Tembosa
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,487
- 3,978
Kijiji gani sasa ambao bado wanahizo mila ndugu?akue kidogo afike miaka 7+,umpeleke kijijini kwenu akatahiriwe bila ganzi[emoji3] ndio uanaume wenyewe huo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijiji gani sasa ambao bado wanahizo mila ndugu?akue kidogo afike miaka 7+,umpeleke kijijini kwenu akatahiriwe bila ganzi[emoji3] ndio uanaume wenyewe huo.
Old school.Wakurya na Wamasai wanatahiri kijana anayejitambua kuelekea au wakati wa kubarehe. Mtahiri akibarehe la sivyo kwa umri wa miezi sita unatujazia vibamia mjini.
muhimu ni aende jando, mwache akue.Kijiji gani sasa ambao bado wanahizo mila ndugu?
Kumbe kuwai kutahiriwa ni chanzo cha vibamia😃😃😃Wakurya na Wamasai wanatahiri kijana anayejitambua kuelekea au wakati wa kubarehe. Mtahiri akibarehe la sivyo kwa umri wa miezi sita unatujazia vibamia mjini.
Mama yake alitaka kumtahiri alivyofikisha miezi mitatu, nikagoma! Ameshavuka miezi 6 sasa kila siku ndio habari ya mama yake atahiriwe atahiriwe.ukimtahiri mtoto chini ya 4 years huwa inaathiri ukuaji wa abdallah hivyo atakuwa na kibamia....subiri afikishe 7 mpaka 11 sawa tu
[emoji44][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Wengi Sana tembea vijijini likizo ya mwezi wa sitaKijiji gani sasa ambao bado wanahizo mila ndugu?
Huyu lazima mkeshe huku mnapokezana kumshika mikono, wazo la mama lilikuwa zuri, hilo la bamia Mimi siamini sanaMama yake alitaka kumtahiri alivyofikisha miezi mitatu, nikagoma! Ameshavuka miezi 6 sasa kila siku ndio habari ya mama yake atahiriwe atahiriwe.
[emoji2][emoji2][emoji2]Wengi Sana tembea vijijini likizo ya mwezi wa sita
Nilimhurumia aiseeHuyu lazima mkeshe huku mnapokezana kumshika mikono, wazo la mama lilikuwa zuri, hilo la bamia Mimi siamini sana
Asingechelewa kuponaNilimhurumia aisee
Mimi nina watoto wakiume wawili mmoja anamiaka minne kasoro, mwingine miezi mitatu wote wametahiriwa. Huwa wanafanyiwa wakiwa na siku Tatu mpaka saba
Hivi kwanini huwa mna kiherehere cha kuwatahiri watoto?
Wewe msafishe hilo govi mpaka atakapokua utampeleka jando!
Umri mzuri wa jando ni miaka 10 na kuendelea. Hasa wakati wa balehe.
Changamoto hapo sasa hilo jando unampeleka wapi?Hivi kwanini huwa mna kiherehere cha kuwatahiri watoto?
Wewe msafishe hilo govi mpaka atakapokua utampeleka jando!
Umri mzuri wa jando ni miaka 10 na kuendelea. Hasa wakati wa balehe.
Duh.nchini iceland wameamua hakuna kutahiri mtoto mpaka akue aje aamue mwenyewe