu na pesa zake, ukiwa na pesa hukosi uraia nchi zote hizo ulizozitaja, tena mbio mbio wanakupokea na kukupa uraia huku wanakushangilia.

Siyo kama wewe, hata visa kupewa shida.
Ni kama dubai tu uchumi wake unategemea mafisadi wa kote duniani wamewekewa pepo dubai
 
Wamwita Mzee Ami Mpungwe mtwana na umesema ni family friend?
 
Ada ya mja hunena uungwana ni vitendo.

Tena ni double Mtwana na nikikutana nae ntampa za uso.
Sikutaka kusema sana ila huyo mzee ni mmoja wa watu muhimu sana enzi ya Hayati Mwalimu na mimi pia namfahamu.

Utakuwa wafahamu kuwa huyo kaoa Iringa tena kwenye ule ukoo maarufu.

Ila ni mmoja wa watu smart sana upstairs bongo imepata kua nao.
 
Kila mwaka lazima wafanye hivi kama kule kwenye mafuta
Exactly, wapumbavu hao wamejifanyia "carteL ya kupanga uzalishaji ili soko lisifurike sukari waendelee kuvuna faida ya juu, lakini wanaweza kulima na mpaka wakauza nje. Wanachoogopa faida ndogo wapyumbavu hao.

Wala tatizo siyo mtaji kama walivyokuwa wanadanganya, hakuna kiwanda cha sukari duniani chenye kuzalisha kwa miaka sasa kikakosa mkopo, tena wa gharama nafuu.

Wanacheza na akili za watu, Bashe kawastukia siku nyingi, sasa hao Bashe alishawaambia anataka ajuwe wasambazaji wao wa kila mkoa ni nani.

Hili Bashe kafanya makusudi kwa sababu kila mkoa unajulikana mahitaji yake na inakuwa rahisi ku monitor stock ya msambazaji kwa kila mkoa. Kwenye upungufu, sukari inawahishwa.

Tena Bashe asikubaliane na hesbu zao za mahitaji ya sukari, ni lazima iwepo ya ziyada ili ku maintain bei ishuke iwe chini ya nchi yoyote ya Afrika Mashariki.

Hao wanaweza hata kuzalisha zaidi wakaminya kusambaza ili wajiingizie faida kubwa.

Kwani hao watu wa serikali wao hawataki utajiri, si wanalipwa mgao tu, wanaambiwa wewe chukuwa hizi, hata ukizalisha zaidi kwani pesa zinakuja mfukoni kwako? Wajinga sana hao kina Ame. Umri ule badala ya kutubu na kuweka legacy, mtwana yule kakazania tamaaa, tu. Hivi haoni kundi lake lote wametangulia? Hawaoni wenzake waliobaki wanavyojituma kwa nguvu sasa hivi kutumikia jamii? Pambaf kabisa huyo.
 
Huo ufisadi utaufanya kwa wajinga tu uwapelekee wajanja wa Dubai wanaojuwa kuzalisha kihalali.
Akili yako ni ndogo kuelewa nilicho maanisha ...mfumo wa uchumi wa dubai ni fumbo kubwa sana ....ndiyo maana dini ya dubai uwezi kuielezea kule ni dini gani ...dubai ni danguro la waarabu na pango la kuficha mali za matajiri na mafisadi kote duniani
 
Si weye mkuu namaanisha wajinga ni wale wanowashawishi wakulima wa miwa waache kulima miwa walime mpunga.
sijaelewa bado, tunazungumzia uagizaji wa sukari au ukulima wa miwa? mbona unakuwa mjinga hivi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…