Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

Kumbuka kuna kusimamisha za aina 2, ile ya kuamka ukaikuta imesimama tofauti na ile ya kusimama kufanya tukio, ya asubuhi kichwa kinakua kimesinyaa, lkn ya tukio kichwa kinavimba ndio maana kwa amabo tulishawahi kugegeda kabla ya kutahiriwa wengi wao tulipata maumivu ikisimama kwa kukumbuka mbunye.
Pengine kweli mkuu,mana kwa umri ule mimi sikuwa nawajua wanawake ikizingatiwa kuwa nilikuwa bado kubaleghr. kwa hiyo pengine ukawa sahihi mkuu
 
Ukimtairi akiwa mdogo inakuwa rahisi sana kupona, dhana ya kibamia ni myth tu, maumbile ni genetic.
 
Hahaha mkuu kwa mzazi BT kwa wazazi, unajua kwa mama pia mototo anachukua baadhi ya vitu so inaweza kuwa kwa wajomba pia,kwan si unaweza kuwa na vimelea vya ualbino ila mpaka uoe mwanamke nae kunavimelea vya ualbino kabeba
kwa wazazi au mzazi[emoji4]
 
Wakuu, hasa wenye vijana wa kiume. Ni umri upi sahihi wa kumtahiri mtoto wa kiume? Miezi sita inafaa?
Kutahiri hakuna muda maalumu. Ndo mana unaona kuna miradi ya kutahiri watu vijijini huko inaitwa dondosha mkono sweta watu wazima wanatahiriwa,cha msingi angalia tu muda na uwezo wako wa kumlea mtoto ktk uangalizi mzuri wa kujitonesha kidonda.
 
Hahaha mkuu kwa mzazi BT kwa wazazi,unajua kwa mama pia mototo anachukua baadhi ya vitu so inaweza kuwa kwa wajomba pia,kwan si unaweza kuwa na vimelea vya ualbino ila mpaka uoe mwanamke nae kunavimelea vya ualbino kabeba
sawa mkuu..nimekuelewa
 
Mkuu acha uwoga kile kidonda cha wiki 3 anapona...na akisha tahiriwa pale siku ya kwanza antasumbua baada ya hapo kikianza kukaauka anapeta tu...
 
Mm jembe langu naliacha mpaka lijitambue,aelewe maana ya kitendo husika,kwanza atakuwa na ufaham nacho na yeye atawafanyia watoto wake kitu ambacho atakuwa anakijua, walinishauri nimfanyie akiwa mchanga niligoma,kwa sasa ana miaka 2 nasubiri hadi afike walau miaka 6 kabla hajaenda standard one! Tena nitampeleka kijijini kwa babu yake inshallah apatiwe yale mafunzo ya kiume afundishwe kwann yeye anakatwa na wanawake hawakatwi,vi mila vidogovidogo vina umuhimu sana katika malezi ya jamii ya baadae,

Sent from my SM-N920F using JamiiForums mobile app
 
Mm jembe langu naliacha mpaka lijitambue,aelewe maana ya kitendo husika,kwanza atakuwa na ufaham nacho na yeye atawafanyia watoto wake kitu ambacho atakuwa anakijua,walinishauri nimfanyie akiwa mchanga niligoma...
Two Years!! Wewe ni mwamba.
 
Mama yake alitaka kumtahiri alivyofikisha miezi mitatu, nikagoma! Ameshavuka miezi 6 sasa kila siku ndio habari ya mama yake atahiriwe atahiriwe.
The best time is before he is one year old. Sababu, hana movements nyingi za kujitonesha.

M-check Dr. Patel at Hindu Mandal hospital. He uses the ring rubber method.
Siku 3 tu, mtoto amepona, rubber inadondoka yenyewe.
Ana-circumsice only 3weeks to 1 year babies only.
Akivuka huo umri, hakubali.

To me, he is the best.

Miaka 10 is old school.

If you do it early enough, your child will never get infections na homa homa zisizoisha.

Mkeo, has a point.
 
The best time is before he is one year old.
Sababu, hana movements nyingi za kujitonesha.

M-check Dr. Patel at Hindu Mandal hospital. He uses the ring rubber method...
Thank u.

Japokuwa am not understand English well but nimekusoma.
 
Back
Top Bottom