Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
Mkuu sio kweli mimi nimetahiriwa niko darasa la kwanza au la pili,na ninakumbuka kila kitu ,yaani kila kitu mpaka ile siku tunaenda kutahiriwa mkuu.Ukitahiri ukiwa mtu mzima lazima ushonwe na nyuzi na hii iko na maumivu sana maana uume lazima kuna wakati usimame na kusababisha nyuzi kuvuta, watoto wachanga hawashonwi na wanapona haraka sana kulinganisha na watu wazima
Mkuu mwisho ni miezi miwili ndo hatoshonwa zaidi ya hapo anatakiwa kushonwa na hiyo itasumbuaNilikuwa na swali kama hilo mimi wangu tarehe 3 mwezi ujao anafikisha miez 2 nawaza ni muda gani wa kumtahiri
Wanasimamisha kabisa, isiposimama ni changamoto nyingine.Kumbe na watoto wanasimamisha![emoji849]
Daa namhurumia kinyama na siku ndo zimeishaMkuu mwisho ni miezi miwili ndo hatoshonwa zaidi ya hapo anatakiwa kushonwa na hiyo itasumbua
Mpeleke mkuuDaa namhurumia kinyama na siku ndo zimeisha
Nilitahiriwa nna miaka 15 na mbunye nilishazichakaza sana, ni balaa lingine ikisimama maumivu yake sio mchezo, niikua najificha ndani wakija mademu wangu kunitafuta maana nasimamisha sana nkiwaona.Huwa nafikiria mwanaume aliyebalehe akitahiriwa hapati shida kweli?ama huwa ana namna ya kuzuia isiwe inasimama?
Aisee 15years!! Kisu ulikuwa unakisia live live.Nilitahiriwa nna miaka 15 na mbunye nilishazichakaza sana, ni balaa lingine ikisimama maumivu yake sio mchezo, niikua najificha ndani wakija mademu wangu kunitafuta maana nasimamisha sana nkiwaona.
Mdogo angu tumefatana tulienda pamoja jando nusura kichwa kikatike kwa kusimamisha hovyo.
Labda kwa watoto wadogo, lkn kwa sisi tulioenda wakubwa tulipatapataHata mtoto inasimama tu!
Kile kidonda ni kidogo tu hakina madhara hata ikisimama.
Hata mimi nitampeleka covid 19 ikiishaMpeleke mkuu
Kumbuka kuna kusimamisha za aina 2, ile ya kuamka ukaikuta imesimama tofauti na ile ya kusimama kufanya tukio, ya asubuhi kichwa kinakua kimesinyaa, lkn ya tukio kichwa kinavimba ndio maana kwa amabo tulishawahi kugegeda kabla ya kutahiriwa wengi wao tulipata maumivu ikisimama kwa kukumbuka mbunye.Mkuu sio kweli.mimi nimetahiriwa niko darasa la kwanza au la pili,na ninakumbuka kila kitu ,yaani kila kitu mpaka ile siku tunaenda kutahiriwa mkuu.
Hakuna ukweli wowote kuwa ikisimama ati inavuta zile nyuzi sio kweli.
Maumivu labda ukiitia maji na kujitonosa mara kwaa mara.
Kisu nilikua nakiskia na kuona kinakata tu lkn hakukua na maumivu, ganzi ilihusika.Aisee 15years!! Kisu ulikuwa unakisia live live.
Mmmmh wewe ni me au ke? Ana mashine ya kutosha? Ashakupampu?Naona kila mtu aanaongelea lake tu, hii issue inategemea na wazazi tu hakuna cha bamia wala nyanya chungu hapo.
Kuna dogo alichinjwa akiwa na 4months now ni kijana mkubwa na ana mashine ya kutosha, aya issue ya kijijini sijui nini, hizo zote ni fikra za kila mtu.
Liko wapi?Kwani Kigogo wa Twitter anasemaje juu ya hili?
Niliwahi kufanyiwa operation maeneo ya mgongoni nilipigwa hiyo ganzi. Wakati madaktari wanafanya kazi yao tulikuwa tunapiga stori nasikia kelele za nyuzi na visu. Wakamaliza ila after 3hours hiyo ganzi ilivyoisha niliumwa sana kwa kweli.Kisu nilikua nakiskia na kuona kinakata tu lkn hakukua na maumivu, ganzi ilihusika.
Aga Khan wanatahiri wa siku 7 na kuendelea. Mimi nashauri, kabila ya 40 owe umemtahiri mtotoWakuu, hasa wenye vijana wa kiume. Ni umri upi sahihi wa kumtahiri mtoto wa kiume? Miezi sita inafaa?
Usafi kwa mtoto. Na Yesu alifanya hivyoKwa nini umkate? Child abuse
Unatakiwa kutumia maji sana ikisimama maumivu yapo sana ukikojoa yanapunguaKumbuka kuna kusimamisha za aina 2, ile ya kuamka ukaikuta imesimama tofauti na ile ya kusimama kufanya tukio, ya asubuhi kichwa kinakua kimesinyaa, lkn ya tukio kichwa kinavimba ndio maana kwa amabo tulishawahi kugegeda kabla ya kutahiriwa wengi wao tulipata maumivu ikisimama kwa kukumbuka mbunye.