Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 4,870
- 8,035
Tulia Yuko kwenye danger zone,Mkuu naona umeniacha kidogo, wamzungumzia Mpina au Dr Tulia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia Yuko kwenye danger zone,Mkuu naona umeniacha kidogo, wamzungumzia Mpina au Dr Tulia?
Labda cheo cha IPU chaweza kumuokoa.Tulia Yuko kwenye danger zone,
Tuambie siri hiyo mkuu.... CAT OUT OF THE BAG!
Kuna siku panya walifanya kikao cha kutafuta namna ya kumdhibiti paka ili asiendelee kuwa tishio kwao na kuwamaliza.... CAT OUT OF THE BAG!
Yule ndio bagonza kanifurahisha sana,Wanasiasa wengi wapo out of touch na wananchi ambao ndo waajiri wao.
Wameamua kuwatumia wananchi haohao kuwa mitaji ya upigaji wao.
Huwezi kuvunja sheria ya sukari kwa kumpa muuza vifaa vya ofisi zabuni ya kuagiza sukari, tena wampa kibali karibu na muda wa kuaguza sukari hiyo kwisha.
Mwisho wa kuagiza sukari kutoka nje ilikuwa ni mwezi Mei 2024.
Ndo maana askofu Bagonza kasema wanasiasa hawa wailizwe na wapiga kura wao wamefanya nini kwenye majimbo yao ifikapo wakati wa kampeni.
Hao wazazi ndiyo tunataka tuwajue sasa 😅Amesema ukiona vitoto vya simba viko peke yao angalia kwanza usivivamie tuu wazazi wanaweza kuwa wapo karibu ukaumia 😄
Yaani Generation Z iwe reference kwa sisi wapiga kura wa Tanzania.Yule ndio bagonza kanifurahisha sana,
Kila mbunge akisimama ni shukrani kwa raisi, raisi kafanya hiki kafanya kile sasa wakija kwenye uchaguzi waulizwe wao wamefanya nini 🤣😂
niko kazini sina earphone, kasema nini huyu mwamba ?
Tatizo Spika Tulia bunge haliwezi.
Tofauti ya Tulia na kina Mkwawa, Msekwa, Sitta, Makinda ni kwamba hawa
1/ hawakupewa U-Spika na mamlaka za nchi
2/ walitokea sehemu nzito serikalini ambako walishajijengea heshima na hivyo hawakuiogopa sana serikali
Ndugai hakutokea serikalini lakini alishakaa bungeni miaka lukuki ambako palimjengea uhuru na uwezo japo kiasi kwa saab hakujiona kama ni chombo cha serikali
Tulia kaokotwa jalalani chuo kikuu, kalala mwalimu, masikini kapuku, kaamka spika wa bunge la watu milioni 60.... Kwa hiyo ni mnyenyekevu, mjipendekezi, obsequious, lap dog, mbwa wa mapajani, kwa mamlaka zilizomtoa jalalani. Ndio maana anachemka. Hata taaluma ya sheria kaweka pembeni.
Mpina kamchambua uwezo wake mdogo wa kisheria, kasema sheria aliyotumia Spika kum punish ni sheria ya vyombo vya habari vinapo cover bunge, sio mbunge anapoongea mitaani. Tulia Ackson is worst speaker in the history of legislature.
Muuza vocha kajipa tenda ya kuagiza sukari 😄😄Ni muuza Vocha 🐼
Sawa. Lakini huyo mzazi wao ndiye nani sasa? Tunataka tumjue!Awazungumzia wale waso na sifa ya kupewa vibali na kuagiza sukari ilhali viwanda vya sukari vipo.
Kwa kifupi kawazungumzia wauza vouchers.
Ni tatizo kubwa kwao. Mkakati wao ni kumtwisha lawama Magufuli kwa kila jambo baya linalotokea.Kwahiyo mzee Mpungwe kusema kuwa udhibiti wa sukari ulikuwa sawa wakati wa JPM wao wameona hilo ni tatizo?
Hakuna shida kuleta sukari nchini isipokuwa sheria ya uagizaji sukari kutoka nje ifuatwe na waagizaji wawe ni wale wenye viwanda nchini, period,
Sasa mwenye kuuza stationaries aendelee na biashara ya stationaries ok?
Wenye viwanda wana sourse ya suppliers na wana uzoefu na uhakika wa kupata sukari bora na salama.
Wapigaji hawana source ya suppliers uzoefu na pia wanaweza ingiza nchini sukari iso bora na salama kwa matumizi ya binadamu, period.
Hali ya Bashe sasa itadhidi kuwa mbaya baada ya Kilombero Ssugar kutema cheche
View: https://youtu.be/6MEvRMkDrW0?si=rgGZ18xvLqC57ii2
TBS ipi ya kukagua mzigo wa mtoto wa simba!inamaana sukari ikiingia haita kaguliwa na shirika la viwango nchini (Tbs)?
Sawa. Lakini huyo mzazi wao ndiye nani sasa? Tunataka tumjue!
Madam ,hivi hili suala la Kampuni za Vocha n Vistationery ' kioewa kibali Cha kuuagiza Sukari wewe uknakizungunziaje,au ni uzushi wa kina Mpina na Lissu'"?Mpaka sasa nimewasikiliza jwa dakika 30, naendelea kuwasikiliza lakini cha kusikifisha wanaongelea siasw na porojo nyingi. Kuwa "watazalisha" sukari ya kutosha kuanziq mwaka huu.
Pambaf kabisa, walikuwa wapi siku zote mpaka Bashe kaja kuwatia vidole vya masikio ndiyo wanasikia kuwa Watanzania wameathiriwa na bei za sukari?
Hawa wazalishaji hawatakiwi kutupigia porojo, wanatakiwa wazalishe sukari ishuke bei.
Ujinga mtupu.
Tulia ni Spika bora kuwahi kutokea bongo kwa mizani yote. Huo ndo ukweli. Anything short of that ni chuki binafsi tu.
Unataka umjue au unuone alipo🤭 Kwani vitoto vya Simba mzazi wao si Simba! Au ulifikiri ni ngiri?!Sawa. Lakini huyo mzazi wao ndiye nani sasa? Tunataka tumjue!
Huyu ni mtu wa ajabu sana achana naye . Ukiona mtu kichwa kinapinga na kuona mtu kama Balozi kwa sababu ya kumshabikia Msomali aliyekuja kutuibia kwa sababu anaona tumelala basi msamehe bure. Balozi ni mzoefu mkubwa kwenye sekta hiyo bashe ni mwanasiasa tu mbinafsi .Madam ,hivi hili suala la Kampuni za Vocha n Vistationery ' kioewa kibali Cha kuuagiza Sukari wewe uknakizungunziaje,au ni uzushi wa kina Mpina na Lissu'"?