Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

Ukitahiri ukiwa mtu mzima lazima ushonwe na nyuzi na hii iko na maumivu sana maana uume lazima kuna wakati usimame na kusababisha nyuzi kuvuta, watoto wachanga hawashonwi na wanapona haraka sana kulinganisha na watu wazima
Mkuu sio kweli mimi nimetahiriwa niko darasa la kwanza au la pili,na ninakumbuka kila kitu ,yaani kila kitu mpaka ile siku tunaenda kutahiriwa mkuu.

Hakuna ukweli wowote kuwa ikisimama ati inavuta zile nyuzi sio kweli.

Maumivu labda ukiitia maji na kujitonosa mara kwaa mara.
 
Huwa nafikiria mwanaume aliyebalehe akitahiriwa hapati shida kweli?ama huwa ana namna ya kuzuia isiwe inasimama?
Nilitahiriwa nna miaka 15 na mbunye nilishazichakaza sana, ni balaa lingine ikisimama maumivu yake sio mchezo, niikua najificha ndani wakija mademu wangu kunitafuta maana nasimamisha sana nkiwaona.

Mdogo angu tumefatana tulienda pamoja jando nusura kichwa kikatike kwa kusimamisha hovyo.
 
Aisee 15years!! Kisu ulikuwa unakisia live live.
 
Mkuu sio kweli.mimi nimetahiriwa niko darasa la kwanza au la pili,na ninakumbuka kila kitu ,yaani kila kitu mpaka ile siku tunaenda kutahiriwa mkuu.

Hakuna ukweli wowote kuwa ikisimama ati inavuta zile nyuzi sio kweli.

Maumivu labda ukiitia maji na kujitonosa mara kwaa mara.
Kumbuka kuna kusimamisha za aina 2, ile ya kuamka ukaikuta imesimama tofauti na ile ya kusimama kufanya tukio, ya asubuhi kichwa kinakua kimesinyaa, lkn ya tukio kichwa kinavimba ndio maana kwa amabo tulishawahi kugegeda kabla ya kutahiriwa wengi wao tulipata maumivu ikisimama kwa kukumbuka mbunye.
 
Naona kila mtu aanaongelea lake tu, hii issue inategemea na wazazi tu hakuna cha bamia wala nyanya chungu hapo.

Kuna dogo alichinjwa akiwa na 4months now ni kijana mkubwa na ana mashine ya kutosha, aya issue ya kijijini sijui nini, hizo zote ni fikra za kila mtu.
Mmmmh wewe ni me au ke? Ana mashine ya kutosha? Ashakupampu?
 
Kisu nilikua nakiskia na kuona kinakata tu lkn hakukua na maumivu, ganzi ilihusika.
Niliwahi kufanyiwa operation maeneo ya mgongoni nilipigwa hiyo ganzi. Wakati madaktari wanafanya kazi yao tulikuwa tunapiga stori nasikia kelele za nyuzi na visu. Wakamaliza ila after 3hours hiyo ganzi ilivyoisha niliumwa sana kwa kweli.
 
Kumbuka kuna kusimamisha za aina 2, ile ya kuamka ukaikuta imesimama tofauti na ile ya kusimama kufanya tukio, ya asubuhi kichwa kinakua kimesinyaa, lkn ya tukio kichwa kinavimba ndio maana kwa amabo tulishawahi kugegeda kabla ya kutahiriwa wengi wao tulipata maumivu ikisimama kwa kukumbuka mbunye.
Unatakiwa kutumia maji sana ikisimama maumivu yapo sana ukikojoa yanapungua
 
Back
Top Bottom