Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

....Kuanzia miaka 5 na kuendelea, akiwa mdogo sana anaiweza kuitwa Kibamia maana mkuyenge utakuwa unadumaa haukui vile unavyopaswa kukua...
 
Tufanye siku ya nane baada ya kuzaliwa. Tuuige utamaduni wa Wayahudi. Mm naona hiyo imekaa njema.
Wewe ni Myahudi?
Akili za kudownload kabisa hizi. Kwahiyo wangekuwa wanazika kwa kuchoma moto napo ungetaka tuwaige.
 
Naomba tuambizane muda sahihi wa kumtahiri mtoto.
Nilitahiriwa nikiwa form one tena kwa kampeni zile za Tohara sijui ni nini. Miaka 8-12, sio pungufu ya hapo wala zaidi ya hapo. Sina evidence lakini wakati tunafanyiwa tohara hospitali tulikuwa wengi na room kubwa tuliingia wengi. I can tell, siafikiani na tohara ya umri mdogo.
 
Dah! Nilitahiriwa nikiwa darasa la tatu!

Mtoto wangu nitamtahirisha akiwa secondary kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…