Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

Tufanye siku ya nane baada ya kuzaliwa. Tuuige utamaduni wa Wayahudi. Mm naona hiyo imekaa njema.
Wewe ni Myahudi?
Akili za kudownload kabisa hizi. Kwahiyo wangekuwa wanazika kwa kuchoma moto napo ungetaka tuwaige.
 
Screenshot_20200813-195536.jpg
 
Naomba tuambizane muda sahihi wa kumtahiri mtoto.
Nilitahiriwa nikiwa form one tena kwa kampeni zile za Tohara sijui ni nini. Miaka 8-12, sio pungufu ya hapo wala zaidi ya hapo. Sina evidence lakini wakati tunafanyiwa tohara hospitali tulikuwa wengi na room kubwa tuliingia wengi. I can tell, siafikiani na tohara ya umri mdogo.
 
Dah! Nilitahiriwa nikiwa darasa la tatu!

Mtoto wangu nitamtahirisha akiwa secondary kabisa!
 
Back
Top Bottom