naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,961
- 5,460
Hiyo miezi miwili mfanyie baada ya wiki utaona mafanikioNilikuwa na swali kama hilo mimi wangu tarehe 3 mwezi ujao anafikisha miez 2 nawaza ni muda gani wa kumtahiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo miezi miwili mfanyie baada ya wiki utaona mafanikioNilikuwa na swali kama hilo mimi wangu tarehe 3 mwezi ujao anafikisha miez 2 nawaza ni muda gani wa kumtahiri
Uliambiwa inaisha lini? Peleka mtoto mapemaHata mimi nitampeleka covid 19 ikiisha
Pengine kweli mkuu,mana kwa umri ule mimi sikuwa nawajua wanawake ikizingatiwa kuwa nilikuwa bado kubaleghr. kwa hiyo pengine ukawa sahihi mkuuKumbuka kuna kusimamisha za aina 2, ile ya kuamka ukaikuta imesimama tofauti na ile ya kusimama kufanya tukio, ya asubuhi kichwa kinakua kimesinyaa, lkn ya tukio kichwa kinavimba ndio maana kwa amabo tulishawahi kugegeda kabla ya kutahiriwa wengi wao tulipata maumivu ikisimama kwa kukumbuka mbunye.
heshima yako mkuu Savimbi Jr umeongea fact sanaUkimtairi akiwa mdogo inakuwa rahisi sana kupona, dhana ya kibamia ni myth tu,maumbile ni genetic.
Sawa sawa.Tuache kupotosha bhana swala LA kibamia halihusiani na kutahiriwa mapema,maumbile ni urithi ukiona unakibamia jua umechukua toka kwa wazazi
Sawa mkuuUliambiwa inaisha lini? Peleka mtoto mapema
kwa wazazi au mzazi[emoji4]Tuache kupotosha bhana swala LA kibamia halihusiani na kutahiriwa mapema,maumbile ni urithi ukiona unakibamia jua umechukua toka kwa wazazi
kwa wazazi au mzazi[emoji4]
Kutahiri hakuna muda maalumu. Ndo mana unaona kuna miradi ya kutahiri watu vijijini huko inaitwa dondosha mkono sweta watu wazima wanatahiriwa,cha msingi angalia tu muda na uwezo wako wa kumlea mtoto ktk uangalizi mzuri wa kujitonesha kidonda.Wakuu, hasa wenye vijana wa kiume. Ni umri upi sahihi wa kumtahiri mtoto wa kiume? Miezi sita inafaa?
sawa mkuu..nimekuelewaHahaha mkuu kwa mzazi BT kwa wazazi,unajua kwa mama pia mototo anachukua baadhi ya vitu so inaweza kuwa kwa wajomba pia,kwan si unaweza kuwa na vimelea vya ualbino ila mpaka uoe mwanamke nae kunavimelea vya ualbino kabeba
Right age ni?Mkuu acha uwoga...kile kidonda cha wiki 3 anapona...na akisha tahiriwa pale siku ya kwanza antasumbua baada ya hapo kikianza kukaauka anapeta tu...
Two Years!! Wewe ni mwamba.Mm jembe langu naliacha mpaka lijitambue,aelewe maana ya kitendo husika,kwanza atakuwa na ufaham nacho na yeye atawafanyia watoto wake kitu ambacho atakuwa anakijua,walinishauri nimfanyie akiwa mchanga niligoma...
The best time is before he is one year old. Sababu, hana movements nyingi za kujitonesha.Mama yake alitaka kumtahiri alivyofikisha miezi mitatu, nikagoma! Ameshavuka miezi 6 sasa kila siku ndio habari ya mama yake atahiriwe atahiriwe.
Thank u.The best time is before he is one year old.
Sababu, hana movements nyingi za kujitonesha.
M-check Dr. Patel at Hindu Mandal hospital. He uses the ring rubber method...