... CAT OUT OF THE BAG!
Kuna siku panya walifanya kikao cha kutafuta namna ya kumdhibiti paka ili asiendelee kuwa tishio kwao na kuwamaliza.

Panya wakaja na azimio kwamba watengeneze kengele na kisha kengele hiyo wamvalishe shingoni paka ili iwe rahisi kufahamu nyendo zake na wawe wamestushwa kuwa paka yupo around.

Lakini kazi ikawa ni namna panya hao watavyoweza kumvalisha paka huyo hiyo kengele.

Hivyo hilo tatizo bado (la paka kuwala panya) limeendelea hadi leo kwasababu hakuna panya alie tayari kumvalisha paka kengele.
 
Yule ndio bagonza kanifurahisha sana,

Kila mbunge akisimama ni shukrani kwa raisi, raisi kafanya hiki kafanya kile sasa wakija kwenye uchaguzi waulizwe wao wamefanya nini 🤣😂
 
Yule ndio bagonza kanifurahisha sana,

Kila mbunge akisimama ni shukrani kwa raisi, raisi kafanya hiki kafanya kile sasa wakija kwenye uchaguzi waulizwe wao wamefanya nini 🤣😂
Yaani Generation Z iwe reference kwa sisi wapiga kura wa Tanzania.

Hakuna vurugu wala kero shughuli yote kwenye kumsikiliza mbunge wakati wa kampeni na kisha kumpa masuali ajibu, kafanya nini kwenye jimbo lake na kaleta maendeleo yepi bungeni na yaonekane kwa mifano hai.

Yaani atoe mchanganuo mzima kafanya hiki na hiki na sio hiki na kile.
 

Tulia ni Spika bora kuwahi kutokea bongo kwa mizani yote. Huo ndo ukweli. Anything short of that ni chuki binafsi tu.
 
inamaana sukari ikiingia haita kaguliwa na shirika la viwango nchini (Tbs)?
 
Hali ya Bashe sasa itadhidi kuwa mbaya baada ya Kilombero Ssugar kutema cheche


View: https://youtu.be/6MEvRMkDrW0?si=rgGZ18xvLqC57ii2

Hapa ni lazima Baze avukuzwe .
Mwikulu avukuzwe.
Speke ajuzuru kwa kulinda wezi wa fedha za humma.

Doro Buseko afukuzwe kwenye nafasi hewa ya unaibu PN.
Cheo hewa cha Doro Buseko kipo kwa ajili ya kumzuia PM wa ukweli na wa katiba asifanye kazi ya kuzuia wizi na uhuni wa Mawhasiri .

Tangu Doro Biseko amewekwa pale kwenye nafasi hewa biashara hewa na michongo imeongezeka sana.
Anapaswa kuvukuzwa haraka sana.
Whasiri wa viwhanda na viasara naye avukuzwe araka.
Whavunge wote wasiruusiwe kukanyaga jengo la Vunge kuanzia zaza.
Turua Axzon muzt go immediately.
She is a real devil agent.

Maimai hana kabisa sifa ya sio tu kugombea bali hata kuchukua fomu ya kugombania uraiz 2025.

Mpina arudishwe Bungeni na aombwe razi.

Nilijiuliza wale wabunge waliokua wanawakashifu wamiliki wa Viwanda vya sukari kwenye jengo tukufu la Bunge kwa nini hawakusikiliza upande wa pili.

Mzigwa naye amelamba Sukari .

Sukari hoyeee!
Vocha hoyeeee .
Makunguni na machawa na machawi yote ziiiiii.

Hii msg ni kwa hisani ya robot la Nepi!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Madam ,hivi hili suala la Kampuni za Vocha n Vistationery ' kioewa kibali Cha kuuagiza Sukari wewe uknakizungunziaje,au ni uzushi wa kina Mpina na Lissu'"?
 
Tulia ni Spika bora kuwahi kutokea bongo kwa mizani yote. Huo ndo ukweli. Anything short of that ni chuki binafsi tu.

Unaangalia vyeti vyake au unaangalia Nchi kwanza.
Huyu atalipelleka taifa hili kubaya sana . Huyu kama ingekua kenya angsababisha jengo letu ligaribiwe . Yule ni wakala wa shetani kamili kama hujui.

Shetani anatumia watu wenye elimu kubwa kiuharibu ulimwengu kwa mbadilishano na madaraka na ufahari.

Shetani alitaka mpaka Yesu amsujudie kwa ahadi ya kumpa fahari na milki ya dunia.
Kama ulimsikiliza Tulia alisema kuwa yeye anaheshimika sana duniani kwa hiyo mpina amemdharau.
Pale aliweka Chuki mbele.


Kiongozi ni pamoja na kuwa na Busara sio kusoma tu kama ni Elimu hawejamzidi Prof. Kabudi. Wala Mwabukusi inreality ni kiburi cha pesa tu alicho nacho na mgongo wa dola la CCM . Ni mtu wa kawaida sana kuliongoza Bunge. Kuna akina Rose Migiro wamekua mpaka Naibu katibu mkuu wa UN lakini hakua na Kiburi .

Yupo Prof . Tibaijuka ni msomi nguli aliyekua mkurugenzi wa makazi duniani nafasi ya kisomi sio siasa za matapeli wa dunia lakini alikua mstarabu na alikiri alipokosea na kama alipewa pesa isivyo halali alirudisha . Tulia analinda wizi mkubwa na pia anatumia nguvu kubwa sana kulinda heshima yake hata kule mbeya ni rushwa tupu.

Mtu kama Tundu Lisu angekua ni Chawa wa CCM nadhani dunia hii angetambulika kama mwanasheria Bora kabisa duniani. Na machawa wote na wachawi wote na majini yote ya CCM yangejitokeza kumtukuza.
 
Madam ,hivi hili suala la Kampuni za Vocha n Vistationery ' kioewa kibali Cha kuuagiza Sukari wewe uknakizungunziaje,au ni uzushi wa kina Mpina na Lissu'"?
Huyu ni mtu wa ajabu sana achana naye . Ukiona mtu kichwa kinapinga na kuona mtu kama Balozi kwa sababu ya kumshabikia Msomali aliyekuja kutuibia kwa sababu anaona tumelala basi msamehe bure. Balozi ni mzoefu mkubwa kwenye sekta hiyo bashe ni mwanasiasa tu mbinafsi .
Angekua kwao Somalia akajaribu kuiba leo angekua ameshakatwa shingo!

Balozi ameeleza vizuri sana ni wehu tu wasiotaka kukubali . Na laiti Tanzania ingekua ni nchi yenye wasomi walioelimika na kuwa na uchungu na nchi yao basi CCM na bunge lake na rais wake wangekua wana wakati mgumu sana Mwaka huu na mwaka kesho na ungekua ndio mwesho wa kiburi chao na wizi na hujuma ya makampuni ya na taasisi za umma na hata binafsi .

Nilijiuliza hivi kweli sukari Tani Elfu 60 inaweza ikaagizwa na wauza vocha na makava ya simu ikasmbazwa nchini kweli halafu bei isishuke . Tani Elfu 60 toka brazili bei isishuke kweli . ?!!

Sukari haikuingia bali ni ujanja na usanii wa kundi la bashe na wajanja wenzake kutafuta pesa za kuwanunua wapinzani na uchaguzi ujao. Full stop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…