Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

Wakurya na Wamasai wanatahiri kijana anayejitambua kuelekea au wakati wa kubarehe. Mtahiri akibarehe la sivyo kwa umri wa miezi sita unatujazia vibamia mjini.
Kumbe kuwai kutahiriwa ni chanzo cha vibamia😃😃😃
 
Hivi kwanini huwa mna kiherehere cha kuwatahiri watoto?

Wewe msafishe hilo govi mpaka atakapokua utampeleka jando!

Umri mzuri wa jando ni miaka 10 na kuendelea. Hasa wakati wa balehe.
Changamoto hapo sasa hilo jando unampeleka wapi?
Mimi mwenyewe sijui hata nilitahiriwa lini.


Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom